Dr. SLAA awapa tumaini Watanzania

Asubuhi hii kwenye mtandao wa kijamii wa twitter Dr Slaa ametweet hivi:
"Watanzania wataichukua nchi yao mwaka 2015.Tuzidi kuungana tukielekea kukamilisha azma ya kuikomboa upya nchi yetu.Nawatakia Jumapili njema."

Naona yuko kambi ya Lowasa, anaganga njaa
 
naam!safari ya kuelekea nchi ya asali na maziwa ndio hiyoo!

Tendwa ona ccm wanavyotwangana lakini umeufyata kimyaa!
 
Asubuhi hii kwenye mtandao wa kijamii wa twitter Dr Slaa ametweet hivi:
"Watanzania wataichukua nchi yao mwaka 2015.Tuzidi kuungana tukielekea kukamilisha azma ya kuikomboa upya nchi yetu.Nawatakia Jumapili njema."

Nadhani anamananisha kuwa CDM itatoa somo la nguvu leo hii katika uchaguzi unaondelea hivi sasa na kisha baadae 2015 waungwana wote wanajua kura zao wapeleke wapi?????
 
baada ya ukombozi kwa mara nyingine, walioshikilia nchi kwa sasa wataachwa wabaki kama wawekezaji? au watatakiwa warudi kwao kama wale wa mara ya kwanza?
 
Bado2 anauota urais? namuona kama ni mtu aliyechangia kuharibu maadili ya watanzania kudharau vyombo vya sheria na mamlaka zilizowekwa kwa mujibu wa sheria
 
Nadhani anamananisha kuwa CDM itatoa somo la nguvu leo hii katika uchaguzi unaondelea hivi sasa na kisha baadae 2015 waungwana wote wanajua kura zao wapeleke wapi?????

mkuu nataka ukachukue jimbo huko kwenu 2015 au unasemaje...hahaha
 
Bado2 anauota urais? namuona kama ni mtu aliyechangia kuharibu maadili ya watanzania kudharau vyombo vya sheria na mamlaka zilizowekwa kwa mujibu wa sheria

Kama kweli ndivyo unavyoona,basi macho yako hayana ushirikiano nenda kamuone dkt!
 
Bado2 anauota urais? namuona kama ni mtu aliyechangia kuharibu maadili ya watanzania kudharau vyombo vya sheria na mamlaka zilizowekwa kwa mujibu wa sheria

Nchi hii inabaki nyuma kwa sababu ya mbulula kama wewe usiyejua lolote kwako bora kukuche tu ******mkubwa wewe kajipange
 
Nasubiri kuona matokeo ya uchaguzi wa madiwani nchi nzima ndipo tutajua kazi ya CDM imefanikiwa kiasi gani katika kuwafikia wananchi.
 
Hakika Dr Slaa ni tunu maalum tuliyopewa na mwenyezi Mungu ili aje atukomboe. Long live Dr Slaa, long live CHADEMA. Ameen.
 
well, chadema ina wafuasi wengi sana, maana ktk pitapita zangu huko na kule kila unaemsikiliza ni people's power!! Khaaa! Kumbe wengi ni wapiga kelele na wala si wapiga kura!? Je, tunataka mabadiliko ya kweli? Au tunapenda kusikika tukisema dr. Wa ukweli, people's power na makelele mengineyo?
 
Eti Rais wa moyoni mwake sasa si bora asigombe kwani tayari rais wenu
 
Back
Top Bottom