who the hell u thnk u ar had molemo akuambie ako wapi? Haunanga kaz had umuulizie molemo?Molemo,
Wewe umepangiwa wapi JF?
Huwajui hao? kutotimiza ahadi ndio jadi yao. Tabia hiyo wanayo wote, AHADI HEWA
Kiongozi mkuu wa upinzani na mwanasiasa machachari nchini Dr Wilbrod Slaa anaanza ziara ya siku kumi katika mikoa ya Tabora,Shinyanga na Mwanza.
Dr Slaa ambaye pia ni katibu mkuu wa CDM anaanza ziara hiyo leo na atafuatana na watendaji na maafisa mbalimbali kutoka makao makuu ya CDM.
Ziara hiyo ya Dr Slaa itachukua siku kumi na pamoja na mambo mengine atakagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na chama chake,kufanya mikutano ya ndani na wanachama pamoja na viongozi katika kila eneo na pia kuhutubia mikutano ya hadhara kutangaza sera na kuingiza wanachama wapya.
Source:Nipashe.
who the hell u thnk u ar had molemo akuambie ako wapi? Haunanga kaz had umuulizie molemo?
UNGEANDIKA HIVI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwanasiasa Machachari nchini Dr W.P.SLAA anaanza ziara ya siku kumi ktk mikoa ya......etc....etc....etc UNGEKUWA SAHIHI ZAIDI.Hata ivo umejitahidi sana,nakupa B+
dr mungu hakubariki na akuongoze nakupenda sana dr
Kila siku huwa nasikia Slaa vs Kanda ya ziwa, Arusha na Kilimanjaro. Sijui ni lini itakuwa...
Topic: Dr Slaa kutikisa Pwani
Topic: Dr Slaa kutikisa Mtwara
Topic: Dr Slaa kutikisa Tanga
Topic: Dr Slaa kutikisa Lindi
Topic: Dr Slaa kutikisa Singida
Topic: Dr Slaa kutikisa Zanzibar
Topic: Dr Slaa kutikisa DSM
Kiongozi mkuu wa upinzani na mwanasiasa machachari nchini Dr Wilbrod Slaa anaanza ziara ya siku kumi katika mikoa ya Tabora,Shinyanga na Mwanza.
Dr Slaa ambaye pia ni katibu mkuu wa CDM anaanza ziara hiyo leo na atafuatana na watendaji na maafisa mbalimbali kutoka makao makuu ya CDM.
Ziara hiyo ya Dr Slaa itachukua siku kumi na pamoja na mambo mengine atakagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na chama chake,kufanya mikutano ya ndani na wanachama pamoja na viongozi katika kila eneo na pia kuhutubia mikutano ya hadhara kutangaza sera na kuingiza wanachama wapya.
Source:Nipashe.
Naomba asiishie mjini 2, aende mpaka vijijini, au hata makao makuu ya kata au tarafa.
Kila siku huwa nasikia Slaa vs Kanda ya ziwa, Arusha na Kilimanjaro. Sijui ni lini itakuwa...
Topic: Dr Slaa kutikisa Pwani
Topic: Dr Slaa kutikisa Mtwara
Topic: Dr Slaa kutikisa Tanga
Topic: Dr Slaa kutikisa Lindi
Topic: Dr Slaa kutikisa Singida
Topic: Dr Slaa kutikisa Zanzibar
Topic: Dr Slaa kutikisa DSM
Nawasubiri Makamanda huku SIKONGE.
Dr. Slaa aliniahidi wakati wa uchaguzi atafika hadi huku kwetu SIKONGE ila hakufika, too sad.
Najua majukumu yalikuwa mengi ila ntaomba sana mfike walau kwenye tarafa kadhaa na mwisho kufanya mkutano mkubwa sana hapo SIKONGE mjini ambapo itakuwa vizuri Sugu na Nassari wakiwepo.
Anyway, hata hivyo kwa ujumla karibuni sana TABORA.
Ingawa wewe ulieongea ni gamba, lakini unaukweli, nami nasema hivi bila kuteka mikoa ya Pwani, Mtwara, Tanga, Lindi, Singida na Zanzibar kushinda mwaka 2015 ni ndoto, kwani mikoa hiyo ndo magamba wataitumia kwenda kuibia kura na kupenyezea kura za wizi. CDM tufanyiie kazi ushauri huu
Sikonge
labda taarifa imekupita pembeni. Mwezi Oktoba 2011 nilifika Sikonge na kufanya mikutano ya Kampeni ya udiwani vijiji viwili na kufanya mkutano mkubwa Sikonge mjini. Ahadi ilitimizwa mkuu.
Katika ziara hiyo nashauri jembe Godbless Lema lisiachwe. Nawatakia kila raheli katika operesheni hiyo ambayo sijui imepewa jina gani?