Aksante kwa taarifa...Hakuna kibaya kitakachompata.Dr. Slaa yupo hapa mahakama ya hakimu mkazi Arusha amekuja kufuatilia ile amri ya kuwakamata kwa kutokana na kutokufika mahakamani wiki iliyopita. Bado anasubiri kumwona hakimu mfawidi. NB. Walikuwa wameomba udhuru na kukubaliwa na mahakama.
kumbe maana ya udini ni uislam
Akamatwe na asweke ndani
Akamatwe na asweke ndani
mimi najuaga umepona kumbe bado 2mia mseto bila shaka MalariaSUGU itakwisha. Huna adabu Nguruwe mwitu we.Akamatwe na asweke ndani
Akamatwe na asweke ndani