Dr. Slaa Kashamaliza bado sisi...

Xuma

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
683
196
Wapendwa ndugu WanaJF!
Kwanza poleni na majukumu popote mlipo.
Nafikiri sasa umefika mda tusome alama za nyakati na tuact kama intellectual wa kitanzania.

WKutokana na research niliyoifanya kwa miezi minne sasa nimegundua kuwa watanzania wengi kama vile wasomi, wafanyakazi sekta binafisi na serikalini, wanafunzi wa sekondari na vyuo vikuu na watanzania wote wengineo wote wenye upeo wa juu bila kujali tofauti za kidini, kijinsia, kielimu, umri kabila na eneo la kuzaliwa wanatambua kuwa Jakaya Mrisho Kikwete sio mtu amabaye anatoa uongozi wa maana kwa nchi yetu badala yake yuko pale kulinda maslahi yake na familia yake, rafiki zake (mafisadi) na kutafuta sifa tu.

Na wanatambua kuwa mtanzania pekee kwa sasa anayeweza kuwaunganisha na kusababisha umoja mshikamanao na man[endeleo kwa wantanzani wote ni DR. WILBROAD SLAA tu, japokuwa wapo wengi tu ila hawajitokeza isipokuwa Slaa (PhD).

Wito wangu kwa wanaJF:
tujitokeze na sio kubaki nyuma ya pazia la jf tukinadi sera kificho bali tutoke hapa tuwe live na kuwaongoza wote kudai mabadiliko nakutoa mawazo ya direct kusapoti na kushauri kwa Dr. Slaa.

MUNGU IBARIKI AFRIKA, MUNGU IBARKI TANZANIA.
 
Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!
 
Yan kweli we boya,hv kuna kiongozi mzinzi na malaya kma kikwete??kuoa sio kigezo cha kutokua mzinzi,mkwele ni malaya wa kutupa sizan kma slaa anamfikia hta japo kwa nukta
 
Mnyangudu,hivi tukisema tutumie hili jukwaa kwa kutoa maisha binafsi ya serikali ya kikwete tutafika??mbona unaleta udini??ukweli ni kwamba huu ni mda wa mabadiriko bila kujali dini, kabila wala rangi...tafakari chukua hatua,cheki Tunisia ndo utaelewa nini kitatokea Tanzania mda si mrefu.
 
Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!

ww ****** kweli, unawaza ngono tu, nothing in ur brain like the one you support,
au ulikuwa na dada yako anatafuta mume ulitaka Dr. Slaa amuoe? shiit, pig ww, watu wanongelea maendeleo, ww unaongelea NGONO, prostitute
 
Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!
kwa hiyo unalia kwa sababu hajaoa au kwa sababu hajakuchumbia wewe?
 
Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!

Watu wanazungumzia uongozi wa nchi wewe uzungumzia uchi na chupi! una akili timamu? soma vizuri mawazo ya mwenzako halafu uchangie kadiri ya muktadha siyo unakurupuka tu. Isije siku nyingine watu wakualike kwenda kwenye msiba wewe ukajiandaa kwa sherehe.
 
Kweli watu wengi hatuelewi kabisa. Serilikali ya kikwete inatupeleka wapi? Kuongelea masuala ya mtu binafsi badala ya kutoa mawazo ya jinsi gani tutatoka na janga hili tulilonalo ni sawa na kuwa na mawazo ya nguruwe tu ambaye hajui siku ya kesho itakuwaje.
 
Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!

Tukianza kuchuja sifa za Watu kutokana na kigezo cha namna watumiavyo nyuchi zao sioni wa kubaki akiongoza serikali ya Tanzania.
Ndugu yangu tafuta kigezo kingine. Viongozi wa CCM wameoza wananuka katika masula ya ngono japo wameoa na wengine wana mke zaidi ya mmoja. Hata ile Ze utamu ilifutwa baada ya kuanza kuigusa Ikulu.
Kuna mawaziri na Hawalali na wake zao kitanda kimoja ndoa zao ni boya. Kuna akina makamba wano tumia dhakari zao kama silaka ya kemikali. Hata Prez Kikwete mwenyewe hajui kuchomekea macho mbele ya totoz pamoja na tetesi kwamba ana miwaya inamsumbua kwa sana.
Uzuri wa viongozi wa CCM ni sura tu viunoni wameoza wananuka.
 
