Dr Slaa, Lema wafunika Monduli

ritz hao ndio saizi yenu wanyanyaseni mtakavyo,MWAMBIENI NA NAPE KABISA.
Magwanda bana kila maneno mawili lazima wamtaje Nape, kama unampenda kampikie pilao takuletea na kuku wa kienyeji sawa!
Nape na wewe kwangu nawaona waganga njaa tu

Magwanda bana kila maneno mawili lazima wamtaje Nape, kama unampenda kampikie pilao takuletea na kuku wa kienyeji sawa!
Nape na wewe kwangu nawaona waganga njaa tu

yaani wewe kitu cha maana kwako ni pilao. ,,, umaskini wa fikra, chuki na unafiki

jf hate preacher

Namuunga mkono sweetlady dar kuna watoto wa kiume tu,kazi yao kusikilizia mikoani wana misimamo gani kuhusu CDM,huku ngoma inogile kaeni na maneno yenu ya bila vitendo.
Dar wasomi wengi na wanajitambua!
Huwezi kukuta kijana wa dar anafanya upuuzi wanaofanya vijana wa cdm wa mikoani.
Vijana wa dar wanafahamu njia muafaka za kudai haki zao!

yaani wewe kitu cha maana kwako ni pilao. ,,, umaskini wa fikra, chuki na unafiki
jf hate preacher
Wewe unataka cha maana kiwe nini Mbege na Mtori!
Vipi ile Saccos yenu ya Wachagga inaendeleaje?

Kwani Lema kuwa Monduli kunakushangaza nini? Njia ya kwend Igunga kw gari unapitia wapi ? Je aki break na kuungana na Mkuu sana Slaa kuna ubay gani ? Hatumii punda kusafiri Lema na yote yanawezekana achen akili za ajabu nyie .

Nafurahia sana haya mashambulizi ya CHADEMA kwasasa...maana kila kona wapambanaji wanapigana kiume!! Natamani niache kazi niungane na kundi hili lililojitolea muanga kwa ajili ya watanzania zaidi ya mil.40....Mbona CCM hawasemi tena ile kauli yao ya vyama vya msimu...?

Mie nasubiria tu Chama kitakachokuja na sera ya kuingia msituni maana naona kama tunachelewa vile wkt magamba ndo kwanza wanapakua rasilimali kwa nguvu.

Acha kaz uoelewe mjn hp unadhan mwenzako slaaa anaandamana bure ,m12 ndo inamkimbiza puta

Acha kaz uoelewe mjn hp unadhan mwenzako slaaa anaandamana bure ,m12 ndo inamkimbiza puta
Hapo umeongea mkuu. Tatizo watu wengi wanaingia tu kusupport maandamano bila kujua viongozi wao kila wakiandamana wanalipwa per diem ya tsh 600,000

Wewe unataka cha maana kiwe nini Mbege na Mtori!
Vipi ile Saccos yenu ya Wachagga inaendeleaje?

hakuna kilaza kule kama wewe , .., upuuzi na chuki mwiko kule. kabila lako la chuki, wivu, dhiki na ujinga litakutesa mpaka uamue kwenda elimu ya watu wazima

teh teh teh

Hivi hi thread vip tena. Asubuhi tuliambiwa kamanda Lema anajiandaa kwenda Igunga. Au nilielewa vibaya?

hakuna kilaza kule kama wewe , .., upuuzi na chuki mwiko kule. kabila lako la chuki, wivu, dhiki na ujinga litakutesa mpaka uamue kwenda elimu ya watu wazima
teh teh teh
Ha! Ha! Ha! Kweli kabisa unachosema na mimi siwezi kuja huko nije kufanyaje wakati mmechaguana Wachagga watupu.
Nilipita siku ile pale Rombo Hotel naona mkutano unaendeshwa kwa lugha ya Kichagga tu. Nikaondoka zangu

Wewe unataka cha maana kiwe nini Mbege na Mtori!

Vipi ile Saccos yenu ya Wachagga inaendeleaje?

Kabla cjakaribishwaga humu jamvini, Nilikuwa namwona huyu mshikaji (ritz) kama mdau kweli,lakini kadri 2navyozidi kufumbuka nimeona ni kwamba ni mzigo fluu, Yani Mi naona kama anawaza kwa ku2mia MASABURI yake kama alivyo NYAU MWEUSI kabisa. Kichwa kubwa akili lala. Lete humu mawazo shirikishi shwain wee!

Magwanda bana kila maneno mawili lazima wamtaje Nape, kama unampenda kampikie pilao takuletea na kuku wa kienyeji sawa!

Nape na wewe kwangu nawaona waganga njaa tu

Huku ataolewa tu labda dar mlikojaa vilaza ndio mnamnyenyekea,na wewe ukicheza vibaya vibaya ntakukupa mimba.

• Thanks
Reactions: LAT
Hivi hi thread vip tena. Asubuhi tuliambiwa kamanda Lema anajiandaa kwenda Igunga. Au nilielewa vibaya?

Mkuu! Ile thread ya morning ilikuwa hivyo kama ulivyoipitia ila kwa hali 2liyonayo ktk nchi ye2 kwa sasa ni kata mti panda mti yani hw MAGAMBA ni wa kuwaong'oa kila mahala walipo. CDM NI CHAGUO LA WATANZANIA KTK KARNE HII YA UWAZI NA UKWELI KAMANDA WANGU.

Leo wananchi wa monduli walilazimika kusimamisha shughuli zao kufwatia maandamano makubwa yaliofanywa na viongozi wa cdm wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho dr.w slaa na mbunge wa arusha mjini Godbless lema ambapo kwa pamoja walihutubia maelfu ya wakazi wa monduli waliojitokeza katika viwanja hivyo sambamba na kumuombea kura diwani wa cdm bw Mganga Gilbert katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika mapema mwezi ujao.

Mkuu! Hv hukuweza kupata picha kidogo angalau? Kama unazo 2wekee Mkuu.

Acha kaz uoelewe mjn hp unadhan mwenzako slaaa anaandamana bure ,m12 ndo inamkimbiza puta

Ongeeeni yooooteeee msimsahau JK na zile suti za waaarabu,na juzi kadanganjwa WHY mkuu wa nchi anadanganywa na hachukui hatua? Je nyie maboya aka kajamba nani si ndi mnafanywa matambala ya deki?alafu nimegundua kwa nini hamtaki mabadiliko ni kwa sababu mnaishi dar,na wote mnafanana akili ndugu yangu hama huko hakukufai kabisa.

Ha! Ha! Ha! Kweli kabisa unachosema na mimi siwezi kuja huko nije kufanyaje wakati mmechaguana Wachagga watupu.
Nilipita siku ile pale Rombo Hotel naona mkutano unaendeshwa kwa lugha ya Kichagga tu. Nikaondoka zangu

kilaza la JF halijui English , nenda shule ya watu wazima wewe , huelewi kitu

bahasha wako Estomiah malla amepigwa chini jumla , lete porojo kj ritz

Back
Top Bottom