Dr. Slaa: Kikwete mmiliki wa DOWANS...

Huyu ndiye Msomi kuliko wote Tz, Dr..Dr...Dr....Dr..........JK. We don't wan't him anymore bcoz he thrusted us when we trusted him.
1. Tume huru ya kuunda katiba mpya isichaguliwe na Rais, iundwe thru Bunge, katiba si ya CCM, ni ya wananchi wote
2. Hajaongelea kabisa Dowans na kuwa bubu, kwa issue kubwa kama hii, kama kawaida yake he doesn't care,
ni MAAFA Dr. Slaa mapema warned us kuirudisha CCM, then anaongelea mambo ya Sudan, jamani :frusty::smash:
3. Bunge lipeleke hoja haraka thru wapinzani kutokuwa na Imani na rais
 
Upupu mtupu, unaongelea kodi? Unajuwa kuwa kwa miaka yote kabla ya Kikwete kodi inayokusanywa haikuchangia hata hamsini kwa mia ya bajeti yetu? Tumeona wakati wa Kikwete hali hiyo ikipanda hadi kufikia kuwa sasa tunachangia asilimia sitini ya bajeti yetu kama si zaidi. Tena kupunguka, bajeti imepanda maradufu! Au hilo hulioni?

Huyu Silaa anatafuta kuanzisha choko-choko za uvunjifu wa amani, kila analosema linaashiria kuwa si mwana-siasa bali ni limbukeni na sasa kapata sehemu ya malimbukeni wenzake nao wanamsikiliza bila kuhoji wala kupima. Akumbuke, hatuta ona amani ya Tanzania inavunjika kwa mtazamo wake hasi. Kama ana ushahidi wa hayo si apeleke bungeni na kama hana ushahidi na anaongea pumba ajuwe ndio mwanzo wa mwisho wa fitina zake. Atashughulikiwa kisheria.

Walisha kuwepo watu wa kanisa wenye choko choko kama yeye, mfano ni Mtikila, huyu kwisha nyamazishwa. Sasa huyu hayaoni hayo, na yeye inapaswa sasa anyamazishwe kama mtikila. Na hivyo ndivyo itavokuwa maana kushindwa kwake kura sasa analeta chokochoko.
If you call your mouth a "hole" remember that you're talking/speaking to a known hole; THe Mouth. WE have many holes, You speak like you're the' re real URT president or on behalf!
 
Dr.wa ukweli yupo sahihi, nami namuunga mkono,mimi milishangaa sana nilipomsikia huyu Rais JAKALAUNT KIKWEBAGBO,eti anaunda tume, ambayo itawajibika kwanani,kama si kwake.Huyu jamaa tumsamee bure maana sijui huwa washauri wake ndo hao wenye degree,master and PHD feki,i real don.
katiba ni ya Watanzania ,serikali inatakiwa tu ishirikishwe kama mdau mojawapo mkuu lakini sio kuunda Tume.
shime watanzania msikubali hiki ni kiini macho.Hivi katika hali ya kawaida mtu aliye tuhumiwa na DR.hosea kuwa anawalinda mafisadi kweli anaweza kuweka mazingira huru ya uundwaji wa katiba? ambayo anajua itambana pindi ikipitishwa?.
HAPA NDIPO NAKUMBUKA WINBO WA KIUNAHARAKATI WA MRISHO MPOTO,na kujiuliza je kweli viongozi hao hao wa chama kile kile waliotenda hayo wanadhubutu kutuaminisha umma kuwa wanahitaji katiba mpya? kwa maslahi ya nani? wameshatosheka kula wao ndugu, jamaa na marafiki zao, labda wamemrudia MUUMBA wao.otherwise hiki ni kiini macho.ngoja tusuburi tuone huyu msanii wetu,albam yake hiyo ya katiba mpya itakuwa na nyimbo gani,vina mistari na chorus aina gani?


Dokta wa ukweli au dokta wa kanoni?
 
