YES WE CAN...!!!! Dr Slaa goooooooooo
Mugumu, Excelleent for a good post.
Bendera hii ni moja ya zile za vyama vya upinzani 2010. Mabadiliko ni lazima.
mkuu tunazihitaji hizi pia, tupeni za sumbawanga any body help kuikuza hii picha.haya jamani nimewaelewa ya kwamba sijapost kitu wala kuchangia kwa several weeks. Nilikuwa sumbawanga na jana nikakutana na hii ya dr. Slaa, mkiipenda nitawapa full coverage alivyoingia, mapokezi, hotuba na kishino chake. Je, niendeleze hapa au nifungue uzi mpya wa wps in swanga? Tazama hii jana na ninazo kibao tuuuuuuuu
View attachment 14802