Dr Slaa atuhumiwa kuzua kifo cha Dr Yohana Balele.

vp kuhusu kikwete na speech yake?kwamba mabomu ya GMT yalilipuka usiku wa tarehe 17 badala ya 16?? mbona hukuanzisha thread kuhusu hilo??au nawwewe ni kilaza tu kama JK???

bora hiyo ya tarehe anaweza kusema typing error na yeye kichwa chake kina mambo mengi kujua tukio la kitaifa kama lile na kusahihisha hata kama ilikuwa ni typing error.

Kilichoniuma kwenye hii spichi ya raisi wa TBC na MAFISADI ni kuona hasara kubwa iliyopatikana kwenye tukio la gongolamboto ni yale mabomu kwanza na sio watu, yani kama sio binadamu vile hata kama anaandikiwa spichi ila huyu kazidi, full kilaza
 
Ina maslahi ndo maana Mh Padri Slaa akawa radhi kushuhudia uongo.

wewe pamoja na huyo mtu anaeitwa do santos mmetumwa nyie, kazi yenu ni kujadili maisha ya ndani ya slaa, mara mumuite mh. Padri, mara kaiba mke wa mtu, haya yote yana uhusiano gani na maendeleo ya nchi yetu?

Yana uhusuani gani na harakati za docta slaa zinazoonekana kuleta matunda? Mbona mu wanafiki? Na sisi tukianza kuangalia maisha ya kiundani ya ninyi, mtajisikiaje?
 
Sipendi kuchangia siasa kwa kua sio muumini maana
Binafsi naamini Siasa ni Siasa ila napoguswa acha niseme.
Mbona upadre wa Dr Slaa unawauma sana?
Cha ajabu umeanza kutajwa kwenye kampeni za Urais
Tangu 2008 nimeanza kusoma JF sikuwahi kujua kua Dr Slaa
aliwahi kuwa Padri.
Jadilini hoja acheni UDINI
 
Ukihoji sana mambo ya slaa utapigwa ban. Niliwahi kusema huko nyuma kwamba lolote atalosema au kufanya watafurahia hata kama kakosea. Hata akifanya mambo ya toilet hadharani watashangilia dr! dr! Dr! Leo kuchukua mke wa mtu linaonekana jambo halali na lisilo tatizo lolote ktk jamii. Bado wanampa heshima ya udr wa 'ukweli' wa alichosomea

look me in mine eyes when i saya CRAP!!
 
partial crap!
Hujaona issues pertinent za kudiscuss?
Ina maslahi gani kwa future ya nchi yetu?...Punguzeni bei ya sukari kama mlivyoahidi, trivial issues waachieni Uswazi!

Huyu kasema hivi, mwingine eti nothing to discuss! Kiongozi mkubwa kama Dr. Slaa anakurupuka tu anazusha kifo cha mtu ninyi mnaona sawa tu? Ingekuwa Rais JK ndiyo kasema au kakurupuka hivi...mama weeeee, yangerushwa madongo hapa hujawahi kuona na kuitwa kila jina baya.

Ninachosema ni kwamba mkuki mttamu kwa nguruwe tu, kwa binadamu mchungu. Tuwe fair, tuwe tunakubali pale tunapokosea na kukosolewa siyo kila saa CDM tu ndiyo wako right.

Kwa hili tukubali yaishe tu kwamba Dr. wa ukweli aliingia choo cha kike kidogo. Napita wakuu.
 
Tatizo dr. ni philosopher so kufa hakuna maana ya kufa mwili tu inaweza kuwa alikili au kiroho. kuna viongozi wengine ni wazima kabisa na wanapua vizuri lakini hawana mchango wowote ni kama wafu tu.
 
Huyu kasema hivi, mwingine eti nothing to discuss! Kiongozi mkubwa kama Dr. Slaa anakurupuka tu anazusha kifo cha mtu ninyi mnaona sawa tu? Ingekuwa Rais JK ndiyo kasema au kakurupuka hivi...mama weeeee, yangerushwa madongo hapa hujawahi kuona na kuitwa kila jina baya.
Ninachosema ni kwamba mkuki mttamu kwa nguruwe tu, kwa binadamu mchungu. Tuwe fair, tuwe tunakubali pale tunapokosea na kukosolewa siyo kila saa CDM tu ndiyo wako right. Kwa hili tukubali yaishe tu kwamba Dr. wa ukweli aliingia choo cha kike kidogo. Napita wakuu.

Sikushangai kwa sababu uliingia JF siku ya wapendanao na unaonekana unamzimia Dr wa Ukweli (Slaa), lakini elewa yule ana mke wake na wanavyoongea wakubwa kaa kimya jifunze adabu kama huna adabu rudi kule Facebook ukajibizane na watoto wenzio...
 
Strange! kwahiyo jamaa yu hai! haya ni maajabu maana kuna mwana JF aliyeleta taarifa ya Lau Masha kuwa RC alisema yupo Bugando wana shughulikia usafirishaji wa mwili wa marehemu Balele, na ndipo akapata hizo taarifa za masha kuwa RC?? watu wengine bwana! Halafu na Slaa naye awe ana verify information zingine ona hili sasa.

Slaa si huwa anaingia humu JF, nae anafikiri kila habari za JF ni ukweli!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom