Dr Slaa kuongoza kongamano la vijana wasomi Jumamosi hii SAUT - Mwanza

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo wakuu!

Jumamosi jiji la mwanza litakuwa kwenye hekaheka za ujio wa Dr Slaa atakapo kuwa akielekea Chuo kikuu cha SAUT -Malimbe kuongoza kongamano la kitaaluma kwa vijana wote toka vyama vyote, dini zote, rangi zote etc.

Vyombo vya Usalama a.k.a wazee wa Intelligencia tafadhari timizeni wajibu wenu na wala si kutuingilia kama kawaida yenu. Nchi hii ina matatzo mengi mno kamavile ufisadi, wizi wa rasilimali zetu etc.
 
Jamani wadau wote huko mwanza nendeni mkapate chakula cha akili. Fulusa kama hizo tunaziitaji huku mtwara.
 
Ukukikaa kusubiri mwenye jipya utasubiri sana,hakuna jipya kuna mtazamo mpya na mwelekeo mpya tu.

Hatakiwi mtu kuja na jipya ii kufanikishajabo, mtu anatakiwa kuja na mtazamo mpya ili kufanikisha jambo lile lile la zamani.

Mtu mmoja huko ujerumani aligundua injini.
Mwingine somwhere in the world akaiweka kwenye baisikeli, baisikeli ikawa pikipiki.
Mwingine akiweka kwenye kwama la kuvutwa na ng'ombe ikawa gari
Mwingine mwenye upeo zaidi akafunga parafujo akaiweka kwenye pipa lenye mbawa ikawa ndege.
Wote walitumia wazo lilelile la zamani injini katika mtizamo mpya na kupata matokeo mapya muhimu katika ustawi wa jamii.

Mtizamo mpya ukiwekwa katika wazo la zamani mageuzi hutokea.

Hakuna kinachodumu zaidi ya mageuzi.

Kuidumisha kawaida japo kwa masaa machache tu,ni lazima kuyabana na kuyaseta mageuzi kwa kutumia nguvu nyingi za Polisi na za Kijeshi hata hivyo nguvu hizo hazina uwezo wa kuyazuia mageuzi dumu daima.

Tumekupata..
Sidhani kama atakua na jipya!
 
Ndiyo wakuu! Kesho viunga vya chuo kikuu SAUT-Mwanza vitazizima kwa ujio wa Dr Slaa pale atakapokuwa akiwasilisha mada yake khusu raslimali zetu na kiwango cha maendeleo. Katika kongamano hilo watoa mada wengine watakuwa Mpendazoe, Profesa Mulambiti na Rogerz. Mpaka sasa maandalizi yamekamilika ikiwa ni pamoja na kibali cha Police. Muasisi wa Taifa la China alipata kusema "CHUO KIKUU NI MAHALI AMBAPO FIKRA 100 ZINAPAMBANA AMBAPO FIKRA ZISIZO KIDHI MAHITAJI YA NYAKATI HUFA NA FIKRA ZINAZOKIDHI MAHITAJI YA NYAKATI HUCHIPUA." Naomba kuwasilisha.
 
Good move!! Kuelimisha kwa njia kama hizo ni vizuri sana!! Ni rahisi kuwafungua minyororo watu wengi kwa mkupuo!!
 
Karibu sana jiji la ukweli Dr. wa Ukweli. SAUT ntakuwepo na Kirumba ntakuwepo pia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom