Dr Slaa:..JK amejialika kwenye Mkutano wa Walimu

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,720
Nimesoma gazetini kuwa Dr Slaa amesema kwamba JK amejialika kwenye mkutano wa kitaifa wa CHAMA CHA WAALIMU unaotarajiwa kufanyika Songea hapo kesho 3/10/2010.
Je kama ni kweli inapokelewaje hii?

Wadau wa kutabiri mnadhani atawaahidi nini walimu huyu bingwa wa ahadi zisizotekelezeka?
 
Atawaahidi kuwa atawateua kuwa mawakala wkt wa kura watapiga makofi na kushangilia...........
 
Nimesoma gazetini kuwa Dr Slaa amesema kwamba JK amejialika kwenye mkutano wa kitaifa wa CHAMA CHA WAALIMU unaotarajiwa kufanyika Songea hapo kesho 3/10/2010.
Je kama ni kweli inapokelewaje hii?

Wadau wa kutabiri mnadhani atawaahidi nini walimu huyu bingwa wa ahadi zisizotekelezeka?

Kwanza sijawahi kukataa kura za wafanyakazi, na naomba kura zenu... kila mwalimu nitampa japo Escudo ya kuwahi shuleni kheeeeeeee !!!!!
 
muache aende ila sisi makamanda mbele zaidi....walimu wengi tuna njaa kwa nini KIkwete aje kwenye mkutano wetu?Hatumtaki fisadi huyu...Welcome Dr president Slaa..
 
:llama:atawambia msiwachague wapinzani kwa sababu wana kiherehere, pia mgaya ni mtu safi anafaa sana,nipeni boreshe hali zenu kwani kigoma itakuwa dubai, mwanza amsterdam
 
Kama kawida atamwaga posho ya kikao, na ahadi za kuboresha maisha yao akichaguliwa, bila watu kujiuliza mbona alikuwa Rais na hayo hakutoa? wanao ahidi ni waliokuwa nje ya uongozi jamani. Nadhani hapa kuna uchawi.
 
1) atawaambia wamchague azidi kudumisha amani iliopo. hii ni ahadi pekee itayoweza kuwafanya walimu wamshangilie
2) atazidi kuboresha walimu kimaslahi
3)ataongeza nafasi za masomo kwa walimu wetu. kjambo ambalo kila mwalimu atalifurahia.
4) lkn pia atasema wasichague wapinzani kwani wanaweza kuleta fujo lkn hapa ataongeza kidogo. lkn jeshi letu limejipanga kukabliana na vurugu zozote zile


Huo ndiyo ushuzi wenyewe niliosema hapo awali.
 
ataahidi kuwalipa madeni yao ya tangia 2006............after all hiyo CWT ni kama tawi la sisi em
 
ataahidi kuwalipa madeni yao ya tangia 2006............after all hiyo CWT ni kama tawi la sisi em
Nijuavyo mimi CWT wako makini sana katika mikakati yao, japokuwa katika maamuzi huwa wanatofautiana, lakini suala la kuwa tawi la ccm si sahihi sana!

Katika watu wanaonyanyasika nchini ni watu hawa, then kama watakuwa ni tawi la chama tawala, basi ni masikitiko kwao, maana hawa ndo tunategemea wawe waelewa wa mambo kuliko laymen!
 
atawaahidi kuwajengea jengo jipya la kitega uchumi la walimu, pia atawaahidi kuendelea kuwafukuza wakuu wa wilaya wanaowapiga walimu bakora.
 
ni walimu walimu au walimu wa chekekechekea?kama ni walimu wenye kabisa aisee sijui itakuwaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom