Dr Slaa kutikisa kanda ya Ziwa

Kiongozi mkuu wa upinzani na mwanasiasa machachari nchini Dr Wilbrod Slaa anaanza ziara ya siku kumi katika mikoa ya Tabora,Shinyanga na Mwanza.

Dr Slaa ambaye pia ni katibu mkuu wa CDM anaanza ziara hiyo leo na atafuatana na watendaji na maafisa mbalimbali kutoka makao makuu ya CDM.

Ziara hiyo ya Dr Slaa itachukua siku kumi na pamoja na mambo mengine atakagua miradi ya maendeleo inayosimamiwa na chama chake,kufanya mikutano ya ndani na wanachama pamoja na viongozi katika kila eneo na pia kuhutubia mikutano ya hadhara kutangaza sera na kuingiza wanachama wapya.

Source:Nipashe.

atakuja lini unyamwezini?
 
Kila siku huwa nasikia Slaa vs Kanda ya ziwa, Arusha na Kilimanjaro. Sijui ni lini itakuwa...
Topic: Dr Slaa kutikisa Pwani
Topic: Dr Slaa kutikisa Mtwara
Topic: Dr Slaa kutikisa Tanga
Topic: Dr Slaa kutikisa Lindi
Topic: Dr Slaa kutikisa Singida
Topic: Dr Slaa kutikisa Zanzibar
Topic: Dr Slaa kutikisa DSM

Muulize JK mbona na yeye hatujawai kusikia akitikisa hata Kijiji!
 
Nawasubiri Makamanda huku SIKONGE.

Dr. Slaa aliniahidi wakati wa uchaguzi atafika hadi huku kwetu SIKONGE ila hakufika, too sad.

Najua majukumu yalikuwa mengi ila ntaomba sana mfike walau kwenye tarafa kadhaa na mwisho kufanya mkutano mkubwa sana hapo SIKONGE mjini ambapo itakuwa vizuri Sugu na Nassari wakiwepo.

Anyway, hata hivyo kwa ujumla karibuni sana TABORA.
 
Noted mkuu
 
Jamani mshaurini Dr. Badala ya Mwanza aje Bukoba! Wananchi wanakuitaji sana uwape elimu ya uraia!! "KWANINI MMETUTUPA KIASI HIKI!!?"
Kila la kheri makamanda!
 
Mkuu wapiga kura kanda ya ziwa wakihamasishwa vizuri ni zaidi ya milioni 4

Hao kina Rejao & Co,
Hawaelewi kura za kanda ya ziwa ndizo humpeleka mtu magogoni??

Na this time, vijana wasomi wa kanda ya ziwa tushaanza kujipanga! Tunatengeneza forum kubwa sana itayokuwa ikifanyika mara moja kwa mwaka. Tuta address mambo kibao lakini tunaanza na Katiba!

Dr. W. Slaa, karibu kanda ya ziwa ujenge chama!!
 
Kila siku huwa nasikia Slaa vs Kanda ya ziwa, Arusha na Kilimanjaro. Sijui ni lini itakuwa...
Topic: Dr Slaa kutikisa Pwani
Topic: Dr Slaa kutikisa Mtwara
Topic: Dr Slaa kutikisa Tanga
Topic: Dr Slaa kutikisa Lindi
Topic: Dr Slaa kutikisa Singida
Topic: Dr Slaa kutikisa Zanzibar
Topic: Dr Slaa kutikisa DSM

Kama ulivyo sema ujui, basi baki hivyo hivyo kwani huna sababu ya wewe kujua CDM wanafanya nini na wapi. Wewe haki yako ni kusikia tu.

Kawapangie CCM ratiba na si CDM
 
kila siku huwa nasikia slaa vs kanda ya ziwa, arusha na kilimanjaro. Sijui ni lini itakuwa... Topic: Dr slaa kutikisa pwani topic: Dr slaa kutikisa mtwara topic: Dr slaa kutikisa tanga topic: Dr slaa kutikisa lindi topic: Dr slaa kutikisa singida topic: Dr slaa kutikisa zanzibar topic: Dr slaa kutikisa dsm
rejao huna lolote hapa jf.maana huna tofauti na makapi ya pombe ambayo hutupwa jalalani wakala wanyama na viumbe wengine!!!!!!!!!!!!!!!.umesahau arumeru mash!ulipotea jumla kama nzige.huna jipya wewe ni pumba tupu.pipooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzz pawa ni noumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hata Kata ya Kirumba jijini Mwanza...CCM tuliwachana chana vilivyo kwenye kinyang'anyiro cha udiwani mpaka wakakimbilia kucharanga mapanga wabunge wetu.
 
Back
Top Bottom