Dr. Slaa & Lema waiangamiza CCM bila huruma

Ujio mwingi wa wanachama wa CCM usije ukatusahaulisha malengo na wajibu wa CDM kwa wananchi. Wanaweza wakaja kwa wingi na kupanda mbegu ya maangamizi ndani ya CDM (Never underestimate CCM this is the reality). Ni kweli kuwa kati yao wapo ambao wana moyo wa dhati kuleta mabadiliko na wamechoshwa na mambo ambayo CCM inayafanya. Cha muhimu ni CDM kuhakikisha kuwa, hakitoi mwanya kwa wapotoshaji kuleta vurugu ndani ya Chama na harakati zake za kumkomboa Mtanzania zinabaki palepale daima.
 
Back
Top Bottom