Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,269
- 4,569
Ni balaa, Juzi nilipita maeneo hayo nikielekea vijiji vya sumbawanga wimbo pekee uliokuwa unasikika ni slaa slaa Dr :decision:
Jiografia yangu imekaa vibaya, kwenda Sumbawanga unapitia Tunduma?
Ni balaa, Juzi nilipita maeneo hayo nikielekea vijiji vya sumbawanga wimbo pekee uliokuwa unasikika ni slaa slaa Dr :decision:
nDIYO MKUU NI KWELI KWENDA SUMBAWANGA UNAPITA TUNDUMAJiografia yangu imekaa vibaya, kwenda Sumbawanga unapitia Tunduma?
jiografia yangu imekaa vibaya, kwenda sumbawanga unapitia tunduma?
Jiografia yangu imekaa vibaya, kwenda Sumbawanga unapitia Tunduma?
Sehemu ya maelfu ya wakazi wa mji wa Tunduma, wakipunga mikono kuashiria kumpokea mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma, ambako alihutubia mkutano wa kampeni
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, akiwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Tunduma, katika mkutano wake wa kampeni, kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma
Hivi hawa NEC wakimtangaza JK ndio mshindi, ataongoza watu gani? Mbona kila kona hakuna anayemuhitaji?
Mwaka huu ukishindwa tena basi UKAWA!
mpaka leo mwendo wa tunduma ni huohuo .
KIlichowashinda kufanya mkutano ni nini mpaka Mbowe kuishia kuwatukana watu wa Tunduma ni nini?
Kawaonyesha alama kuwa hawana akili