Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Hata mi naskia ivo na anashirikiana vizuri tu na viongozi wa ccm na serikali ila kisiri sana

Hata mimi pia nimesikia kuwa Dr Slaa anashirikiana kwa siri sana na viongozi wa ccm hasa wale watumishi wa Umma waliompa nyaraka za EPA, uingizaji wa silaha za ccm, wizi wa kura zake na ule waraka wa kufuatilia watumishi wa umma wanaounga mkono chadema ili wafukuzwa.

Ni kweli kabisa nasikia wanakutana mara nyingi sana tena usiku. Wewe Nyaraka muhimu za kifisadi za serikali angezitoa wapi? Ni watumishi wa serikali ya ccm ambao ni wanaccm ndo wamempa? Tuko pamoja mkuu.
kama hii kadi ya ccm aliyonayo faida yake ndo hizi, basi mimi naunga aendelee kuwa nayo. Ila bahati mbaya mambo yake yanaharibu ccm.
 
hata mimi pia nimesikia kuwa dr slaa anashirikiana kwa siri sana na viongozi wa ccm hasa wale watumishi wa umma waliompa nyaraka za epa, uingizaji wa silaha za ccm, wizi wa kura zake na ule waraka wa kufuatilia watumishi wa umma wanaounga mkono chadema ili wafukuzwa.

Ni kweli kabisa nasikia wanakutana mara nyingi sana tena usiku. Wewe nyaraka muhimu za kifisadi za serikali angezitoa wapi? Ni watumishi wa serikali ya ccm ambao ni wanaccm ndo wamempa? Tuko pamoja mkuu.
Kama hii kadi ya ccm aliyonayo faida yake ndo hizi, basi mimi naunga aendelee kuwa nayo. Ila bahati mbaya mambo yake yanaharibu ccm.
ulikuwa unataka ubunge wa karatu kwa maneno yako haya haufai coz siri hauwezi kutunza kuwa makini
 
Mimi siko CCM na ninazo kadi zao 5:........yaani bila kadi ulikuwa hupati haki yako....
  1. Niliyopewa nikiwa sekondari
  2. Niliyopewa nikiwa JKT
  3. Niliyopewa ili nijiunge Chuo Kikuu
  4. Niliyopewa ili nianze kazi
  5. Niliyopewa nilipo omba kiwanja
 
ni kweli naskia hajarudisha kadi na anawasiliana na viongozi wa ccm kwa siri kuu sana

Ndugu zangu nawaombeni msiwe wavivu wa kufanya utafiti japo mdogo kuhusu maswala yanayozungumzwa mara kwa mara, katika sehemu ya pili katiba ya CCM toleo la mwaka 2010 inayohusu WANACHAMA NA VIONGOZI, ibara ya 13. kufungu (1) Uanachama wa mwanachama inaeleza kuhusu kuacha uanachama kwamba utakwisha kwa:-
(a) Kufariki.
(b) Kujiuzulu mwenyewe.
(c) Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d) Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e) Kutotimiza masharti ya uanachama.
(f) Kujiunga na Chama kingine chochote
cha siasa.

(2) Mwanachama ambaye uanachama
wake unakwisha kwa sababu yoyote ile
hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada
aliyotoa wala michango yoyote
aliyoitoa.

Sasa sijui uanachama wa Dr. Slaa kwa CCM uko wapi hapo! labda kama CCM ni kama CIA kupandikiza watu katika vyama vingine yaweza kuwa sawa lakini kama ndo hivyo basi hatuna Chama bali tuna genge la wahalifu linalotakiwa kuteketezwa mara moja. Kwamba wenyewe kwenda kinyume cha Katiba yao ndo utamaduni wao basi hawatakiwi kuaminiwa na watanzania.
 
Aliichana bana. Kama Anayo bado basi kuna haja ya kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja!!!
 
Mkuu kimbunga mimi huwa ninakuheshimu sana kwenye augement zako. Nimekuwa nikifuatilia hoja zako sana mkuu. lakini kwa hili la udaku limenishitua sana kama na wewe unaweza kuamini hivyo.

Mkuu nasjukuru kwa kujeshimu hoja. Nilichokisema nimekisikia kwa masikio yangu mimi mwenyewe. Sasa kama ni udaku basi uko mitaani.
 
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania , mtakumbuka ya kwamba Dr Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa ccm kabla ya kuasi chama na kukimbilia cdm. Hata hivyo, mpaka leo hii Dr Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya ccm.

Ni kweli kwani hiyo kadi alitakiwa aikabidhi kwako lakini mpaka leo bado tu hajakukabidhi. Sijui kwanini kakudharau kiasi hicho.
 
Nani hakusikiliza RTD?Nani hakusoma Mzalendo na Uhuru?Nani hakuwa CCM by default?Leo wangapi hata wanahabari hata habari kama vipindi maarufu kwa enzi zile za giza bado vipo, au hata haya magazeti yapo?Yamekuwa kama yale maduka ya wahindi wazee kuna viatu na nguo ambazo ukiziona unaona kama chafu na zimewekwa kwa kumbukumbu.Yaani hata harufu ni kama store.Kitakachoshtua bi bei yake kuwa vinauzwa na kwa bei mbaya.Unless someone is a collector havivutii hata kupoteza muda kuangalia.
 
Nimesikia leo Nape Mwanza kahoji Dr. Slaa alirudisha lini na wapi kadi ya CCM! Swali hili si dogo limenipa mawazo!
 
Nimesikia leo Nape Mwanza kahoji Dr. Slaa alirudisha lini na wapi kadi ya CCM! Swali hili si dogo limenipa mawazo!

