Elections 2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

Nimesoma pia leo ktk Jambo Leo kwamba Chadema wameahirisha kuwasilisha pingamizi lao dhidi ya JK le ili kuwapa nafasi wanasheria wake walinoe zaidi. lakini habari kutoka kwa swahiba wangu katika uongozi wa ndani ya Chadema zinasema kuwa wanasheria hao wanataka kuhakikisha kwamba Tendwa hapati escape route yoyote ya ki-hoja ya kulitupilia mbali pingamizi hilo -- isipokuwa tu ibakie ile ya kuibeba tu CCM!

Mungu twakuachia wewe utuokoe na hii ccm!
 
Nani anaweza kumshataki boss wake??? na atamshitaki kwa nani??? huyo nani nae amawekwa hapo na na nani??? ukipata hayo majibu then utakubaliana na mimi kuwa hata kama CHADEMA itaweka pingamizi nina uhakika halitaleta changes zozote zile......Mangapi yamemezwa bila kufanyiwa kazi???

Kitu cha kufanya ni kama kile alichotaka kufanyiwa Marine Hassan wa TBC baada ya kuleta upuuzi ndo tutatoka kenye haya makucha ya kinyonyaji.......
 
Kama kweli ameongelea tetesi la pingamizi basi Tendwa kachemka vibaya mno.

Hahahaha,

Speaking of speculations, mazee concept ya jibu la 'my office does not entertain speculations" bongo haieleweki.

Kuna mtu aliniuliza, Regia Mtema unayemuandama sana kwamba ana udhaifu tumeanza kuuona udhaifu wake kama unavyosema, vipi akija na kukuomba msamaha kwa makosa aliyofanya na kukuomba ushauri afanye vipi.

Nikamuuliza "Je amefanya hivyo? Wapi? Nionyeshe kwamba amefanya hivyo na baada ya hapo naweza kujibu swali lako, my person does not entertain speculation in this context"

Ikabidi swali life.

Bongo waziri wa mambo ya nchi za nje anaweza kuulizwa "Hivi Iran ikianzisha vita ya uonevu na Tanzania utafanya nini?" na kujibu "Nitailaani vikali Irani na ubeberu wake pamoja na kuiomba jumuiya ya kimataifa ituunge mkono katika vita dhidi ya ubeberu huu", next thing you know, an international fracas.

All based on speculation.

Mtu alitakiwa kumuuliza Tendwa, pingamizi liko wapi ?
 
Mgombea wa CCM kwenye kiti cha urais, Mh JM Kikwete amewekewa pingamizi na Chama cha Demokrasia na maendeleo kwa kukiuka sheria aliyoisaini yeye mwenyewe. Imedaiwa kuwa ameongeza mishahara kwa wafanyakazi kinyume na taratibu za nchi kitu ambacho kisheria kinaonekana ni rushwa. Kwahiyo CHADEMA wamepeleka malalamiko yao kwa tume ya uchaguzi wakiomba jina lake lienguliwe kwenye mbio za kuwania uras wa JMT. Je kweli Tendwa ataweza kusimamia haki?
Sungura
 
Mgombea wa CCM kwenye kiti cha urais, Mh JM Kikwete amewekewa pingamizi na Chama cha Demokrasia na maendeleo kwa kukiuka sheria aliyoisaini yeye mwenyewe. Imedaiwa kuwa ameongeza mishahara kwa wafanyakazi kinyume na taratibu za nchi kiyu ambacho kisheria kinaonekana ni rushwa. Je kweli Tendwa ataweza kusimamia haki?

Haki aisimamie wapi? tusubili maigizo mengine na blah blah kama za mgombea binafsi!
 
sasa hapo ndo CCM jasho litakapowatoka...huyu ni wa kumuengua kwenye list ya wagombea hakuna msalie mtume hapa...
 