Gazeti la Tanzania Daima la leo linatuhabarisha ya kuwa Dr. Slaa anamtuhumu JK ndiye mmilki halali wa DOWANS......................hili likiashiria ya kuwa kumbe kashfa nzima ya ufisadi dhidi ya watanzania ilisukwa na kuiva hapo Ikulu chini ya uangalizi mahiri, madhuuti na makini wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...............................je kweli tutafikika kwa hali hii?.................

Vile vile Dr Slaa anamtuhumu JK kuwa ni muasisi wa kasfa za IPTL................na ya kuwa hana nia ya dhati ya kuandika katiba mpya ila anatutupia changa la moto..........................................



Slaa: JK anamiliki Dowans


• Asema hana nia ya kuunda Katiba mpya

na Mwandishi wetu


amka2.gif
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dk. Willbrod Slaa amesema kuwa Rais Jakaya Kikwete ni dikteta.
Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, Dk. Slaa, alisema kitendo cha Rais Kikwete, kutangaza kuwa ameunda tume ya kuanzisha mchakato wa uundwaji wa Katiba mpya na atateua kiongozi na wajumbe kinaashiria kuendeleza udikteta wa uongozi.
Alibainisha kinachotakiwa kuanzishwa hivi sasa ni Constitutional Assembly au Baraza la Katiba (Bunge la Katiba) ambalo ndilo litakalokuwa na wajibu wa kuratibu kura za maoni ya wananchi juu ya uundwaji wa Katiba mpya.
Alisema kitendo cha Rais Kikwete, kutangaza kuunda tume ni kiini macho na kinadhihirisha hana nia ya kutaka kuundwa kwa Katiba mpya.
"Huyu Rais wetu haonyeshi kama yuko 'serious' katika uundaji wa Katiba mpya, anataka kuweka viraka ili aendelee kututawala kidikteta!" alisema.
Aliongeza kuwa kwa kawaida Baraza la Katiba ambalo hapa nchini halipo ndilo lenye jukumu hilo na linatakiwa lifanye mchakato huo kwa kuishirikisha serikali, Bunge, wadau na wananchi.
Alisema hakubaliani na tume ya kuratibu mchakato huo, kwani inaweza kufanya kazi kwa utashi wa aliyewateua na hata Bunge pia linaweza likatumbukia kwenye mtego wa kupitisha kitu kisichokuwa matakwa ya wananchi kwa sababu ya wingi wa wabunge wa chama kimoja.
Alisema katika nchi zote zilizoandika upya Katiba au kutengeneza zilipitia njia ya 'National Constitutional Congress au Convention' (Constitutional Assembly) ambapo ilikubaliwa kati ya serikali, Bunge, wadau mbalimbali na wananchi katika majukwaa yao.
"Constitutional Congress ni chombo kitakachoratibu maoni ya wananchi na wadau mbalimbali na siyo mtu aliyeteuliwa na Rais ambaye anafanya kazi kwa ajili ya kumfurahisha jambo ambalo ni kuendelea kuweka viraka" alisema.
Alisema baada ya chombo hicho kuundwa, maoni ya wadau, wananchi mbalimbali hukusanywa kwa njia itakayokubalika.
Dk. Slaa alisema kuwa 'Constitutional Congress hukaa tena kupitia maoni yote kipengele kwa kipengele na kukubaliana na siyo Rais Kikwete na tume atakayounda jambo ambalo liliwahi kutokea huko nyuma.
Alisema inawezekana Rais Kikwete, hafahamu au kwa makusudi amepuuza kilio cha wananchi ndiyo maana ameunda tume inayowajibika kwa maslahi yake.
Alisema kuwa Katiba siyo mali ya Rais wala ya serikali iliyoko madarakani, bali ni mali ya wananchi.
Dk. Slaa alisema wananchi wanatakiwa kufahamu kuwa wanahitaji chombo chao ambacho kinaweza kuwekewa utaratibu na Bunge, baada ya kupitishwa na Azimio la Bunge, lakini siyo mtu au watu wa tume wanaochaguliwa na Rais.
"Tume hiyo haikubaliki kabisa tunachotaka tunajua hakitakubalika kwa maana hakuna serikali duniani itakayounda tume ya kujinyonga yenyewe, mabadiliko makubwa kwa vyovyote, hayakupendwa na serikali iliyoko madarakani" alisema.
Alisema ana imani kuwa tume hiyo haiwezi kuleta Katiba mpya hivyo kutoa nafasi kwa Rais Kikwete kuendelea kuongoza katika sura ya kidikteta kwa kupitia Katiba ya sasa iliyopitwa na wakati.
Dk. Slaa alisema kuwa inashangaza katika hili ambapo hata Zanzibar wamepiga hatua kwani waliweza kuruhusu kukusanya maoni ya uundaji wa serikali ya kitaifa na si kuundwa kwa tume.
Alisema Katiba mpya haiwezi kamwe kupatikana kwa njia ya tume hiyo (Constitutional Review Commission) kwani zilishawahi kutokea tume za aina hiyo na hakuna kilichofanyika.
