Dr Slaa Jibu tuhuma hizi...!

Kumbe Dr Slaa ni mtendaji mkuu/afisa mwajiri wa CCBRT na Mchagga? Kama data zako za watu wa kaskazini kutibiwa pale CCBRT ni sahihi, je kuna data za wagonjwa kutoka singida, dodoma etc kukatiliwa kutibiwa CCBRT? Kajipange upya, uje na hoaj yenye mshiko.
 
Kumbe Dr Slaa ni mtendaji mkuu/afisa mwajiri wa CCBRT na Mchagga? Kama data zako za watu wa kaskazini kutibiwa pale CCBRT ni sahihi, je kuna data za wagonjwa kutoka singida, dodoma etc kukatiliwa kutibiwa CCBRT?

"Kajipange upya, uje na hoaj yenye mshiko"

yani umemkata ngebe zote,lazima akimbie uzi huyo gamba
 
HAHAHAAA, Wimbo ni ule ule, wachaga wanapendelewa ktk ajira, mtabakia kujadili hayo na hayatawaongezea chochote yatawaumiza roho, mtakufa kwa vijiba vya roho, badala ya kujitahidi kusoma na kuwapeleka shule watoto zenu, mnawakalisha sunday schools mnatarajia kitu gani??? NINYI PIGENI KELELE ZA AJIRA ZA WACHAGA, SISI TUNAENDELEA KUJENGA SHULE NA KUWAPELEKA WATOTO WETU SHULE KWA KASI YA AJABU. Nyambaaaaaaaaaaaaaaaaaafffffffffffffffff zenu
 
Mkuu Kengemumaji na wakuu wangu GT wa JF! Taasisi kama CCBRT ni kubwa na mambo mengi inayoyafanya hapa nchini kila mtu anaweza aka-google na kujisomea. Dr. Slaa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi. Shughuli za kila siku zinasimamiwa na Mtendaji Mkuu ambaye ni mzungu. Wanaandika ktk mtandao wao kwamba wanatibu wagonjwa 120,000 kwa mwaka. Ukisoma zaidi unaona wengi kati ya wagonjwa wa Fistula ambao wanatibiwa bure wanatokea mikoa ya Nyanda za Juu Kusini huko Njombe,Ludewa na Songea. Sikufanikiwa kupata gharama zao kwa huduma nyingine. Lakini mtu yeyote anaweza akaingia ktk wavuti yao ambayo ni; www.ccrbt.or.tz

....well said...and u have a point!nashukuru kwa ufafanuzi,nafikiri mleta mada ameelewa
 
Brazaaaaaaa..,hizo tuhuma zinataja wagonjwa wa fistula tuu..?

...umeambiwa asilimia kubwa wanaotibiwa hapo ni wenye tatizo la fistula!haimaanishi hakuna wagonjwa mengine wasiotibiwa!ndo maana ameshauri kuingia kwenye tovuti yao jaman
 
Wee *****, hivi unajua kuwa kwanza Dr. Slaa sio Katibu bali ni Mwenyekiti? Pili, yeye kama M/Kiti wa Bodi anashughulika na Policy Issues na sio Operational issues? Hujui kuwa CCBRT ina CEO wake ambaye kimsingi jukumu la fedha na uendeshaji wa kila siku wa Taasisi hiyo uko chini yake? Sasa, Slaa anahusikaje hapa? Kwanini usingemfuata CEO akujibu?

...hapo na mimi ndo nashangaa!yaani watu mbona mnapenda kukurupuka!
 
Katibu mkuu wa ccm Ndg Willson Mukama nae Leo ktk msiba ameuimba wimbo huu wa ukanda dhidi ya Chadema,sasa tunazidi kuamini ccm ndio wanaowabagua Watanzania kwa kuanza na ukanda baadae watakuja ukabila/udini wasifikiri watabaki salama.CCM mtalaaniwa na dhambi hii ya kuwagawa binaadamu .
 
Raisi wako Mh Jakaya Kikwete alipewa suti pair sita akauza ngorongoro na serengeti mbona hujamuita aje ajibu tuhuma acha kutuchelewesha wewe unashangaza sana
 
Back
Top Bottom