Elections 2010 Dr. Slaa: Beware of Swift Boat trap!

Hivi Chadema wana nani anayefanya kazi ya kupiga domo wakati huu wa kampeni kama CCM walivyokuwa na Makamba?

Makamba alitakiwa ajibiwe na mtu mwingine Chadema mwenye kazi hiyo (level ya Makamba) na sio Dr Slaa ambaye anagombea uraisi.

Mpaka wakati huu namsikia Dr Slaa peke yake....where is the team?

Wako huku....
Mbowe(Hai)
Zitto(Kigoma)
Mnyika(Ubungo)
Mdee(Kawe)
Mkwe1(Hanang)
 
Inabidi Slaa ajibu kidogokidogo. Lazima awaambie watoa banzi jichoni mwao kwanza.

But Slaa is too smart to allow CCM to choose the topic. Msisahau Slaa ameshapigana na CCM na kushinda mara kadhaa huko nyuma. He will win again.

Vile vile, inawezekana kuna wengine kama Marando na Baregu wanajibu lakini hawasikiki. Vyombo vya habari vingi vimezoea tabia za kuwa vibaraka wa mafisadi.

Go Slaa go! Take the war to them.
 
Dr. Slaa,

Majuzi ulilazimika kusimama kwenye kampeni ukatufungulia maisha yako na mahusiano yao na mchumba wako Bi. Josephina.

Hii ilikuwa ni nia wako kuweka sawa kile ambacho CCM wameanza kukifanya cha kukupata tope la kutokuwa muadilifu kwa kuangalia mahusiano yako na Bi. Rose na Bi. Josephina.

Umeshatoa jibu moja na linatosha. Hauna haja ya kuendelea kutoa hadithi hii au ufafanuzi wa ziada kwa mtu yeyote yule tena.

Lakini, katika majibu yako na kufafanua kwako mahusiano yako ya kiunyumba/ndoa, uliingia kwenye mtego uliotegwa makusudi.

Ulijibu hoja kwa kuwahoji Yusuphu Makamba na Kingunge Ngombare Mwiru na kuwahoji maisha yao na mambo walioyafanya kama vile kuonyesha kuwa wao nao si Waadilifu au hawana mamlaka ya kuongea kuhusu uadilifu.

Mheshimiwa Dr. Slaa, Makamba na Kingunge au yeyote yule wa CCM ambaye si Kikwete si wagombea Urais na hawana lolote lile la maana na wapuuzie bila kupoteza muda wako kujibishana nao.

Wewe unayeshindania naye urais ni Kikwete, he should be your Target and not the attacj dogs.

Sasa hawa wanakuchezea mchezo ule ule waliomgfanyia Salim, nawe tafuta attack bulldogs wako washambulie haya mengine na wewe ubakie kufanya Kampeni za kujinadi wewe na Chama chako na ni nini mtafanya kwa Tanzania.

Aidha kampeni zako ziwekeze kuchambua miaka mitano ya Kikwete na miaka 50 ya CCM hususan miaka 20 ya mwisho na si maisha binafsi ya mtu.

Angalia sana unaweza potea muda jibishana na Makamba mambo ya Udaku ambayo si presidential material nawe ukapoteza nguvu na nafasi ya kuwaambia Watanzania kwa nini KIkwete na CCM hawafai.

You are presidential candidate, with presidential image and credibility, stivk to presidential status and do not allow any one to Swift boat ypu the way Kerry was Swift boated in US elections of 2004 ending up spending a whole heck of time and campaign time fighting Swiftboaters and not addressing the incompetencies of George Bush.

Attack Kikwete on his leadership and his failure to bring progressive development to Tanzania.

Valid point, lakini ukweli ni kuwa Dr. Slaa anaongea sana sera mkuu, ni only a few seconds huwa anarespond to some mud toka CCM leaders na magazeti yake. Kinachotokea ni kuwa hizo sera mara nyingi huwa haziwi picked na kuandikwa kwenye magazeti isipokuwa ni hayo majibu ya 'kusisimua' if you like.

It's worth noting pia kuwa sera ni higher level-strategic intents ambazo zinaweza kuwa ngumu sana kueleweka kwa watu wetu wengi wa vijijini, ni mpaka pale mtu atakaposema ntawaletea uwanja wa ndege wa kimataifa Bukoba vijijini or whatever it is.

