Dr. Slaa awapongeza wananchi wa Kigoma

Unataka kujua anaangalia wapi? Aisee!!!! Ni sawa na kutaka kujua mtu ATAANGUKIA WAPI.......

Kimama kwa mbaali "Ehhhh......." na Mc anatuliza, CCM Oyeeee, KIMYA!!!!!.....

Ndo,alipoangukia
 
Last edited by a moderator:
Wewe nduka na mark wote ni wapumbavu tu! Hoja zenu zote ni za kijinga tu kwani mna chuki binafsi, kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kusubiri kuambiwa mpinzani wa kweli ni nani! Na hao watu wa kigoma akili zao wote zimegoma kubadilika wanabaki hivyohivyo na umaskini wao mpaka wafe, hakuna barabara wala babu yake barabara mpaka uzao wao wenye ufikiri wao robo utakapotoweka kabisa.
 
ni kweli kabisa mkuu, hawa mark pamoja na nduka ni wapumbavu sana, Ndo maana ukiangalia mikoa kama Kigoma, Lindi, Tabora, Tanga na mingineo ya namna hiyo iko chini kimaendeleo kwa sababu watu wake hawataki kubadilika, wenye mawazo mgando kama ya mark na nduka, ikilinganishwa na mikoa kama Mwanza, Arusha, Mbeya ambayo iko juu ni kwasababu wengi wa watu wa huko wanapenda mabadiliko. Wataendelda kubaki hivyo hivyo wakikumbatia ujinga.
 
Hizi ndio kazi zake kwa sasa, baada kuchakachuliwa urais/ubunge?

kazi zake ni izi hapa
11_09_hmaerh.jpg
 
Mr. Mak wewe ndiye mnafiki na siyo Dr. Slaa. Oooh kwetu Kigoma mara hatumhitaji Dr. Slaa. Jaribu kujenga uzalendo acha unafiki. Miaka 50 ya uhuru bado Kigoma haina barabara ya uhakika toka Dar na bado unaishabikia CCM. Lazima una tatizo la kutafakari na kuona mbele. Pole sana Mr. Mak jaribu kwenda kwenye maombi. kwanza halafu urudi kwenye forum na mawazo mbadala.
 
hivi hadi sasa hujagundua kuwa mr.mak,kashaga,nduka na wapuuzi wengine kamawatatu hivi wametumwa na zitto kabwe??fuatilia kwa makini posts zao utagundua...
 
Kigoma ni kwetu baba hapo walisha msoma nyendo zake zote, wanamuelewa ni balaa, wala asijidanganye kuwa kwa yeye hapo kgm mjini eti ana kula, muulizeni madiwani wa chadema mjini ni wangapi na yeye alipata kula ngapi?. Walipofariki wafuasu wa chadema hapo ujiji mbona hakuonekana. Unajua hiyo ndiyo ajira yake iliyobaki kwa sasa kwahiyo kuzunguuka kwake nchini hatumshangai. Sijasikia tatizo hata moja analotoa solution yeye ni mzee wa kulalamika. Kigoma siasa ya upinzani tumeijua yeye bado ni padre.achukue zake time Kg(Lwama) hatuhitaji wanafiki, na anaona aibu kwa alivyotaka kujifanyisha kwa mbunge wetu Zitto.

Dalili za ugonjwa wa akili huanza hivi
 
Dr yupo Kg kwa siku kadhaa akiwa amekuja kutoa semina elekezi kwa madiwani wa cdm na meya. Amehutubia ktk mkutano mkubwa wa wakazi wa kigoma mjini. Jaman Dr ni kipenz cha wa tz. Kaongea mambo mengi ikiwe matamuko waliyoyatoa jana. Pia kasema aliokoa nchi baada ya matokeo ya uchaguz kutangazwa. Dr anapendwa jaman

Mbona hawakumpa kura za kwezesha kuwa Rais.

