Elections 2010 Dr. Slaa baada ya uchaguzi...

everybody

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
337
103
Hivi wadau haiwezekani kumshawishi yule aliyeshinda jimbo la Dr.Slaa ajiuzulu baada ya kuapishwa ili uchaguzi urudiwe Slaa agombee arudi mjengoni? Sheria inasemaje kwenye hili? Itakuwa pengo kubwa Slaa kuwa njee ya mjengo jamani...
 
Back
Top Bottom