Alibainisha kuwa jambo hilo halina tofauti na tume zilizowahi kuundwa na Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi pamoja na ile ya Benjamin Mkapa ambapo matokeo yalikuwa ni kuweka viraka kwenye Katiba tuliyonayo hivi sasa.
"Uzoefu wa Tume za Mwinyi na Mkapa ni kuwa maoni yalikusanywa kwa upendeleo, hojaji zilipelekwa kwenye matawi ya CCM, halmashauri za wilaya vyombo ambavyo vyote ni vya CCM, hatimaye serikali ikatoa mapendekezo ya vifungu vya kurekebishwa na vingine kuachwa, alisema na kuongeza: "hatua hii inawezekana kwa kuwa tume ni ya Rais, na Rais kama alivyosema mwenyewe ndiye atakayepeleka marebisho kwa vyombo husika (Bunge) ambalo karibu lote ni la CCM bado wana wabunge wengi pamoja na kuwa wapinzani wameongezeka sana" alifafanua.
Katika hatua nyingine, Dk. Slaa alisema ameshangazwa na kitendo cha Rais Kikwete kushindwa kufafanua kuhusu suala la kulipwa kwa Kampuni ya Dowans sh bilioni 185 na Shirika la UmemeTanzania (TANESCO).
Alisema fidia hiyo iliyoamriwa na mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa migogoro ya biashara (ICC) hivi karibuni kuwa TANESCO inapaswa iwalipe Dowans fedha hizo baada ya kuvunja mkataba wa kununua umeme.
Alisema kimsingi uvunjwaji wa mkataba huo na sakata zima ni uzembe ambao unapaswa uwekwe wazi na watu wachukuliwe hatua lakini Rais Kikwete haonyeshi kushtushwa na jambo hilo.
Alisema kutokana na majibu ya kiongozi huyo inaonyesha kuwa naye ni sehemu ya kampuni ya Dowans.
Alisema Rais anaonyesha udikteta kwa kuamua kulibeba shirika la umeme nchini (TANESCO) huku wananchi ambao ni walalahoi wakiendelea kunyongwa na upandaji wa gharama hizo.
"Hasemi kuwa kitendo cha kulipa kampuni hiyo kimesababishwa na uzembe wao wenyewe kwa kuleta mitambo ya Richmond iliyozaa Dowans huku yeye akiwa sehemu ya kampuni hizo ameamua kuficha uovu wao" alieleza.
Alisema wataendelea kuhamasisha maandamano pamoja na kupinga gharama kwa kuwa vyama vya upinzani havikusajiliwa kwa Rais bali vimekuwepo kwa mujibu wa sheria ili kuhakikisha vinakataa uozo unaofanywa na serikali.
Dk. Slaa alisema Rais Kikwete amesahau hali ngumu inayowakumba wananchi imetokana na maamuzi mabovu yaliyoanzishwa na wanasiasa wenzake kwa kukubali kufanya mchakato wa IPTL.
"Eti Rais Kikwete anasema upandaji wa umeme ni suala la kibiashara na wanasiasa wasilizungumzie kisiasa inawezekana hana uchungu na Watanzania wanaoshindwa kununua umeme kwa ajili ya kuendeleza biashara zao" alisema.
Alisema vyama vya upinzani vina haki ya kujadili masuala mbalimbali na siyo kama anavyodai kufanya hivyo ni kuendeleza malumbano na ikiwa hataki vyama vifanye hivyo basi hana budi kuvifuta.
Wakati huo huo Chama cha Wananchi (CUF), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete, kutekeleza kwa vitendo ahadi yake aliyoitoa juu ya kupata Katiba mpya itakayokuwa na maslahi ya Watanzania wote.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, bara, Julius Mtatiro, alisema kuwa kitendo cha Rais Kikwete, kukubali kuundwa kwa Katiba mpya kuendane na vitendo hasa kuiunda upya na sio kuifanyia marekebisho kama ilivyokuwa awali.
Alisema Tanzania imefanya marekebisho mara 14 lakini bado kumekuwa na malalamiko hali inayoweza kuleta machafuko nchini na kuipa nchi doa.
Alisema ni kipindi kizuri kwa Rais Kikwete kuiga mfano wa Rais wa Zanzibar wa awamu ya sita Amani Karume kwa kuridhia maridhiano yaliyoleta sura mpya ya Zanzibar.
Alisema suala la Katiba mpya limekuja wakati muafaka, kabla ya kutokea kwa misukosuko inayoweza kuchafua hali ya utulivu na amani ya nchi hatua itakayofanya kupoteza sifa hasa pindi amalizapo muda wake mwaka 2015.
Hata hivyo chama hicho kilimtahadharisha Rais Kikwete kuhakikisha anatembea katika kauli zake hasa kwa kuunda tume makini itakayokuwa huru na isiyokuwa na upendeleo au agenda ya kuibeba CCM, hasa kwa kufanya maamuzi ya upande mmoja.
Aidha katika hotuba yake Rais Kikwete aliahidi kuunda Tume Maalum ya Katiba (Constitutional Review Commission), itakayoratibu mchakato kwa kushirikisha wananchi wote ili waweze kutoa maoni yao juu ya yale wanayotaka yaingizwe katika Katiba mpya.