Mfano mzuri ni pale Jangwani wakati wa ufunguzi wa mkutano wa CHADEMA, watu walikuwa wengi na wapo excited mabomu ya Marando na wenzake yalipokuwa yanamwagwa na pindi Dr. Slaa alipoanza kuongea sera niliona baadhi ya watu walianza kuondoka.

So far Dr. Slaa is doing much better, na magazeti makini kama Mwananchi, TZ Daima, Raia Mwema na Mwanahalisi yamekuwa yakiandika key policy points za CHADEMA.
 
Nilisema,ninasema na nitarudia kusema kuwa Dr.Slaa anaelekea kufilisika kisiasa...anajichimbia karibu lake mwenyewe.just imagine ma week mangapi yamepita toka campaign zianze...actualy ni muda mrefu bt cha kushangaza huyu jamaa mwenye Ph.D ya Divinity hanadi sera wala ilani(manifesto) ya chama chake...yeye ni kupiga zogo na mipasho majukwaani...alianza na makamba,akaja Kinana,then Pinda na mzee wetu Mkapa...jamani wana CHADEMA kama mpo(coz mm sina chama jamani) mwambieni SLAA anadi sera coz we are not interested na mipasho yake and his marriage saga la sivyo heshima yake itazidi kushuka....
Sina chama jamani....!! WTF!!! mzee wenu na nani?
Jana ulikuja ukilialia kuiwa unakaelimu hovyo ka UDSM, nani unamlaumu kwa kaelimu hovyo hako? kaelimu ka hovyo??!!
 
Dr. Slaa anaongelea sana swala la kuandika katiba mpya, you will be surprised watz hawaonekani kuwa excited na jambo hili and yet it's the biggest thing kwa TZ kwa sasa but only kwa wachache wanaoweza kurelate katiba na maisha yao ya sasa hivi na future yao na watoto wao.

It's very unfortunate kwamba inaweza ikachukua muda sana hili taifa kulingana na kiwango cha wananchi wa Zambia kwenye democratic awareness na rights zao kama raia.

Hata hawa wanafunzi wanaograduate sasa hivi hawanipi matumaini yoyote kwa kweli, ni wale waliokuwa Universities miaka ya 80's na 90's ndo wengi wana ile tunaita critical mindset (I stand to be corrected though).
 
Nilishasema kuwa hakuna njama yenye akili itakayoweza kupangwa na CCM kwa sasa. CCM inaongozwa na vichwa maji...

Ilitakiwa akili ndogo kiasi cha punje ya haradani kujua kuwa kwa kumuanziashia skendo ya 'mapenzi' Dr Slaa atakuwa anaongezewa umaarufu, na sio kuchafuliwa. Mbona mfano uko wazi jamani; Waliplani kila kitu hadi ushahidi wa nguvu tena kwa kesi ya jinai (achilia mbali CCM wanafungua kesi ya madai!), Lakini nini kilitokea kwa Jacob Zuma?!!!!

Tatizo hapa Tz hakuna chombo huru cha habari, vyote vinatumiwa. Kingekuwepo tungewaambia waendeshe maoni kuuliza mtazamo wa waTz kuwa wanmchukuliaje Dr baada ya 'kusemekana amempora mtu mke'. Mngesikia kuwa hakuna mabadiliko, tena ndio watu wengine wangemfaham.
 
Valid point, lakini ukweli ni kuwa Dr. Slaa anaongea sana sera mkuu, ni only a few seconds huwa anarespond to some mud toka CCM leaders na magazeti yake. Kinachotokea ni kuwa hizo sera mara nyingi huwa haziwi picked na kuandikwa kwenye magazeti isipokuwa ni hayo majibu ya 'kusisimua' if you like.

It's worth noting pia kuwa sera ni higher level-strategic intents ambazo zinaweza kuwa ngumu sana kueleweka kwa watu wetu wengi wa vijijini, ni mpaka pale mtu atakaposema ntawaletea uwanja wa ndege wa kimataifa Bukoba vijijini or whatever it is.

Mfano mzuri ni pale Jangwani wakati wa ufunguzi wa mkutano wa CHADEMA, watu walikuwa wengi na wapo excited mabomu ya Marando na wenzake yalipokuwa yanamwagwa na pindi Dr. Slaa alipoanza kuongea sera niliona baadhi ya watu walianza kuondoka.

