Dr Slaa from facebook

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Wakuu naona DR Slaa anaweka vitu vya maana sana kule FB si vibaya tukapeana na sisis na tuvijadili
hizi ni za leo
""Watanzania tunataabika kwa maamuzi yetu wenyewe.Tuna miaka mingine mitano ya Maisha bora kwa Dowans na maisha duni kwa kila Mtanzania.Tunailipa Dowans fedha zenye thamani ya Zahanati za kisasa 462 kwa kila zahanati kujengwa kwa gharama ya Tsh. Milioni 400 kila moja""
 
roho zetu zinatuuma sana wapendwa tuna miaka mitano ya kunyanyaswa lakini muda utafika watanzania watakapoamua jambo moja tu, itakuwa ni mapambano ya jino kwa jino na hicho kilio chake itakuwa nikulia na kusaga meno..
 
Aise! kwakweli inaniuma!!! inaniumaaa!!! wakati kijijni kwetu zahanati iliyopo mpata nesi wanakimbia kwa kuwa na mazingila duni na majengo yaliyochoka.
 
Yaani inauma saana na CCM walaaniwe. How come kunakuwa na uzembe kiasi hiki na mpaka sasa sijasikia mtu kajiuzuru kwa kusababisha hii hasara. Kweli TZ ina wenyewe sie wengine wasindikizaji.
 
You cannot simultaneously prevent and prepare for war. We prevented change, so we can't prepare to enjoy the change now!

 
Tutakukumbuka kwa maneno yako mengi tu kwa wenye akili timamu watakukumbuka daima
 
Hawa majambazi sasa wanachokifanya ni kutudharau kabisa!, pamoja na huu ugumu wa maisha tulionao bado wanakunywa pesa zote hizo? jamani sasa cha kufanya ni kuanza kumchukia kila mwanaccm kwakuwa wanachokifanya sasa ni kunya uji wa mgonjwa!.

lakini jamani hawa watu wanawazazi kweli?. na kama wanawazazi nibora tuanze kuwalaumu wazaziwao kuwa walituletea mashetani kwetu!
mimi nadhani kilichobaki ni kuanza kuwashambulia tu!
 
Back
Top Bottom