Dr. Slaa: Hakuna huruma kwa wabunge wala rushwa

Dr dr tu,angekuwa Mkama tayali angekuwa ameropoka WAJIVUE MAGAMBA,cdm tunaenda kwa utaratibu sio kukurupuka,Dr umemaliza vijana tunasubili maamuzi ya cc.
 
Hapo kwenye maandishi mekundu, naona kama SLAA amejikanyaga kanyaga vile. Kwa nini asitamke wazi kuwa watawafukuza uanachama? Anaogopa nini?

Kengemumaji.

Dr Slaa yupo sahihi kwa maoni yangu kwamba anasubiri taarifa ili Kikao cha CC kijadili na hatimaye kikishajiridhisha hatua dhidi ya wahusika zitachukuliwa na kikao husika, Slaa kama yeye hana mamlaka ya kumwajibisha au kumfukuza mwanachama au kiongozi yeyote ndani ya chama, CDM sio kampuni wala shirika binafsi nadhani umeelewa.
 
Kwani Zitto yumo kati ya hao wala rushwa wa kwenye kamati za bunge? awajibike kwa sababu yeye kama Zitto kala rushwa, au kuna mbunge kwenye kamati yake kala rushwa? Nieleweshe.
mkuu RIWA upo dunia gani? Zitto kala RUSHWA ni Fisadi Kijana...
 
mkuu RIWA upo dunia gani? Zitto kala RUSHWA ni Fisadi Kijana...
Ongea na utoe ushahidi kwenye hili, ungekua upo sahihi sana,Na kama una ushahidi sivyema kuropokwa,Maana kurokwa ni moja ya dalili za upungufu wa akili.
 
Dr Slaa amebakia kuwa mtu wa kudandia matukio na kuyatolea kauli za ajabu ili aendelee kusikika kwa wananchi kwamba bado yupo kwenye harakati za kisiasa..

Dr Slaa kila siku unatoa mara kauli unaipa wiki serikali kutoa hukumu kwa mafisadi linapokuja kuhongwa kwa wabunge wa Chadema unaleta siasa eti tunaitaji tupate maelezo ya kina chama chetu hakikurupuki kama akitajwa atawajibishwa kupitia kikao cha CC ya chama.

Dar Slaa anasema anasubiri taarifa kutoka kwa Mbowe sasa sijui unasubiri taarifa gani wakati huwezi kufukuza wala rushwa ndani ya chama chako kwa hiyo kama Mbowe naye yumo utafanyaje.
 
.

Rudia kusoma ulichoandika,..unajielewa?

Then jiulize... we mzima kweli?

..
 
Kila atakaye toa shutma aje na prove mezani sio kelele hambazo hazina mantiki.
 
Maamuzi yoyote 'Machungu kwa Mhe.Zitto' yatakayoamuliwa na CC yanaweza kuchukuliwa kama mbinu ya Kummaliza Zitto kuelekea 'Urais wake 2015'..

Chonde chonde!
 
Dr Slaa amebakia kuwa mtu wa kudandia matukio na kuyatolea kauli za ajabu ili aendelee kusikika kwa wananchi kwamba bado yupo kwenye harakati za kisiasa..

Dr Slaa kila siku unatoa mara kauli unaipa wiki serikali kutoa hukumu kwa mafisadi linapokuja kuhongwa kwa wabunge wa Chadema unaleta siasa eti tunaitaji tupate maelezo ya kina chama chetu hakikurupuki kama akitajwa atawajibishwa kupitia kikao cha CC ya chama.

Dar Slaa anasema anasubiri taarifa kutoka kwa Mbowe sasa sijui unasubiri taarifa gani wakati huwezi kufukuza wala rushwa ndani ya chama chako kwa hiyo kama Mbowe naye yumo utafanyaje.

Punguza munkari mkuu wangu.Dr Slaa hawajui hao wala rushwa.Anasubiri report
 
Bora mmejua kua mwisho wa siku binadamu ni binadamu tu awe kutoka ccm au cdm wote ni wezi na wote ni wala rushwa.. Kuna siku nilisema cdm wakichukua nchi na wao wataiba ka ccm nikashambuliwa hapa haya tumejionea wenyewe.. Kuna msemo unasema 'its better the devil you know'

Katika Dunia hii hakuna nchi hata moja, hakuna chama cha siasa hata kimoja kinachoweza kusema kuwa ndani ya nchi yake au ndani ya chama chake watu wote ni wasafi. Kilicho tofauti ni kuwa nchi na vyama vile vyenye uongozi na vilivyo makini huchukua hatua dhidi ya waovu. CCM, serikali yake na JK wanalaumiwa na wanastahili kulaumiwa siyo kwa kuwa na watu wachafu ndani ya serikali na chama chao bali ni kutokuchukua hatua dhidi ya uchafu, kuukumbatia na kuulinda uchafu, na hivyo kuwa sehemu ya uchafu.

Kama vyama vya upinzani vitaweza kuwawajibisha wabunge wao/viongozi wao kwa kupokea au kutoa rushwa, hapo watakuwa wameonesha umakini mkubwa na kuweka bayana utofauti wao na CCM, utofauti wao ni JK.
 
Back
Top Bottom