Dr Slaa atuhumiwa kuzua kifo cha Dr Yohana Balele.

Katika mila zetu ni mwiko kumuita mtu aliyekuzidi umri muongo. Kwa minajili hiyo, kwa leo sitamuita Dr Slaa kuwa ni muongo ila ninasema kuwa si mkweli. Jana ametangazia umma kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Yohana Balele kuwa amefariki. Binafsi nilipata na mshtuko lakini nikasema na kujipa moyo kuwa kazi ya Mola haina makosa. Cha ajabu, leo ninaangalia habari TBC1, RPC wa Shinyanga amekanusha habari hiyo na kusema si kweli.
Swali la kujiuliza ni kuwa je Dr alikuwa na nia gani kuzusha kifo? Najua walamba viatu wake wataibuka na kunishambulia.

Unaogopa kumuita Sr Slaa ni Muongo kwa sababu unajua nini nini kina mkabili PINDA huko bungeni, ukweli ni kuwa hiyo taaarifa haikutoka kwa Slaa alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara na yeye alisema kabisa kuwa kuwa amepata ujumbe kwenye simu yake kuwa kuna taarifa kuwa "Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Yohana Balele amefarikid dunia" sasa hapo mkweli ni nani na muongo ni nani, he was just conveying a message aliyoipata, utaona kama kutakuwa na kesi ya kujibu, ukweli ni kwamba TBC ni chombo cha propoganda cha CCM, kama unafuatilia hakuna habari ya CDM ambayo ni Positive imetangazwa na TBC tangu maandamano yaanzae, isipokuwa leo wanataka kumfanya DR ni Muongo kwa kumleta Polisi aongee kwenye Tv ya taifa, wala sio kuonyesha mikutano ya CDM , Muongo anajulukana ni WAziri Mkuu aliongopea bunge Dodoma
 
..Dr.Kikwete naye hakuwa mkweli alipodai hamfahamu mmiliki wa Dowans.

..Pinda naye hakuwa mkweli ktk kauli zake alizozitoa bungeni.

..kwa upande wangu hili suala la Dr.Slaa linaweza kuwa-excusable kuliko ya hayo ya wahemishimiwa niliotangulia kuwataja.
 
Katika mila zetu ni mwiko kumuita mtu aliyekuzidi umri muongo. Kwa minajili hiyo, kwa leo sitamuita Dr Slaa kuwa ni muongo ila ninasema kuwa si mkweli. Jana ametangazia umma kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Yohana Balele kuwa amefariki. Binafsi nilipata na mshtuko lakini nikasema na kujipa moyo kuwa kazi ya Mola haina makosa. Cha ajabu, leo ninaangalia habari TBC1, RPC wa Shinyanga amekanusha habari hiyo na kusema si kweli.
Swali la kujiuliza ni kuwa je Dr alikuwa na nia gani kuzusha kifo? Najua walamba viatu wake wataibuka na kunishambulia.

Hakuna mlamba viatu humu jamvini kwa leo sitakushambulia maana umejionea huruma mwenyewe leo pita lakini siku nyingine usirudie
 
Unaogopa kumuita Sr Slaa ni Muongo kwa sababu unajua nini nini kina mkabili PINDA huko bungeni, ukweli ni kuwa hiyo taaarifa haikutoka kwa Slaa alipokuwa kwenye mkutano wa hadhara na yeye alisema kabisa kuwa kuwa amepata ujumbe kwenye simu yake kuwa kuna taarifa kuwa "Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Yohana Balele amefarikid dunia" sasa hapo mkweli ni nani na muongo ni nani, he was just conveying a message aliyoipata, utaona kama kutakuwa na kesi ya kujibu, ukweli ni kwamba TBC ni chombo cha propoganda cha CCM, kama unafuatilia hakuna habari ya CDM ambayo ni Positive imetangazwa na TBC tangu maandamano yaanzae, isipokuwa leo wanataka kumfanya DR ni Muongo kwa kumleta Polisi aongee kwenye Tv ya taifa, wala sio kuonyesha mikutano ya CDM , Muongo anajulukana ni WAziri Mkuu aliongopea bunge Dodoma

Afadhali umemwelimisha KAUMZA kuhusu propaganda alizozipata kule TBCCM!
 
vp kuhusu kikwete na speech yake?kwamba mabomu ya GMT yalilipuka usiku wa tarehe 17 badala ya 16?? mbona hukuanzisha thread kuhusu hilo??au nawwewe ni kilaza tu kama JK???
 
