Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Je kumiliki kadi ya ccm cyo usaliti ?

Kama zitto kabwe angebambwa ha hii kadi ya ccm ingejuwaje?

Cc: Dk slaa

Mtahangaika sana na huo msukule wenu,Badala ya kumshauri atulie nyie mnamshabikia kishamba,atafukuzwa kama mbwa na uzuri nia yake ovu imejidhirisha ndani ya muda mfupi baada ya kuondolewa vyeo vyake.ni nani asiyejua jinsi anavyotumika na ccm? nani asiyejua kuwa mikutano yake kuanzia ule wa SERENA na huko Kigoma iliratibiwa na ccm?
 
Mkuu hapa kuna kitu kimoja that can be easily derived from the all arguments '' Hakuna haja ya kuwa na muamzi wa kuamua nani kalemewa ktk mbinu za kutaka kukitokomeza chama cha upinzani'' ni kwamba nyie b7 mmeishiwa na arguments kabisa hasa baada ya mbinu zenu chafu kushindwa! Yaani such kind of argument mnafikiri ina impact gani ktk perfromance za katibu mkuu, so cheap!!!
 
Hata mi naskia ivo na anashirikiana vizuri tu na viongozi wa ccm na serikali ila kisiri sana
kama bado anayo lakini amesaidia kuijenga cdm hadi kuwa tishio kwa ccm hivyo hiyo itunzwe humohumo kabatini huenda anataka awe ana iona ili hasira iwe ina mpanda zaidi kuimaliza hiyo ccm
 
Hata mimi ninge itunza ili iwe kumbukumbu kwa watoto maana wanao zaliwa wanaweza wasiione hiyo ccm baada ya anguko linalo fuata punde
 
Nyaraka hizi nimhimu tutakaposimulia kuwa kilikuwepo chama kilicho jigeuza kuwa mkoloni wa pili anaye fanya unyama kuliko kaburu wa afrka kusini.Yame kuwa wazi zaidi kwenye oparasheni tokomeza ujangili.Hivi ni vielelezo vya kufundishia kufundishia vizazi vya baadae.Tunza tu Dr.
 
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.

Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.
hivi na wewe umekaa umefikiri ukaona hii nayo ni hoja?mbona mnaishiwa vibaya hivyo mkuu? Kifupi kadi ya CCM ni ya kuchoma moto na si vinginevyo.
 
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania, mtakumbuka ya kwamba Dr. Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa CCM kabla ya kuasi chama na kukimbilia CHADEMA.

Hata hivyo, mpaka leo hii Dr. Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya CCM.

Hivi ishu ni ipi,Dk.Slaa kuwa na kadi ya ccm au ccm kushirikiana na chama rafiki cha kikomonist cha China kuuwa tembo wetu na kuchukuwa meno?
 
natamani mijadala hii ya 'watu' na 'utu' wao, ingeelekezwa katika mambo ya msingi zaidi, kama nchi tungekwamuka hapa tulipo! I hope that in the few hours to come (2014), we will keep on open mind na kuanza kujadili issues, ideas, approaches, strategies, ideologies and methodologies za kututoa tulipo na kutupeleka hatua moja mbele katika maendeleleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kitamaduni. God bless!!

my friend there you are, but if not all, most CCM members do prefer discising reproofs and people rather than ideal, myopic simplitic mind!
 
Amani iwe nanyi, naomba kuuliza je Dr. Slaa ni kada wa CCM? Maana sijaelewa kinachoendelea au naye anamuunga mkono Rais Magufuli?

Naomba mwenye kujua hili anipatie elimu kabwela mimi.

Ahsante.
 
Amani iwe nanyi, naomba kuuliza je Dr slaa ni kada wa ccm? Maana cjaelewa kinachoendelea au naye anamuunga mkono jpm? Naomba mwenye kujua hili anipatie elimu kabwela Mimi.

Asante.
Siyo kada hata kidogo. Ni njaa tu! Moyoni mwake hayupo nao! Njaa mwanamalegeza! If you want to befriend a lion, starve it for weeks or so, then feed it with flesh!
 
Back
Top Bottom