- Wakati mwingine Dr. Slaa huwa ananiacha hoi sana, I mean wabunge wengi wa CCM wamechaguliwa na nani kama sio wananchi wengi?, sasa watapitishaje matakwa yasiyo ya wananchi wengi wakati sio siri kwamba wabunge wengi wa CCM wamechaguliwa na wananchi wengi!

- I m missing something hapa au what?


William.
 
- Wakati mwingine Dr. Slaa huwa ananiacha hoi sana, I mean wabunge wengi wa CCM wamechaguliwa na nani kama sio wananchi wengi?, sasa watapitishaje matakwa yasiyo ya wananchi wengi wakati sio siri kwamba wabunge wengi wa CCM wamechaguliwa na wananchi wengi!

- I m missing something hapa au what?


William.

najua unaelewa alimaanisha nini lkn ubishi tu ndio unakusumbua. Maslahi ya chama kwanza nchi baadae
 
najua unaelewa alimaanisha nini lkn ubishi tu ndio unakusumbua. Maslahi ya chama kwanza nchi baadae

- Great Thinkers huelimishana, vipi ukinielimisha alichomaanisha, kwamba wananchi wote wa Tanzania ni lazima tukubali mependekezo ya Dr. Slaa na Chadema tu kuhusu marekebisho ya katiba, ndio haki ya Demokrasia ya kweli itakuwa imetendeka?

- Are you kidding me or what?


William.
 
Jibu hoja!
Dar ES Salaam usimwite Dr Slaa eti ni mchochezi! The best man who have love. WE must embrace this Love, CHARISMA. The different between this thug so called DR Kikwete (a HEHE name now we here he is from this province PARE) and DR Slaa is charisma> Go and look in all those dictionaries you know what is CHARISMA? Mr Slaa (I didn't say DR) has charisma, he loves his people like the way Mwalim did (Mwalimu is the first President ot URT).

The man you are advocating is a real thug and a hooligan, the best nane to call him is A retard! A cretin.

40 million people are at risk!
 
Dar ES Salaam usimwite Dr Slaa eti ni mchochezi! The best man who have love. WE must embrace this Love, CHARISMA. The different between this thug so called DR Kikwete (a HEHE name now we here he is from this province PARE) and DR Slaa is charisma> Go and look in all those dictionaries you know what is CHARISMA? Mr Slaa (I didn't say DR) has charisma, he loves his people like the way Mwalim did (Mwalimu is the first President ot URT).