Katika mila zetu ni mwiko kumuita mtu aliyekuzidi umri muongo. Kwa minajili hiyo, kwa leo sitamuita Dr Slaa kuwa ni muongo ila ninasema kuwa si mkweli. Jana ametangazia umma kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Yohana Balele kuwa amefariki. Binafsi nilipata na mshtuko lakini nikasema na kujipa moyo kuwa kazi ya Mola haina makosa. Cha ajabu, leo ninaangalia habari TBC1, RPC wa Shinyanga amekanusha habari hiyo na kusema si kweli.
Swali la kujiuliza ni kuwa je Dr alikuwa na nia gani kuzusha kifo? Najua walamba viatu wake wataibuka na kunishambulia.

hakuna mramba viatu wa Dr slaa bali wew uelewa wako ni mdogo ktk kuchanganua matamushi yaliyosemwa.kwa kukusaidia alisema kwamba nanukuu amepokea taarifa kutoka mezani japo taarifa hizi hana uhakika nazo hawezi tangaza kifo cha mkuu wa mkoa rasmi na kutokana na kwamba kazi ya mora haina makosa basi tumuombee
 
partial crap! Hujaona issues pertinent za kudiscuss? Ina maslahi gani kwa future ya nchi yetu?...Punguzeni bei ya sukari kama mlivyoahidi, trivial issues waachieni Uswazi!
Ina maslahi ndo maana Mh Padri Slaa akawa radhi kushuhudia uongo.
 
Ukihoji sana mambo ya slaa utapigwa ban. Niliwahi kusema huko nyuma kwamba lolote atalosema au kufanya watafurahia hata kama kakosea.

Hata akifanya mambo ya toilet hadharani watashangilia dr! dr! Dr! Leo kuchukua mke wa mtu linaonekana jambo halali na lisilo tatizo lolote ktk jamii. Bado wanampa heshima ya udr wa 'ukweli' wa alichosomea
 
Duh!!!!!!!! Kumbe KAUMIZA onaogopa kushambuliwa kwa maneno!

Jenga hoja zako acha watu wajadili, Wasio sema ukweli ni pamoja na Pinda (Bungeni), Makame (Matoke ya Uchaguzi), Makamba (Kuacha/kuachishwa kazi ya ualimu) Weka thread zao tujadili uongo wao pia.
 
Ukihoji sana mambo ya slaa utapigwa ban. Niliwahi kusema huko nyuma kwamba lolote atalosema au kufanya watafurahia hata kama kakosea. Hata akifanya mambo ya toilet hadharani watashangilia dr! dr! Dr! Leo kuchukua mke wa mtu linaonekana jambo halali na lisilo tatizo lolote ktk jamii. Bado wanampa heshima ya udr wa 'ukweli' wa alichosomea
uwe na heshima kwa walio kuzidi umri, usiwe mpumbavu.
 
Ukihoji sana mambo ya slaa utapigwa ban. Niliwahi kusema huko nyuma kwamba lolote atalosema au kufanya watafurahia hata kama kakosea. Hata akifanya mambo ya toilet hadharani watashangilia dr! dr! Dr! Leo kuchukua mke wa mtu linaonekana jambo halali na lisilo tatizo lolote ktk jamii. Bado wanampa heshima ya udr wa 'ukweli' wa alichosomea

kheeee ...we wa wapi tena!?lol,wenzako wanaongelea mengine weye unaleta mengine ,wewe dogo nadhani huna vigezo vya kuwa ktk jf mana hakuna ulichoandika cha ki -great thinker,huna hoja,huwezi kutetea hoja we unachomekea kioja chako ,kama unayosema ni kweli mbona anayejidai kaibiwa mke amelala mbele na fidia ameiacha ,enyi ccm acheni mbinu chafu za kubambikia watu kesi zisizo na kichwa wala miguu kwani hayo ni personal life ....vp mkwere ana wake wangapi?dogodogo,vicheche wangapi?vodafasta je?au mkwere ana mke mmoja mama salma tu...penda kuchangia mambo ambayo yataleta tija ktk maendeleo ya tz na si private life,think critically before talk,
 
Ukihoji sana mambo ya slaa utapigwa ban. Niliwahi kusema huko nyuma kwamba lolote atalosema au kufanya watafurahia hata kama kakosea. Hata akifanya mambo ya toilet hadharani watashangilia dr! dr! Dr! Leo kuchukua mke wa mtu linaonekana jambo halali na lisilo tatizo lolote ktk jamii. Bado wanampa heshima ya udr wa 'ukweli' wa alichosomea

''Any man who reads too much and uses his own brain too little falls into lazy habits of thinking''.

Albert Einstein
 
'Any man who reads too much and uses his own brain too little falls into lazy habits of thinking''.

Albert Einstein
 
Katika mila zetu ni mwiko kumuita mtu aliyekuzidi umri muongo. Kwa minajili hiyo, kwa leo sitamuita Dr Slaa kuwa ni muongo ila ninasema kuwa si mkweli. Jana ametangazia umma kuwa mkuu wa mkoa wa Shinyanga Yohana Balele kuwa amefariki. Binafsi nilipata na mshtuko lakini nikasema na kujipa moyo kuwa kazi ya Mola haina makosa. Cha ajabu, leo ninaangalia habari TBC1, RPC wa Shinyanga amekanusha habari hiyo na kusema si kweli.
Swali la kujiuliza ni kuwa je Dr alikuwa na nia gani kuzusha kifo? Najua walamba viatu wake wataibuka na kunishambulia.

mimi sitakushambulia kamwe kwanza nakupongeza kwa kuliona hilo maana kuna watu katika jamii nazani wanalipwa kufagilia kila jambo la chadema.kwa nini ufurahie kifa cha binadamu mwenzako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom