Dr Slaa embu take advantage ya maafa

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
kwa sababu mzee wa magogoni ameshndwa kutoa tamko kuhusu maafa,nakuomba Dk Slaa toa tamko na pia toa ile helcopt ije itoe msaada nadhani watu wataelewa vizur nani kiongoz bora na nani bora kiongoz
 
Hata aibu hamuoni? matatizo ya wengine ndio mtaji wenu wa siasa. Hata utu hamna.
 
  • Thanks
Reactions: bht
kwa sababu mzee wa magogoni ameshndwa kutoa tamko kuhusu maafa,nakuomba Dk Slaa toa tamko na pia toa ile helcopt ije itoe msaada nadhani watu wataelewa vizur nani kiongoz bora na nani bora kiongoz
tumechoka na matamko hayatusaidii kitu chochote!
 
kwa sababu mzee wa magogoni ameshndwa kutoa tamko kuhusu maafa,nakuomba Dk Slaa toa tamko na pia toa ile helcopt ije itoe msaada nadhani watu wataelewa vizur nani kiongoz bora na nani bora kiongoz

Ni ukweli usiopingika kuwa Slaa ni kiongozi bora lakini kwa sababu ya hila za CCm hakupewa nafasi ya kuwahudumia watanzania, kumbebesha zigo ambalo si lake sio vyema; hapa sio mahali pake.
 
acha uwongo wewe, unavyomona slaa ni wakukatazwa alafu akakubal, angetaka angeshatoa ushrikiano, politics is a dirt game..b crful.
 
Kila mtu atakula alipopeleka mboga. Muujiza ni 2015! Igunga aligongwa na gari mtoto mmoja tu Nape akafungia safari na kuita press conference. Ingekuwa Kafulila ni wa temeke hapa, kina fulani wangepiga mbizi vifua wazi kuokoa watu! Tungejionea sinema ya chee!
 
uONGO WANGU NI UPI NDG? ZIGO LA SERIKALI YA MAGAMBA MUMBEBESHE ALOPIGA MBIU KWA WATANZANIA WAKASHINDWA KUSIKIA?
 
Kila mtu atakula alipopeleka mboga. Muujiza ni 2015! Igunga aligongwa na gari mtoto mmoja tu Nape akafungia safari na kuita press conference. Ingekuwa Kafulila ni wa temeke hapa, kina fulani wangepiga mbizi vifua wazi kuokoa watu! Tungejionea sinema ya chee!

Duh! sina mbavu kwa sinema hiyo .... sipati picha
 
Back
Top Bottom