Dr Slaa kuzindua kampeni Daraja mbili-Arusha

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa atazindua kampeni za udiwani kata ya Daraja mbili Arusha Jumamosi 6.10.2012.Uchaguzio wa kata hii unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa diwani wa kata hiyo kupitia ccm
 
Kazi ni moja tu kuchukua kiti hicho cha Udiwani! Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees!
 
CCM kura............20
CDM kura............4500
CUF kura............1
TLP kura............50
 
Back
Top Bottom