Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,933
- 32,342
jiheshimu, Dr Slaa anapewa Mil 7 kwa kazi anayofanya, hata Maximo alikuwa anapewa zaidi Mil 23 na waTZ walinyamaza kwa sababu ni mkataba aliopewa, je wabunga wana mkataba wa mil 7 na waTZ? wakati kuna wanaosema hizi hela ni nyingi zipunguzwe?
Nakubaliana Dr Slaa hata angelipwa mil 50 kwa kazi anayofanya, maana ulinzi wake tu ili mafisadi wasimdhuri si chini ya mil 20 kwa mwezi.
Mizunguko ya Tz nzima na kuwahamasisha waTZ soi chini ya mil 20 kwa mwezi.
Basi chakula chake na familia hiyo 10 itatosha labda.
Kwa sababu hii ni business, kaokoa pesa nyingi sana za wananchi, mfanoa epa, madini, BOT, etc
Nijiheshimu vipi mkuu, wakati
naulizia matumizi ya kodi yangu nayolipa serikali kuu?