So far Dr. Slaa is doing much better, na magazeti makini kama Mwananchi, TZ Daima, Raia Mwema na Mwanahalisi yamekuwa yakiandika key policy points za CHADEMA.

Chesty
...Basi zitengenezwe video clip zake kwa wingi na wamwage mtandaoni
....Hivi kweli Chadema hawawezi kufanya hili?
....Wakati camera za kawaida tu sasa hivi unaweza kuchukua video clip nzuri tu
 
Nilisema,ninasema na nitarudia kusema kuwa Dr.Slaa anaelekea kufilisika kisiasa...anajichimbia karibu lake mwenyewe.just imagine ma week mangapi yamepita toka campaign zianze...actualy ni muda mrefu bt cha kushangaza huyu jamaa mwenye Ph.D ya Divinity hanadi sera wala ilani(manifesto) ya chama chake...yeye ni kupiga zogo na mipasho majukwaani...alianza na makamba,akaja Kinana,then Pinda na mzee wetu Mkapa...jamani wana CHADEMA kama mpo(coz mm sina chama jamani) mwambieni SLAA anadi sera coz we are not interested na mipasho yake and his marriage saga la sivyo heshima yake itazidi kushuka....

Sikushangai KM, kwa details zako, uko kazini;

Kijana Mkweli
user-offline.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join DateMon Sep 2010Posts5 Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power0
 
Dr. Slaa,

Majuzi ulilazimika kusimama kwenye kampeni ukatufungulia maisha yako na mahusiano yao na mchumba wako Bi. Josephina.

Hii ilikuwa ni nia wako kuweka sawa kile ambacho CCM wameanza kukifanya cha kukupata tope la kutokuwa muadilifu kwa kuangalia mahusiano yako na Bi. Rose na Bi. Josephina.

Umeshatoa jibu moja na linatosha. Hauna haja ya kuendelea kutoa hadithi hii au ufafanuzi wa ziada kwa mtu yeyote yule tena.

Lakini, katika majibu yako na kufafanua kwako mahusiano yako ya kiunyumba/ndoa, uliingia kwenye mtego uliotegwa makusudi.

Ulijibu hoja kwa kuwahoji Yusuphu Makamba na Kingunge Ngombare Mwiru na kuwahoji maisha yao na mambo walioyafanya kama vile kuonyesha kuwa wao nao si Waadilifu au hawana mamlaka ya kuongea kuhusu uadilifu.

Mheshimiwa Dr. Slaa, Makamba na Kingunge au yeyote yule wa CCM ambaye si Kikwete si wagombea Urais na hawana lolote lile la maana na wapuuzie bila kupoteza muda wako kujibishana nao.

Wewe unayeshindania naye urais ni Kikwete, he should be your Target and not the attacj dogs.

Sasa hawa wanakuchezea mchezo ule ule waliomgfanyia Salim, nawe tafuta attack bulldogs wako washambulie haya mengine na wewe ubakie kufanya Kampeni za kujinadi wewe na Chama chako na ni nini mtafanya kwa Tanzania.

Aidha kampeni zako ziwekeze kuchambua miaka mitano ya Kikwete na miaka 50 ya CCM hususan miaka 20 ya mwisho na si maisha binafsi ya mtu.

Angalia sana unaweza potea muda jibishana na Makamba mambo ya Udaku ambayo si presidential material nawe ukapoteza nguvu na nafasi ya kuwaambia Watanzania kwa nini KIkwete na CCM hawafai.

You are presidential candidate, with presidential image and credibility, stivk to presidential status and do not allow any one to Swift boat ypu the way Kerry was Swift boated in US elections of 2004 ending up spending a whole heck of time and campaign time fighting Swiftboaters and not addressing the incompetencies of George Bush.

Attack Kikwete on his leadership and his failure to bring progressive development to Tanzania.

