Dr. Slaa & Lema waiangamiza CCM bila huruma

Huu mdundo lazima ccm waucheze wakiwa uchi ha ha ha! she yahaya atafufuka!!

IMG_4137.jpg

Hapa ni kazi tu
 
Mkuu Ben,

Asante sana kwa taarifa, hii inatia hamasa magamba wengine kujiunga na CHADEMA tayari kwa harakati za ukombozi wa kweli wa Tanzania ya watu wapole, wastaarabu, wanyenyekevu, wakarimu, lakini siyo wanyonge!

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki CHADEMA

MAPAMBANO YANAENDELEA
 
524682_3724059142443_1304804641_33573091_457856436_n.jpg


487524_382072005145930_148053981881068_1381004_1734355057_n.jpg


Serikali na CCM kama walifikiria kutokuwepo Dr. Slaa kwenye bunge na hatimaye mizengwe ya kumtoa ubunge Godbless Lema ni mafanikio sasa hali imegeuka kilio na kusaga meno kwa Serikali na Chama chake CCM. Uhuru na nafasi waliyo nayo pamoja na ushawishi mkubwa, hali kadhalika mizengwe iliyotumika kumvua ubunge ndiyo chachu ya wananchi wengi kuwaona watu hawa ni wapigania uhuru wa kweli kama Madiba wa bondeni.

Shibodo alisema Makapa kusema maneno ya ovyo yasiyostahili kwa mtu mkubwa kama yeye ikiwemo matusi, dharau na dhihaka dhidi ya wananchi wa tanzania kupitia vyama vya upinzani yamewakasirisha sana Watanzania, leo yametimia, moto huu kuuzima ipo kazi, na hadi kufikia 2015 CCM yatabaki mabua tu.




Dr Slaa na Lema wanazidi kuchanja mbuga kuimarisha uhai wa Chadema
 
Back
Top Bottom