Kigoma wana msimamo, wanampenda mtu sio chama, Mfano Kafulila
 
huyu kasisi(slaa) kwasasa hiyo ndio ajira yake kwani hana kazi nyingine yoyote yakumwingizia kipato,sasa atakula nini akikaa tuu? lazima azitumikie milioni 13 anazopewa kila mwezi,sasa mkuu unafikiri wachaga wale watatoa hela bila kuifanyia kazi? piga kazi mzee slaa siku ziende,ukimaliza huko nenda pemba ukajenge chama pia
Maranyingi huwa una point, leo imekuwaje mkuu.
 
Kashaga-MacAfee-Antivirus 2011
Mr-mak-Kaspersky Antivirus 2011
Nduka-Avira AntiVir Personal 2011

Hawa jamaa lazima watakuwa si watanzania.

Kigoma ni kwetu baba hapo walisha msoma nyendo zake zote, wanamuelewa ni balaa, wala asijidanganye kuwa kwa yeye hapo kgm mjini eti ana kula, muulizeni madiwani wa chadema mjini ni wangapi na yeye alipata kula ngapi?. Walipofariki wafuasu wa chadema hapo ujiji mbona hakuonekana. Unajua hiyo ndiyo ajira yake iliyobaki kwa sasa kwahiyo kuzunguuka kwake nchini hatumshangai. Sijasikia tatizo hata moja analotoa solution yeye ni mzee wa kulalamika. Kigoma siasa ya upinzani tumeijua yeye bado ni padre.achukue zake time Kg(Lwama) hatuhitaji wanafiki, na anaona aibu kwa alivyotaka kujifanyisha kwa mbunge wetu Zitto.

Binafsi nakubaliana na wewe. Sioni ni jipya gani Padre Dr Slaa ana weza leta kwa watu wa Ujiji. yeye anataka kura zenu kisha wafaidi wa kaskazi.

Nimeshukuru sana wa Kigoma kuligundua hilo. Hana jipya Huyo Padre
 
Mimi nashangaa hadi leo Kigoma kuna watu wanaishabikia CCM, ilhali huko hakuna barabara ya lami pamoja na kwamba ni mkoa kongwe na ulio na umaarufu wake....! Nazidi kuamini kuwa "Only fools may not change their minds....."
 
Halafu walijiunga JF bila hata ya kupiga hodi. tatizo ninaloliona ni shule less ndizo zinazowasumbua. Mimi nawafananisha na akina Tambwe Hizza. Dawa yao ni kuwapuuza kwa kwenda mbele. Wameshalipwa kuchafua khali ya hewa humu ndani. Wanawanyooshea wenzao kidole, nami nawanyooshea tena kidole cha k..t.

Hahaha mi nashangaa sana hawa mamluki wamezaliwa mwaka gani maana woooote 2011..Tena JF inapata bad impression these days kwa sababu yao... Huu mwaka mkosi nilitaka kuoa lakini kama wanawake wenyewe ndo hawa basi tena naahirisha....
MAK Join Date : 23rd February 2011
Posts : 147
Thanks
28
Thanked 22 Times in 20 Posts
Rep Power : 21

NDUKA Join Date : 25th February 2011
Posts : 163
Thanks
3
Thanked 14 Times in 7 Posts
Rep Power : 21

KASHAGA Join Date : 20th January 2011
Location : Soweto
Posts : 286
Thanks
85
Thanked 56 Times in 39 Posts
Rep Power : 21
 
Mbona wamekimbia mapema kiasi hikiiiii, aaaah labda wanajiandaa kurudia shule kwani matokeo yako kwa shule ya kata hayakuwa mazuri. Kwa jinsi walivyojipaka matope nawashauri waiache Jf kwani hapa siyo mahali pao.

Nyie mabinti ( Kashanga, Mr-mak na Nduka) wekeni nguvu nyingi katika kurudia form 4, kwani mkiendelea kukaa Jf mtafeli tena, hapa watu walishamaliza vidato

Kashaga-MacAfee-Antivirus 2011
Mr-mak-Kaspersky Antivirus 2011
Nduka-Avira AntiVir Personal 2011

Hawa jamaa lazima watakuwa si watanzania.

Back
Top Bottom