Ushauri mzuri sana, pointi zote ulizoweka hapo juu ndio hali harisi ya mambo kiu ya watanzania wanataka serikali mbadala ili maisha yao yaboreke,waishi kwa neema na wafaidi maziwa na asali ya utajiri wa nchii hii mpaka sasa hata kwenye daldala ukikaa watu wanasema hawaelewi mambo binafsi ya mtu wao wanataka kiongozi safi atakeyewapitisha kwenye tundu la sindano ili waelekee kwenye neema ya usawa kufaidi matunda wa utajiri wa raslimali za nchii hii ,asijibu kitu yeye aneendelee na sera tuu
 
Kuhusu hili la Josephine na wenzake Dr Slaa awe makini binafsi nina wasi wasi kwamba wameandaliwa hawa watu kwa muda mrefu ili wamkwamishe kwenye uchaguzi naomba tu walio karibu na Dr Slaa wamsaidie kutatua haya.
 
Infact kuwakalia kimya wanaoingilia maisha yake binafsi sidhani kama inafaa.
Kuwajibu inasaidia kuondoa uvumi after all hatumii mda wote kuelezea huo uvumi sometimes huwa anachomekea.
Kwa CCM naona ni trick ili wampotezee mda ila uzuri ni kuwa ayo majungu nguvu ya SODA itafika kipindi watakaa kimya.
Alafu naona prof Mweisiga ashike usukani wa kutolea majibu baadhi ya mambo na mkuu achanje mbuga na helkopta.
 
Has it bcome a norm in Tanzania for people to cheer and fantasize garbage news?

Ninashangaa sana wengi mnavyodai eti Slaa ajibu mapigo kwa mambo ya nguoni. Ni udhaifu gani huu wa kihoja tunaona kuwa njia pekee ya kuiangusha CCM ni kuanza kuongea mambo ya vyupi, gagulo au nani govi?

Hata kama vyombo vya habari vinatumia fursa hii kujipatia mapato kwa kuuza habari zisizo na msingi na manufaa kwa Taifa, kwa nini tusimtake Slaa akaze uzi wa kuuza sera na kuichambua CCM na udhaifu wake wa kiutalawa, uongozi, utendaji na jinsi ilivyokumbatia Ufisadi ambao ndio mzizi mkuu unakwamisha safari ya maendeleo?

Unless mniambie kuwa Watanzania hupiga kura kutokana na udaku, then I will surrender!
 
Rev Kishoka
Uko sahihi kabisa. Dr. Slaa asipoteze muda kubishana na taahira Makamba. Dr. Slaa tuanchie sisi tutakula sahani moja na makamba pale atakapoendelea kuleta upuuzi wake.

We need CCM, the party of all races. The party that doesn't discriminate but cares for the minority Tanzanians
 
We need CCM, the party of all races. The party that doesn't discriminate but cares for the minority Tanzanians
You don't have any other option, but to be with CCM because you can co-exist, it is symyotic; corruption ifested CCM is your main host. You know you guys why you cannot be in opposition? Only two of these 1. Your citzenship will be questioned 2. You cannot survive because you cannot live without corruption, you know it very well.

You better stop writing in this forum because even those moderates who read what you are writing will switch to the opposition.
 
We need CCM, the party of all races. The party that doesn't discriminate but cares for the minority Tanzanians

Hey dude!!!!!!! stop this fuc..ng non-sense, who is dicriminating who? The current CCM is discriminating the masses in whateva sense and yet, you are not even ashamed to raise up ur nose if nt your .. praising it. Who are these fuc..ng minority you are talking about? Do you know anything about wahadzabe and mang'ati? What has CCM done for them for all these years? Where were u when Loliondo was sold as such stealing the minorities' heritage?

You have been seen in every thread trying to whine about CHADEMA this, CUF that....... Stick to what is being discussed otherwise anzisha thread yako kuhusiana na huo upuuzi wako, watu watachangia.

Wewe kama CCM acha watu wa vyama vingine wajadili mambo yao, ndiyo demokrasia hiyo
 
Mengine hayawezi kujibiwa na wapambe ni lazima muhusika mkuu ayavae mwenyewe ,maana ni yeye aliyekwenda jukwaani na kutamba kuwa ana jiko jipya kumbe ni mke wa mtu tena ana watoto wawili tena hajaachika , kwa tabia yake hiyo ya kuzamia wake za watu wengine ndio hata ndani ya Chadema wameanza kumuogopa. Jamani Slaa haaminiki ,wanasikika wakisema.
 
I am not sure if Raj Patel Jr really exist or is just someone who wants to irritate the great thinkers. If you read his threads are not really addressing the real issue; I believe he is just an interrupter. My advice is to ignore his threads and focus on the theme.
 
Back
Top Bottom