The man you are advocating is a real thug and a hooligan, the best nane to call him is A retard! A cretin.

40 million people are at risk!

- Mhhhh mkuu vipi retards si ni part ya jamii pia au?


William.
 
- Great Thinkers huelimishana, vipi ukinielimisha alichomaanisha, kwamba wananchi wote wa Tanzania ni lazima tukubali mependekezo ya Dr. Slaa na Chadema tu kuhusu marekebisho ya katiba, ndio haki ya Demokrasia ya kweli itakuwa imetendeka?

- Are you kidding me or what?


William.

najua unaelewa alimaanisha nini lkn ubishi tu ndio unakusumbua. Maslahi ya chama kwanza nchi baadae
red
 
- Wakati mwingine Dr. Slaa huwa ananiacha hoi sana, I mean wabunge wengi wa CCM wamechaguliwa na nani kama sio wananchi wengi?, sasa watapitishaje matakwa yasiyo ya wananchi wengi wakati sio siri kwamba wabunge wengi wa CCM wamechaguliwa na wananchi wengi!

- I m missing something hapa au what?

William.
Correct your mind; in the past I asked you about Mzee wa "Galsgow" you never answered this; but why don't you think Mr Slaa (not Dr), is not telling the truth?
read between the lines the man (Mr Slaa) is Brilliant!
 
Yota yamesemwa lakini kwangu mimi naona tatizo tulinalo hapa ni kwamba either mwizi na polisi dili lao moja or mwizi na polisi wamesoma chuo kimoja hivyo wana sifa sawa, ningeweza kuendelea kuelezea hili lakini nadhani mpaka hapo jibu unalo!!
 
Correct your mind; in the past I asked you about Mzee wa "Galsgow" you never answered this; but why don't you think Mr Slaa (not Dr), is not telling the truth?
read between the lines the man (Mr Slaa) is Brilliant!

- Siwezi kutoka kwenye hoja kirahisi hivyo, vipi ukinijibu hoja yangu mkuu? Hayo mengine unaweza kuyafungulia topic zake maana ni mengi mno na yako nje ya mada!

William.
 
Mi ndo maana naipenda JF +dr wa ukweli wanafikiri kabla ya kusema au kuandika, kama JK DOWANS si yake aseme live nani mmiliki wa hii kitu, na kwanini tusikate rufaa, yaani tuwalipe kirahisi rahisi tu, aah HAIINGII AKILINI HATA KIDOGO
 
unapoamua kutoona kwa makusudi kabisa ni lazima hutoona
wenzako wanavyoviona. hivyo msaada ni bora ufungue macho uone
vinginevyo utabaki kutoona japo uwezo wa kuona unao. ni hilo tuu.

- Wakati mwingine Dr. Slaa huwa ananiacha hoi sana, I mean wabunge wengi wa CCM wamechaguliwa na nani kama sio wananchi wengi?, sasa watapitishaje matakwa yasiyo ya wananchi wengi wakati sio siri kwamba wabunge wengi wa CCM wamechaguliwa na wananchi wengi!

- I m missing something hapa au what?

William.
 
- Hapana mkuu the point ni kwamba Tanzania tunahitaji marekebisho ya katiba, lakini sio uwe uamuzi wa Dr. Slaa na Chadema tu!

William.


You write then You think, do it opposite way, u r not good at brainstorming at all, &
you stopped putting FACTS, FACTS today still indoor thinking u possess
1. No Amendmends, we need new constitution, be clear of that, then kama kuna
mazuri in Old const. tutaingiza, period, sijui kama unajua tofauti hapa
2. hakuna mahala katiba itafuata uamuzi wa Dr. Slaa & CDM pekee, ila hoja hii ilikuwa
ya CDM during election, ila uundwaji utashirikisha ALL, as it touches all of us, na tume iwe huru si ya kuchaguliwa na rais, so think then write na acha ligi za michangani hapa as you are.
 
Back
Top Bottom