Elections 2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

Haya ndiyo mambo muhimu ya kuongolea, sheria zimevunjwa, pesa za umma kutumiaka bila utaratibu maalum. Masuala kama haya ndiyo yanayogusa moja kwa moja maslahi ya watanzania kuliko kuongelea personal issues za upadri wa Slaa ambao haunisaidii.

Ni ukiukwaji wa wazi wa sheria. Ingekuwa nchi zilizoendelea hata angejiuzulul

_______________________________________________
" But whoso looketh into the perfect law of liberty, and continueth therein,
he being not a forgetful hearer, but a doer of the work, this man shall be
blessed in his deed." James 1:25:
 
Haya ndiyo mambo muhimu ya kuongolea, sheria zimevunjwa, pesa za umma kutumiaka bila utaratibu maalum. Masuala kama haya ndiyo yanayogusa moja kwa moja maslahi ya watanzania kuliko kuongelea personal issues za upadri wa Slaa ambao haunisaidii.

Ni ukiukwaji wa wazi wa sheria. Ingekuwa nchi zilizoendelea Kikwete hata angejiuzulul

_______________________________________________
" But whoso looketh into the perfect law of liberty, and continueth therein,
he being not a forgetful hearer, but a doer of the work, this man shall be
blessed in his deed." James 1:25:
 
Ni ukiukwaji wa wazi wa sheria. Ingekuwa nchi zilizoendelea Kikwete hata angejiuzulul

_______________________________________________
" But whoso looketh into the perfect law of liberty, and continueth therein,
he being not a forgetful hearer, but a doer of the work, this man shall be
blessed in his deed." James 1:25:

Yeah -- only that this happens to be a f****** country!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wengi wetu nafikiri hatujazielewa mbinu wanazotumia Chadema wanataka kuifanya CCM kazi yake iwe kujibu tuhuma counterattach na siyo kurusha makombora, kupeleka mashambulizi golini kwa mpinzani asipate pumzi wala upenyo wa kusogelea goli lako, ndicho Chadema inachokifanya.

Hata kama Msajili au NEC watatupilia mbali pingamizi tayari Chadema watakuwa wameacha damage kubwa kwa NEC, Msajili, CCM na JK mwenyewe, na umesikia Slaa alivyosema hata kama likitupiliwa mbali kama wengi tunavyotarajia Msajili afanye watasonga mbele hiyo tosha ni psychological torture kwa CCM ilitumiwa na CUF zanzibar kama utakumbuka.

Damage ninayoisema kwa NEC na Msajili ni kuonesha watanzania kuwa vyombo tulivyonavyo havifai ni double standard na damage kwa CCM na JK, Chadema wanataka kuonesha watanzania ni kwa kiwango gani sheria zetu zinavunjwa na mtu aliyeapa kuzilinda. Mimi nafikiri hilo ndilo lengo hasa la Chadema kwa vile najua na wao Chadema wanajua itakuwa ngumu sana pingamizi lao kupita.

Tuko pamoja
 
Leo katika Tanzania Daima kuna habari inayomnukuu Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa akisema kuwa pingamizi la Slaa dhidi ya Kiwete ni zito.

Ninakuu sehemu husika: "Katika hatua nyingine, Msajili wa wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amesema kuwa pingamizi linalokusudiwa kuwekwa na Chadema dhidi ya mgombea urais wa CCM, Rais Kikwete ni zito, kwani linaigusa serikali inayoongozwa na Rais Kikwete moja kwa moja.

"Akizungumza na waandishi wa habari oifisini mwake jana, Tendwa alisema endapo Chadema itawasilisha pingamizi lao katika ofgsi yake, itamlazimu
kukaa na wanasheria kujadili kwa kina namna ya mishahara hiyo ilivyoongezwa ili kulitolea uamuzi."

[Mwenye complete soft copy ya stori hii tunamuomba atuwekee hapa.]

My take – kwenye red:

Hapa alikuwa na maana vigogo wa CCM?

Kama ningekuwa mimi, ningemuwekea JK pingamizi kwa kuwa afya yake ina utata. Anaanguka ovyo ovyo jukwaani. Hana nguvu tena ya kutembea kwa magari, ndio maana sasa anatembea kwa helikopta!

2011-2015 atatumia muda wake mwingi kwa matibabu, kuliko kuongoza nchi. Hamuoni kwamba itawagharimu Watanzania na Serikali yao fedha nyingi za matibabu yake, pia, kutokuwapo kwake ofisini, nani ataongoza nchi? BILAL? Masikhara haya!

Lipumba nawe weka pingamizi lako!
 
Vyombo vyote vinavyoamua bado vinaibeba CCM na serikali yake.

Kwa mtindo uliopo hatuhitaji kufikiri sana kujua hatima ya pingamizi hilo!!!
 
Leo katika Tanzania Daima kuna habari inayomnukuu Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa akisema kuwa pingamizi la Slaa dhidi ya Kiwete ni zito.

Ninakuu sehemu husika: "Katika hatua nyingine, Msajili wa wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa amesema kuwa pingamizi linalokusudiwa kuwekwa na Chadema dhidi ya mgombea urais wa CCM, Rais Kikwete ni zito, kwani linaigusa serikali inayoongozwa na Rais Kikwete moja kwa moja.

"Akizungumza na waandishi wa habari oifisini mwake jana, Tendwa alisema endapo Chadema itawasilisha pingamizi lao katika ofgsi yake, itamlazimu
kukaa na wanasheria kujadili kwa kina namna ya mishahara hiyo ilivyoongezwa ili kulitolea uamuzi."

[Mwenye complete soft copy ya stori hii tunamuomba atuwekee hapa.]

My take – kwenye red:

Hapa alikuwa na maana vigogo wa CCM?

Nimeshaanza kuona mantiki ya Wapinzania kutaka Tume huru ya uchaguzi! Tutaona Tendwa atakavyojikanyaga kuhusu bosi wake, JK!
 
This is very good.Unajua thinking capacity ya chama tawala imeshuka sana.Kwani hata sheria wanazozipitisha wao hawasomi kabla ya kusaini.Ni sawa na mikataba ya madini.Sasa zinawabana wenyewe.
 
Walipotaja mafisadi hali ilikuwa hivi hivi, hata na kubadili vifungu vya sheria juzi juzi ilikuwa hivi hivi, mwisho wake ulikuwaje?

Hapa naona kuna jambo ambalo halitasahaurika katika historia ya Tanzania. Kuna watu heshima zitashuka mpaka zero muda si mrefu. Kivitu wa kenya mwingine aja.
 
Back
Top Bottom