Elections 2010 Dr. Slaa ateka vyombo vya Habari

coby

JF-Expert Member
Nov 28, 2008
342
39
Siaza za "Maji taka" zilizoanzishwa na CCM zimemuweka Dr. Slaa kivutio katika magazeti mengi nchini kwa takribani siku kadhaa na kuzika taarifa nyingi za mpinzani wake JK.

Wadau hiyo ina manufaa au hatari gani kwa Dr. Slaa KISIASA na hasa katika KURA tar 31??
 
Smart people can use this as a Golden opportunity to win the election. Maana ndiyo njia nzuri kabisa yakueleza sera nzuri za chama, Chadema.
, katika kujibu tuhuma Dr Slaa anaweza kuwa anatumia hizo kashfa kujibu na kumwaga sera, hapo utapapenda. Nauhakika akifanya hivyo mara mbili wataacha kufanya vituko vyao.

Mtu wa karibu amshauri Dr Slaa kufanya mbinu kama hizo ili kuvitumia vyombo kama mtaji bila kujijua, au kama Dr. unanisoma, wewe jipange vizuri harafu ongea tena unaongea kidogo tu kuhusu suala la Josephine then mwaga sera. :fencing:
 
Hili neno SIASA ZA MAJI TAKA linanifurahisha sana linaonekana ni msamiati mpya
 
All he need is Popularity... na ndicho kinachofanyika kwani sasa hivi hata hao wa vijijini wanataka kumjua huyu Dr.Slaa
 
Kama ni kuteka vyombo vya habari kwa kuzungumziwa vibaya, nadhani hasara ni nyingi kuliko faida.
 
Back
Top Bottom