Nimesikia leo Nape Mwanza kahoji Dr. Slaa alirudisha lini na wapi kadi ya CCM! Swali hili si dogo limenipa mawazo!
Kama Dr Slaa aliilipia basi ni yake. Anaweza kufanya atakavyo. Vipi yeye Nape card yake CCJ iko wapi?
Nimesikia leo Nape Mwanza kahoji Dr. Slaa alirudisha lini na wapi kadi ya CCM! Swali hili si dogo limenipa mawazo!
hapo ndipo panapofanya niipende jf.mtu anajibiwa kitaalamu na kwa hoja mpaka anakuwa mdogo kama piriton.hivi hata usiporudisha kadi katiba ya ccm inasema hivi kuhusu uanachama:
7. (1) mtu akikubali kuwa mwanachama itabidi atekeleze haya yafuatayo:-(a) atatoa kiingilio cha uanachama(2) viwango vya kiingilio, ada na michango vitawekwa na halmashauri kuu ya taifa.
(b) atalipa ada ya uanachama kila mwezi isipokuwa kama akipenda anaweza kulipa ada ya mwaka mzima mara moja.
(c) atatoa michango yoyote itakayoamuliwa
(3) uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-(a)kufariki.(4) mwanachama ambaye uanachama wake unakwisha kwa sababu yoyote ile hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.
(b)kujiuzulu mwenyewe.
(c)kuachishwa kwa mujibu wa katiba.
(d)kufukuzwa kwa mujibu wa katiba.
(e)kutotimiza masharti ya uanachama.
(f)kujiunga na chama kingine chochote cha siasa.
Nape, katibu mwenezi wa chama anapaswa ajue haya.
my take:
uongo na kuchafuana bado vinatumika kama mtaji wa kisiasa. Watu wameshaamka, tutumie mambo yenye maslahi ya nchi kufanya siasa.
Kama hajarudisha kadi, nape anataka kuwaambia wana ccm kuwa slaa bado mwana ccm?
nnauye jr, mtu akishaacha kulipa ada, au kujiunga rasmi na chama kingine si lazima arudishe kadi. Anakuwa si mwanachama kwa mujibu wa katiba ya ccm.
Hivi hata usiporudisha kadi Katiba ya CCM inasema hivi kuhusu uanachama:
7. (1) Mtu akikubali kuwa Mwanachama itabidi atekeleze haya yafuatayo:-(a) Atatoa kiingilio cha Uanachama(2) Viwango vya kiingilio, ada na michango vitawekwa na Halmashauri Kuu ya Taifa.
(b) Atalipa ada ya Uanachama kila mwezi isipokuwa kama akipenda anaweza kulipa ada ya mwaka mzima mara moja.
(c) Atatoa michango yoyote itakayoamuliwa
(3) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-(a)Kufariki.(4) Mwanachama ambaye uanachama wake unakwisha kwa sababu yoyote ile hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.
(b)Kujiuzulu mwenyewe.
(c)Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d)Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e)Kutotimiza masharti ya uanachama.
(f)Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa.
Nape, Katibu Mwenezi wa Chama anapaswa ajue haya.
My take:
Uongo na kuchafuana bado vinatumika kama mtaji wa kisiasa. Watu wameshaamka, tutumie mambo yenye maslahi ya nchi kufanya siasa.
Kama hajarudisha kadi, Nape anataka kuwaambia wana CCM kuwa Slaa bado mwana CCM?
Nnauye Jr, mtu akishaacha kulipa ada, au kujiunga rasmi na chama kingine si lazima arudishe kadi. Anakuwa si mwanachama kwa mujibu wa katiba ya CCM.
usijeshangaa hata nape mwenyewe hajui katiba ya ccm inasemaje juu ya uanachama wa ccm,otherwise kwa nafasi yake asingekuwa anaongea hayo
Hivi hata usiporudisha kadi Katiba ya CCM inasema hivi kuhusu uanachama:
7. (1) Mtu akikubali kuwa Mwanachama itabidi atekeleze haya yafuatayo:-(a) Atatoa kiingilio cha Uanachama(2) Viwango vya kiingilio, ada na michango vitawekwa na Halmashauri Kuu ya Taifa.
(b) Atalipa ada ya Uanachama kila mwezi isipokuwa kama akipenda anaweza kulipa ada ya mwaka mzima mara moja.
(c) Atatoa michango yoyote itakayoamuliwa
(3) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-(a)Kufariki.(4) Mwanachama ambaye uanachama wake unakwisha kwa sababu yoyote ile hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.
(b)Kujiuzulu mwenyewe.
(c)Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d)Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e)Kutotimiza masharti ya uanachama.
(f)Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa.
Nape, Katibu Mwenezi wa Chama anapaswa ajue haya.
My take:
Uongo na kuchafuana bado vinatumika kama mtaji wa kisiasa. Watu wameshaamka, tutumie mambo yenye maslahi ya nchi kufanya siasa.
Kama hajarudisha kadi, Nape anataka kuwaambia wana CCM kuwa Slaa bado mwana CCM?
Nnauye Jr, mtu akishaacha kulipa ada, au kujiunga rasmi na chama kingine si lazima arudishe kadi. Anakuwa si mwanachama kwa mujibu wa katiba ya CCM.
Kwani wapi Nape kasema juu ya uanachama...uzezeta mwingine bhana hadimkinyaa, kauliza tu kadi ya CCM ya Dr. slaa aliirudisha lini na wapi basi......
Kaitunza wakati wowote anaweza kurudi CCM.
Nimesikia leo Nape Mwanza kahoji Dr. Slaa alirudisha lini na wapi kadi ya CCM! Swali hili si dogo limenipa mawazo!
Tatizo ni Boss wako Nape kuropokaropoka na wale vibaraka wake humu JF wanakuja kuanzisha hoja ushwara kama hii ili walipwe vizuri(Siku hizi wanalipwa kulingana na Topic walizoanzisha)Hakuna hoja hapa mnajadili nini jamani,hapa tunapotezeana muda,mods naomba Thread nyingine kama hizi msiwe mnaziachia kwenda hewani zinatupotezea muda!!!!!!!
Kwani wapi Nape kasema juu ya uanachama...uzezeta mwingine bhana hadimkinyaa, kauliza tu kadi ya CCM ya Dr. slaa aliirudisha lini na wapi basi......
Kwani wakati magamba waliponunua kadi za CDM walizifanya nini pale Jangwani??? Mbona mnaleta hoja za kipu'uzi kwenye forum, kama mmeishiwa hoja tumieni mda wenu kufanya mambo mengine yanayojenga. Tukikujibu kuwa aliitia kibiriti utamfunga???Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.
Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.
Nimesikia leo Nape Mwanza kahoji Dr. Slaa alirudisha lini na wapi kadi ya CCM! Swali hili si dogo limenipa mawazo!
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.
Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.