Dr Slaa kutikisa kanda ya Ziwa

Sijui nikuite Rais au Mh Dr.W Slaa, lini utakuja kwetu Tanga? Kila siku tunakusikia upo Kanda ya Ziwa na sisi huku Tanga tunahitaji ukombozi wenu my President

AirTanzania,
Chadema ni moja. Kwanza ikumbukwe wakati wa Operation Sangara nilikuwa Tanga kama mwaka 1 tu uliopita. Inawezekana hukuweko.Aidha si zaidi ya mwezi 1 Naibu Katibu Mkuu Zitto alikuwa Mkoa wa Tanga. Hivyo dhana unayojenga siyo sahihi. Ni kweli kuna maeneo hasa ya Lindi na na Mtwara ambako hatujafanya ya kutosha. Lakini mwezi December 2011 Makamu Mwenyekiti ZNZ alikuwa na ziara ya Mtwara na Lindi kwa bahati mbaya kwa ubabe mikutano yake yote ilizuiliwa na Polisi. Alifanya mikutano ya ndani takriban wilaya zote.
 
Heshima yako raisi wangu wa moyoni.!!!
 
Nashukuru kwa Majibu yako Mh Rais lakini bado hututendi haki kabisa sisi Wakazi wa Tanga, kwani tulikutegemea utakuja wewe mwenyewe mh rais wetu, bado tunakuamini kuwa utalifanyia mengi Taifa letu huko mbeleni tuendako. Mhe Zitto alikuja lakini nia na madhumuni ya Wakazi wa Tanga ni kumuona Mhe (Rais) Dr W Slaa katika kuongoza mapambano ya Ukombozi wa taifa letu. Umekuwa Rais wetu wa moyoni na utaendelea kuwa Rais wetu, 2015 tutahakikisha tunakupangisha Magogoni na kulinda Rasilimali zetu zinazobebwa ba Wageni wanaosaidiwa na CCM.
 
AirTanzania, Chadema ni moja. Kwanza ikumbukwe wakati wa Operation Sangara nilikuwa Tanga kama mwaka 1 tu uliopita. Inawezekana hukuweko.Aidha si zaidi ya mwezi 1 Naibu Katibu Mkuu Zitto alikuwa Mkoa wa Tanga. Hivyo dhana unayojenga siyo sahihi. Ni kweli kuna maeneo hasa ya Lindi na na Mtwara ambako hatujafanya ya kutosha. Lakini mwezi December 2011 Makamu Mwenyekiti ZNZ alikuwa na ziara ya Mtwara na Lindi kwa bahati mbaya kwa ubabe mikutano yake yote ilizuiliwa na Polisi. Alifanya mikutano ya ndani takriban wilaya zote.
umatuelekeza vizuri rais wetu,karibu kanda ya ziwa karibu shy,tbr,mwanza,kagera,mara n,k.tunakuombea kwa mungu ufanikiwe ratiba zako zote ulizopanga katika kupiga vita haya majambazi na mafisadi sugu yanayotuibia rasilimali zetu.ni mwendo mdundo tu na M4C nchi nzima maana mafisadi hawauwezi mziki mnene wa chadema ambacho ni chama makini chenye watu makini na sera makini kwa faida ya watanzania.
 
Na leo mwana harakati mwenzake-ROMA amechukua tuzo ya kili music Awards. Na huyu dogo mpiganaji ccm wanamchukia maana wanafikiri anapewa ujasiri na Dr.Slaa. Achana na kina pseudo hip hop singers wanaovaa T-shirt za kijani.
 
Nimefurahi sana kwa Bandiko lako hili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom