Dr Slaa kutikisa Igunga leo

Hakika Dr Slaa afya yako ni ya uhakika maana kila siku upo barabarani na huchoki angekuwa yule Baba Mwanaasha sasa Hivi Chali
Tehe tehe tehe, katika pilika pilika nilikutana na jamaa mmoja kutoka ethiopia akaniuliza kuwa JK mgonjwa? Nikamhoji kwanini umeuliza akasema kumbukumbu zake zinamtuma JK na Hayati PM wao pamoja na yule wa ghana walikuwa na faragha sana labda walikuwa wanajadiliana afya zao! Nikacheka nikamwambia itakuwa masuala ya kilimo maana walihudhuria mkutano USA pamoja. Akaguna akasema haya mwana
 
Pia tungependa kupata updates za mkutano huo ikiwezekana kupitia uzi huu.Anayemjua mtu huko Igunga amtafute atupe details.Kama hajajiunga hapa JF ashauriwe kufanya hivyo haraka tena muda huu.
 
Usiwasemehe Watanzania jisemehe wewe na Pro-Chadema wenzako...nani ana imani na Dr Slaa.

Hata wewe una imani na Dr slaa pamoja na vuguvugu la upinzania acha unafiki ni mwanzo mbaka kieleweke''sita kutusi napita tuuu''
 
Wasalimu wana Igunga, wakumbushe kuwa safari ya ukombozi ni ngumu lakini wasikate tamaa, kazi iliyo mbele yao ni ndogo.... awike, asiwike, kutakucha tu.

Daaah nimeipenda hii song hiko juu mbaya tunaelekea ktk mapindunzi ya kina,fikra,na wazi
 
Tukifa kwenye mapambano msitulilie tuwekeni pembeni na endeleeni na mapambano mbaka ukombozi wa fikra kwa watanznia upatikane nia ni kuichukua taifa huru kwa njia huru na ya haki kwa maneno matamu na sera zenye mafanikio, tutashinda kwa haki kamwe hatutatumia mtutu wala kuingia msituni hiki ndio kipindi chenyewe uhuru wa mtu kupata na kusema kuwatangazia wote walio potea safari bado ndefu msife moyo makamanda wote tunaopigana kwa haki, na kwa kutoa elimu na si kwa mtutu waacheni watuue lakini damu aitamwagwa bule.
 
Pia tungependa kupata updates za mkutano huo ikiwezekana kupitia uzi huu.Anayemjua mtu huko Igunga amtafute atupe details.Kama hajajiunga hapa JF ashauriwe kufanya hivyo haraka tena muda huu.

Tunajitahidi na kuwasiliana na walioko kule kamanda.....
 
Usiwasemehe Watanzania jisemehe wewe na Pro-Chadema wenzako...nani ana imani na Dr Slaa.

Ritz inabidi tu nikupe pole kwa siku ya leo. Kwa jinsi ulivyochanganyikiwa kusikia Dr. Slaa amekwenda Igunga umeshindwa hata kuandika kiswahili umejikuta unaandika kikabila cha kwenu!
Kweli utumwa wa mawazo ni mbaya sana.
 
Last edited by a moderator:
Aliapa kipindi kile kwamba atakuwa na kazi moja tu kuisimika CDM mpaka vijijini.Na kweli anatimiza ahadi.

The case of a senile old making the rounds akihubiri makosa ya wengine wakati yake yako mahakamani.
Mambumbu wanakaa barabarani na mitandaoni wakimshangilia.
Thats what I call insanity
 
Naona wamekumbuka igunga, basi Wamnunulie nguo mgombea wao, uchaguzi ukirudiwa aonekane msafi kidogo,jamaa alikua mchafu mchafu wakati wote wa uchaguzi uliopita.
 
Naona wamekumbuka igunga, basi Wamnunulie nguo mgombea wao, uchaguzi ukirudiwa aonekane msafi kidogo,jamaa alikua mchafu mchafu wakati wote wa uchaguzi uliopita.
Pamoja na uchafu huo aliwashinda kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh! Teh! Teh!
 
Naona wamekumbuka igunga, basi Wamnunulie nguo mgombea wao, uchaguzi ukirudiwa aonekane msafi kidogo,jamaa alikua mchafu mchafu wakati wote wa uchaguzi uliopita.

Wanaigunga walichagua muwakilishi, hawakuwa na shida na mwanamitindo ama mlimbwende.
Kama ulimbwende ni tija kwenu basi mchagueni miss Tanzania ama miss utalii awe kiongozi wenu.
Kama mwanamitindo ni tija kwenu basi mchagueni mustafa hasanali au Ally Remtulah ili msipate shida ya kutafuta madesigner wa nguo!
 
hata gwanda safi na kinyozi wa kumsafisha inatosha.Wananchi Watamchagua wapi kama amekaa kama mlevi wa gongo. Au ndio mpaka apate posho ya mjengoni ndio anunue nguo. Unajua usafi una heshima yake bana.
 
Huyu mzee ataumia kwa kufukuzia posho za safari au ndio anakusanya za kulipa deni la nyumba nini?
 
Back
Top Bottom