Mgombea wa CCM kwenye kiti cha urais, Mh JM Kikwete amewekewa pingamizi na Chama cha Demokrasia na maendeleo kwa kukiuka sheria aliyoisaini yeye mwenyewe. Imedaiwa kuwa ameongeza mishahara kwa wafanyakazi kinyume na taratibu za nchi kiyu ambacho kisheria kinaonekana ni rushwa. Je kweli Tendwa ataweza kusimamia haki?

Source please..!
 
Tusubiri maigizo kama kawaida, ndugu zangu Tanzania huwa kuna mambo ambayo hutendeka na kamwe hayafanyiki nchi nyingine, kubadili mbili ikawa moja na moja ikawa mbili ni kawaida, kama hamuamini subiri blah blah za tendwa na Lewis Makame. Jana kwenye channel ten Tendwa aliwekwa kwenye kona akabaki kujiumauma.
 
sijawahi kushuhudia nchi inapita kwenye mishemishe kama kipindi hiki
 
Duh! Jamani sasa habari za chadema tutakuwa tunapata wapi maana naona kuna hatari tv zote zisitangaze hizi habari!! Nakumbuja ofisi ya AG kupitia TBC ilivyokanusha kikwete kufunguliwa kesi ya kupingwa kugombea urais, japo haikutoa maelezo mengi ila walikataa kabisa kuwa hamna kitu cha namna hiyo lakini ukweli kesi ipo na walitaka itupiliwe mbali japo mahakama imekataa! Naona hakuna habari za chadema tutakazo sikia. Chanel ten wameshaanza tayari kwenye taarifa yao kulikuwa na habari za kampeni za kikwete na malalamiko ya makamba nikajua chadema bado wanakula fungate kumbe leo walikuwa moro, napingamizi limewekwa!! Chadema plz tunahitaji altenative hapa hali itakuwa mbaya!
 
Hongera Chadema kwa move yenu nzuri, kama madai yenu ni ya kweli na NEC-Taifa na Msajili wakayapuuza, mtakuwa mmeonyesha umma na Mataifa ushahidi ulio wazi kuwa kelele mnazopiga za NEC na Msajili kuwa ni mawakala wa CCM ni za kweli, at least mme dare kama mlivyotaja List of shame kuliko kukaa kimya jamii ikawahukumu baadaye, Big up.
 
Mwaka huu CCM wanalo..mimi najaribu kutafakari hali ya mgosi mwenzangu Makamba, macho yatakuwa yamemtoka utadhani tochi ..na asije kulazwa hospitalini mwaka huu.
 
Duh! Jamani sasa habari za chadema tutakuwa tunapata wapi maana naona kuna hatari tv zote zisitangaze hizi habari!! Nakumbuja ofisi ya AG kupitia TBC ilivyokanusha kikwete kufunguliwa kesi ya kupingwa kugombea urais, japo haikutoa maelezo mengi ila walikataa kabisa kuwa hamna kitu cha namna hiyo lakini ukweli kesi ipo na walitaka itupiliwe mbali japo mahakama imekataa! Naona hakuna habari za chadema tutakazo sikia. Chanel ten wameshaanza tayari kwenye taarifa yao kulikuwa na habari za kampeni za kikwete na malalamiko ya makamba nikajua chadema bado wanakula fungate kumbe leo walikuwa moro, napingamizi limewekwa!! Chadema plz tunahitaji altenative hapa hali itakuwa mbaya!

Mkulima . . . CHADEMA wana advaantage moja . . . Wanaweza kuwa Wanapigiwa Kampeni na CCM bila ya wao wenyewe CCM kujua.

Jana Kinana alipoulizwa kwa nini hoja za CUF mpaka leo hawajazijibu akasema kuwa wanazifanyia utafiti. Hii inaonyesha jinsi CHADEMA wanavyowatia kiwewe kiasi cha kukosa subira ya kutafakari na badala yake kuja na kisingizio cha "Wanatumia Lugha isiyo ya Kistaarabu".
bila
 
Back
Top Bottom