Ama! sasa mbona Mnyagundu umenyamaza? Jibu hoja za watu usikimbie kama coward. Au ulikuwa unatest zali nn, umeona moto unawaka ukasepa.JF chibooko.
 
Tukianza kuchuja sifa za Watu kutokana na kigezo cha namna watumiavyo nyuchi zao sioni wa kubaki akiongoza serikali ya Tanzania.
Ndugu yangu tafuta kigezo kingine. Viongozi wa CCM wameoza wananuka katika masula ya ngono japo wameoa na wengine wana mke zaidi ya mmoja. Hata ile Ze utamu ilifutwa baada ya kuanza kuigusa Ikulu.
Kuna mawaziri na Hawalali na wake zao kitanda kimoja ndoa zao ni boya. Kuna akina makamba wano tumia dhakari zao kama silaka ya kemikali. Hata Prez Kikwete mwenyewe hajui kuchomekea macho mbele ya totoz pamoja na tetesi kwamba ana miwaya inamsumbua kwa sana.
Uzuri wa viongozi wa CCM ni sura tu viunoni wameoza wananuka.
Madela wa Madilu, mkuu hapo umepiga kwa silaha za maangamizi. Hawa wadwanzi hayo ndio majibu yanayowafaa. Usipotee sana mkuu jamvini, maana wako wengi wa aina hii na hawapati majibu yanayowastahili.
 
Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!

Kafie mbali na hoja zako mfilisi na kaa kiando na Dr. Kuunganisha watanzania haina maana au lazima na wewe lazima uwepo. Kila familia ina vichaa wake wasiokubaliana na kila kitu kwenye familia. Wewe kama hukubaliani na Dr. wako wanaokubaliana naye. Na wengi wanaokubaliana naye huwezi kuwashawishi ndiyo democrasia.

Kinachonisikitisha juu ya mchango wako ni kuwa umejikita kwenye ambacho wewe unaona ni udhaifu wa Dr. Mbaya zaidi unajipachika ukatoliki kuwa wewe ni zaidi ya Pope kuamua Mambo ya kikatoliki yanayomhusu Dr. Slaa.

Be bold weka dukuduku lako la kweli hadharani unaweza ukapata msaada mzuri wa mawazo ya kukiusaidia jamvini.
 
Kikwete achievements;

Uchumi unakuwa 6.9%

Inflation down 5.5%

Credti facilities imeongezeka

Budget tunajitegemea zaidi ya 67.%

Freedom of expression

Revenue increased to 22.Bl per mnth

Political stability

FDI and investment up

Hivi mchungaji aliwai ku-achieve nini ?

Uchungaji umemshinda
Ukatibu wa wakotiliki katimliwa
Wana CCM walimfukuza

Mchungaji Slaa ni mtaalam wa nini ????
 
Kikwete achievements;

Uchumi unakuwa 6.9%

Inflation down 5.5%

Credti facilities imeongezeka

Budget tunajitegemea zaidi ya 67.%

Freedom of expression

Revenue increased to 22.Bl per mnth

Political stability

FDI and investment up

Hivi mchungaji aliwai ku-achieve nini ?

Uchungaji umemshinda
Ukatibu wa wakotiliki katimliwa
Wana CCM walimfukuza

Mchungaji Slaa ni mtaalam wa nini ????

Umelogwa wewe. Kwa heri...........:car:
 
Dr Slaa huyu ambae hata maisha yake binafsi anashindwa kujisimamia ndio atuunganishe watanzania? Umri alio nao wa miaka 60 bado hajaoa ana hawala ila anamwita mchumba! Padre huyu ameleta aibu kwa kutuvunjia hadhi sisi wakatoliki kwa kuwarubuni viongozi wa kanisa letu! Mungu tuepushie huyu Mzinzi asije iangamiza Tanzania!
tehtehtehteh! Kaaazi kwel kwel !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom