Dr Slaa kutikisa Igunga leo

Wasalimu wana Igunga, wakumbushe kuwa safari ya ukombozi ni ngumu lakini wasikate tamaa, kazi iliyo mbele yao ni ndogo.... awike, asiwike, kutakucha tu.
 
Mtume gani yule Muhindi wa Agape TV.

Kwa huu msimamo wako, jiandae kuwa na machungu kama tuliyonayo sisi ya kukubali kwamba Jakaya ndio Rais, comes 2015 wewe Ritz pamoja na Zomba, Makupa na Kikwete kwa mjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku roho zikiwauma sana mkiongozwa na chuki zisizo na msingi mtalazimika kumtambua DR SLAA kama Rais wenu pia.
 
Pamoja na mbwembwe nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi, mtaishia kunawa tu. walaji wengine. Viva chama chetu.
 
Zipuwawa kinyume chake unamaanisha wasiokuwa na akili timamu hawana imani na Dkt Slaa?
nimeipenda iyo statement!
 
njia pekee na sahihi ni chadema Kuwa na potential candidates kama Dr wengi. nilipenda statement ya mh Mbowe 'nikfa weka maiti yangu pembeni ninyi songa mbele'. I mean in the absence of Dr for any reason other commandors should be able to lead this battle.
 
Nape,ukianza kufukia mashimo ya chadema utaanzia Moro au Igunga?maana naona kama unarundika kazi

Nape na wenzie magamba bado wamelala usingizi wa pono wakitegemea kudesa na IT, TISS,Police katika siku za uchaguzi
 
Hakika Dr Slaa afya yako ni ya uhakika maana kila siku upo barabarani na huchoki angekuwa yule Baba Mwanaasha sasa Hivi Chali

mkuu, dakta slaa hatembei na msururu wa madaktari na ambulensi kama jamaa yetu.

Tehetehe
 
namkubali mheshimiwa rais wangu kwani yeye ni mtekelezaji wa ilani ya chama na ni mwalimu wa wananchi wote tanzania kwa kuwaelimisha jamii jinsi ambavyo anatoa elimu ya kweli
 
aiseee babaangu ningejua jinsia yako ningefurai sana ili nikupe jana lako,,kama ni wakike we ni gamba la kike na kama ni wakiume we ni gamba la kiume ila oll in all we ni gamba 2

ngoja ningoje mbege hapa

Ha ha ha ha!....
Meku uko nae apo???hakikisha hapo
kwa mama muuza mbege wote una wavua gamba!
 
Back
Top Bottom