Kweli KATIBU MWENEZI wa CCM ana MUDA wa kuuliza KADI za CCM zimerudishwa WAPI? Hana MENGI yanayomkabili NDANI ya CHAMA CHAKE KITUKUFU? Wananchi wengi bado ni MASIKINI CHINI ya CCM; lakini VIONGOZI wengi Sasa NI MATAJIRI wenye UFISADI wa kupindukia; NADHANI hiyo ndio ingekuwa KAZI yake kuondosha hawa WEZI na kuwaelezea WANANCHI Kuwa PESA wanazolipa KODI zinakwenda KWENYE MIRADI MUHIMU kuliko kwenda KUKOPA kwa WACHINA kila KITU...
 
aiseeeeee babaangu umenena kitu cha maana sana naunga mkono hoja,,

Kweli KATIBU MWENEZI wa CCM ana MUDA wa kuuliza KADI za CCM zimerudishwa WAPI? Hana MENGI yanayomkabili NDANI ya CHAMA CHAKE KITUKUFU? Wananchi wengi bado ni MASIKINI CHINI ya CCM; lakini VIONGOZI wengi Sasa NI MATAJIRI wenye UFISADI wa kupindukia; NADHANI hiyo ndio ingekuwa KAZI yake kuondosha hawa WEZI na kuwaelezea WANANCHI Kuwa PESA wanazolipa KODI zinakwenda KWENYE MIRADI MUHIMU kuliko kwenda KUKOPA kwa WACHINA kila KITU...
 
Dah! Jamani kazi ya propaganda ni ngumu sana kuliko kazi yeyote ile maana w maisha yako na kula kwako ni mpaka upige propaganda na sasa propaganda zikiisha ndio madhara yake haya sasa fikiria mtu mwenye akili timamu kama za Nape unauliza eti swali la kipuuzi kama hili.
 
Hivi hata usiporudisha kadi Katiba ya CCM inasema hivi kuhusu uanachama:
7. (1) Mtu akikubali kuwa Mwanachama itabidi atekeleze haya yafuatayo:-
(a) Atatoa kiingilio cha Uanachama
(b) Atalipa ada ya Uanachama kila mwezi isipokuwa kama akipenda anaweza kulipa ada ya mwaka mzima mara moja.
(c) Atatoa michango yoyote itakayoamuliwa
(2) Viwango vya kiingilio, ada na michango vitawekwa na Halmashauri Kuu ya Taifa.
(3) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-
(a)Kufariki.
(b)Kujiuzulu mwenyewe.
(c)Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d)Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e)Kutotimiza masharti ya uanachama.
(f)Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa.
(4) Mwanachama ambaye uanachama wake unakwisha kwa sababu yoyote ile hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.

Nape, Katibu Mwenezi wa Chama anapaswa ajue haya.

My take:
Uongo na kuchafuana bado vinatumika kama mtaji wa kisiasa. Watu wameshaamka, tutumie mambo yenye maslahi ya nchi kufanya siasa.

Kama hajarudisha kadi, Nape anataka kuwaambia wana CCM kuwa Slaa bado mwana CCM?
Nnauye Jr, mtu akishaacha kulipa ada, au kujiunga rasmi na chama kingine si lazima arudishe kadi. Anakuwa si mwanachama kwa mujibu wa katiba ya CCM.
 
Kwani hao wanaojiunga CDM sasa kadi zao wanazirudisha CCM..? Ci anaziona zinavyokusanywa na kwenda kuchomwa moto..! Hii kutegemea mdomo kupata mahitaji ya kuishi inamsababisha Nape kuwa vuvuzela zembe..
 
Hivi hata usiporudisha kadi Katiba ya CCM inasema hivi kuhusu uanachama:
7. (1) Mtu akikubali kuwa Mwanachama itabidi atekeleze haya yafuatayo:-
(a) Atatoa kiingilio cha Uanachama
(b) Atalipa ada ya Uanachama kila mwezi isipokuwa kama akipenda anaweza kulipa ada ya mwaka mzima mara moja.
(c) Atatoa michango yoyote itakayoamuliwa
(2) Viwango vya kiingilio, ada na michango vitawekwa na Halmashauri Kuu ya Taifa.
(3) Uanachama wa mwanachama utakwisha kwa:-
(a)Kufariki.
(b)Kujiuzulu mwenyewe.
(c)Kuachishwa kwa mujibu wa Katiba.
(d)Kufukuzwa kwa mujibu wa Katiba.
(e)Kutotimiza masharti ya uanachama.
(f)Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa.
(4) Mwanachama ambaye uanachama wake unakwisha kwa sababu yoyote ile hatarudishiwa kiingilio alichokitoa, ada aliyotoa wala michango yoyote aliyoitoa.

Nape, Katibu Mwenezi wa Chama anapaswa ajue haya.

My take:
Uongo na kuchafuana bado vinatumika kama mtaji wa kisiasa. Watu wameshaamka, tutumie mambo yenye maslahi ya nchi kufanya siasa.

Kama hajarudisha kadi, Nape anataka kuwaambia wana CCM kuwa Slaa bado mwana CCM?
Nnauye Jr, mtu akishaacha kulipa ada, au kujiunga rasmi na chama kingine si lazima arudishe kadi. Anakuwa si mwanachama kwa mujibu wa katiba ya CCM.

Oh My God!

Nape Nnauye Jr hata katiba ya chama chako huijui? Au unapotosha makusudi ili wapumbavu waendelee kukupigia makofi?
 
Back
Top Bottom