Dr Slaa atolea ufafanuzi Kuongezeka kwa posho za wabunge

Ndio maana nasema Dr.Slaa aungane na watu kama Salim na Magufuli...wajenge nchi yetu..Issue sio posho ya wabunge,issue ni mishahara ya wabunge na malipo wapatayo yote ni makubwa mno.

Nashangaa wanasiasa amboa wanapinga mie nawaita ni watafuta umaarufu kama alivyosema Shibuda,ni wapigakelele tu kutafuta umaarufu kwa kisingizio ni wakombozi wa vijana wakati ndio wanyonyaji kwa mlango wa nyuma.

Lazima tupinge matumizi ya kufuru ya viongozi sasa na sio posho tu kama watu wanayojalibu kutudanganya,pia tupitie katiba na tutoe uchafu wote huu. Hongera Dr. Slaa kwa kuchambua mambo muhimu kwenye press conference yako hii..hasa uliposema tuache tuache kupiga kelele na kuongea kwenye magazeti tuoneshe kwa matendoo..yaani actions..kuloloma wakati unakula mamilioni ya ummma
 
huyo kichwa mwanangu.....

Nipenda hoja yake aliposema swala si posho ya vikao, ila Mbunge anaweka kibindoni zaidi ya Mil 7 na sasa inazidi hata nane..... huyu mzee katutoa mbali sana watz wa kawaida inabidi tumshukuru.
 
Mshahara wake wa milioni 7 kwa mwezi na posho, ambao haulipiwi kodi nao kautolelea ufafanuzi?

jiheshimu, Dr Slaa anapewa Mil 7 kwa kazi anayofanya, hata Maximo alikuwa anapewa zaidi Mil 23 na waTZ walinyamaza kwa sababu ni mkataba aliopewa, je wabunga wana mkataba wa mil 7 na waTZ? wakati kuna wanaosema hizi hela ni nyingi zipunguzwe?

Nakubaliana Dr Slaa hata angelipwa mil 50 kwa kazi anayofanya, maana ulinzi wake tu ili mafisadi wasimdhuri si chini ya mil 20 kwa mwezi.

Mizunguko ya Tz nzima na kuwahamasisha waTZ soi chini ya mil 20 kwa mwezi.

Basi chakula chake na familia hiyo 10 itatosha labda.

Kwa sababu hii ni business, kaokoa pesa nyingi sana za wananchi, mfanoa epa, madini, BOT, etc
 
Mbona mshahara wake na posho kwa sh mil 7 hajasema,aache kurusha mawe wakati yupo kwenye nyumba ya vioo
 
jiheshimu, Dr Slaa anapewa Mil 7 kwa kazi anayofanya, hata Maximo alikuwa anapewa zaidi Mil 23 na waTZ walinyamaza kwa sababu ni mkataba aliopewa, je wabunga wana mkataba wa mil 7 na waTZ? wakati kuna wanaosema hizi hela ni nyingi zipunguzwe?

Nakubaliana Dr Slaa hata angelipwa mil 50 kwa kazi anayofanya, maana ulinzi wake tu ili mafisadi wasimdhuri si chini ya mil 20 kwa mwezi.

Mizunguko ya Tz nzima na kuwahamasisha waTZ soi chini ya mil 20 kwa mwezi.

Basi chakula chake na familia hiyo 10 itatosha labda.

Kwa sababu hii ni business, kaokoa pesa nyingi sana za wananchi, mfanoa epa, madini, BOT, etc

kaz ipi?
 
Mshahara wake wa milioni 7 kwa mwezi na posho, ambao haulipiwi kodi nao kautolelea ufafanuzi?

Mbon amie naona shahara huo ni mdogo kwa kazi anayoifanya kwa taifa hili?????Milioni 7...ameokoa ngapi kwa kufichua wezi na mikataba mibovu?ebu semaa hao watu wako unaowasfu kila siku kweney post zako humu wanaopenda sanaa kuandikwa kwenye agazeti wanalipwa ngapi na wametenda mema yapi kwa jamii hadi tuwakubali?kama sio kuinyonyaa jamii...Learn 2be realistic kama kweli unatumia akili kufikiri na sio unashangilia sahivi jua kuwa maumivu ni kwa kizazi chako kijacho pia.
 
Wewe unanufaika na huu ufisadi, huu umasikini wa waTZ kwa hiyo hiyo huwezi kuikubali kazi za huyu mzee kwa we ni victim wa kazi zake....

Kamwuulize JK, au Wasira, au Lowasa ukitaka kujua kazi ya huyu mzee...

Au jitokeze hadharani useme huoni kazi anazofanya huyu mzee.... mbele ya waTZ kama wawili watakachokufanya mimi sipo....
 
Kikwete akisaini mpewe ile haki yenu..mm nitakuwa wa kwanza kuku....

Mkubwa lugha ya nguvu hairuhusiwi, najua sometimes inatia hasira lakini hawa vibaraka tunadili nao bila wasi wasi mpaka kielewek
 
Mkubwa lugha ya nguvu hairuhusiwi, najua sometimes inatia hasira lakini hawa vibaraka tunadili nao bila wasi wasi mpaka kielewek

tunashukuru kwa kutujuza habari njema sana kwa watz. Hakika dr ni faraja na tumaini letu lililofifia mwaka 1999 oct. Asante Mungu kwa kutukumbuka. Achana na hao hamnazo akina ritz and his company. Saa hizi wao wanacheka sisi tunalia c muda mrf itakuwa verse versa.
 
sifikiri kama atakuwa jipya zaidi ya kuanza kulia kodi za mshahara wake anaopokea.

Yeye anapata zaidi ya wabunge. Tsh milioni sabaa sio mchezo
 
Tatizo la pro-Chadema JF ni upeo wa kupambanua mambo..

Hawataki kabisa watu wahoji mshahara wa Dr. Slaa pamoja na posho zake anazopewa Chadema, lakini wanataka Dr.Slaa yeye ndio awe mwenye mamlaka yakuhoji posho za wengine..

Mimi binafsi lazima nihoji posho zote ikiwemo mshahara wa Dr. Slaa sababu ndani hizo posho mishahara kuna kodi yangu nalipa serikali kuu
 
Lets us not confuse matters. Hakuna hotel ya laki 200,000/= per day Dodoma. Hao wabunge waopiga kelele za ongezeko la posho ndo hao hao wanaolala kwa kwenye hotel za 30,000 to 50,000/=. fact will always remain as a fact..!
 
Back
Top Bottom