Dr. Slaa kutogombea Igunga

hata urais pia hakuwa tayari lakini alishawishiwa kwa nguvu ya hoja akakubali,inaweza kujirudia tena

Alishawishiwa kwa nguvu ya hoja akakubali kugombea urais kwa manufaa ya taifa zima, sasa kama katibu mkuu wa chama anaweza kutoa huduma kwa taifa zima kuliko kuwa mbunge wa Igunga tu. Kama katibu mkuu wa Chadema anaweza kutoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya Igunga na kwingineko akijiandaa kwa 2015.

hata akigombea atashindwa. dume la mbegu alikuwa mrema tu mwenye uwezo wa kushinda popote.

mrema alikuwa kiboko. akaenda kugombea kule kwa mafundamentalists temeke na bado kaibuka kidedea.

slaa hayawezi ya baba mrema. aendelee kuchakachua ruzuku makao makuu na kukwepa kulipa kodi.

Kastuka! kaona huko ni kwenda kujiadhirisha, hakubaliki na sababu ziko wazi kabisa.

hata akigombea atashindwa. dume la mbegu alikuwa mrema tu mwenye uwezo wa kushinda popote.

mrema alikuwa kiboko. akaenda kugombea kule kwa mafundamentalists temeke na bado kaibuka kidedea.

slaa hayawezi ya baba mrema. aendelee kuchakachua ruzuku makao makuu na kukwepa kulipa kodi.

Umefunga kazi. Tazama watakavyoanzisha maandamano humu ndani, sasa hivi...

akikubali kugombea itakuwa sio kujishusha kama mmoja wa wachangiaji alivoonesha hapo ju,ila itakuwa fulsa nzuri ya kupiga jalamba kuelekea 2015

hata akigombea atashindwa. dume la mbegu alikuwa mrema tu mwenye uwezo wa kushinda popote.

mrema alikuwa kiboko. akaenda kugombea kule kwa mafundamentalists temeke na bado kaibuka kidedea.

slaa hayawezi ya baba mrema. aendelee kuchakachua ruzuku makao makuu na kukwepa kulipa kodi.

Ukiona mtu anaisifia mvua ujue imemnyeshea. Mrema alikuakua na nyumba ndogo enzi zake bilashaka ni wewe.

hata akigombea atashindwa. dume la mbegu alikuwa mrema tu mwenye uwezo wa kushinda popote.

mrema alikuwa kiboko. akaenda kugombea kule kwa mafundamentalists temeke na bado kaibuka kidedea.

slaa hayawezi ya baba mrema. aendelee kuchakachua ruzuku makao makuu na kukwepa kulipa kodi.

Are you normal?

Dr wilbroad peter slaa amesema hayuko tayari kuwa mgombea wa CHADEMA katika jimbo la Igunga.

Chanzo: Gazeti la Mtanzania la leo
Kwani ni lini alisema atagombea? kwa nini wasimuulize Makamba kama atagombea huko au Batilda buriani? au Ibrahimu Lipumba ambae ndio anatoka mkoa huo? huu unaitwa unafki.

Mtu mwenye akili timamu hawezi kumfananisha Dr Slaa na Mrema!
Mrema unaweza kumfananisha na Makamba sr!

Dr wilbroad peter slaa amesema hayuko tayari kuwa mgombea wa CHADEMA katika jimbo la Igunga.

Chanzo: Gazeti la Mtanzania la leo

Dr. Slaa ana jukumu la kuhakikisha jimbo la Igunga linaenda chadema, siyo yeye kuwa mgombea

slaa asilimia 26 ya kura mrema asilimia 28. hata taahira anaweza kuona tofauti hiyo.
Tunashukuru kwa kujitambulisha kwamba ni taahira na ndio maana ni wewe pekee unaeijuwa hiyo tofauti, lakini chama chako na wanamagamba wenzako hawaijui hiyo tofauti ndio maana hawana kazi na Mrema wao adui yao ni Dr Slaa na CHADEMA.
Nashukuru kwa kujitambulisha ni taahira maana hautowasumbuwa watu wenye akili timamu, watakachofanya ni kukuignore.

Back
Top Bottom