Dr Slaa atarudi Bungeni? Sasa Shibuda basi

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
tetesi eti, Dr sasa jimbo la igunga ni lake kwa hivyo kale ka mkakati ka shibuda kutoa nafasi katakuwa basi japo pale igunga Dr atafanya kazi sana kuwashawishi wale wapiga kura.
Wadau hivi kwa alichofanya RA mnafikiri kinatija kwa Taifa na je vp? Kuhusu jimboni kwake wanapomlilia?
 
mmmh tetesi wakati kwanza leo ndo Rostam katangaza kuachia ngazi , usije ukawa ni uuzushi
 
tetesi kutoka kwa nani? Muwe mnasema na vyanzo vye tetesi maana inavyoonekana hii tetesi umeifoji wewe ili uonekane nawewe umeanzisha thread
 
tetesi eti, Dr sasa jimbo la igunga ni lake kwa hivyo kale ka mkakati ka shibuda kutoa nafasi katakuwa basi japo pale igunga Dr atafanya kazi sana kuwashawishi wale wapiga kura.Wadau hivi kwa alichofanya RA mnafikiri kinatija kwa Taifa na je vp? Kuhusu jimboni kwake wanapomlilia?
kwanza elewa wanalia kwa kutambua rushwa waliyokwa wakipewa na rostam ndo imekoma hivyo, na hako ni kakundi ka watu wachache, lakini jichungeni dhidi ya fitina za ccm, tusimjadili dr. kwa kinyanganyiro hicho angalau kwa sasa.
 
Slaa hawezi hata kujaribu kugombea Igunga, si uliona wanavyomlilia Rostam, mpaka wengine wamezimia!
 
Slaa hawezi hata kujaribu kugombea Igunga, si uliona wanavyomlilia Rostam, mpaka wengine wamezimia!

zomba umerudi, karibu sana jamini

afadhali umeingia kwani mifugo yetu ilikuwa taabani kwa ukosefu wa pumba
 
Nafikiri ni mapema mno kujadili suala la ubunge wa igunga kwa dk nafikiri cdm inawapiganaji wengi tu, tumwache kwa ajili 2015 agombee tena urais
 
Usijidanganye na kujaribu kuwadanganya watanzania kuwa waliomlilia Rostam walikuwa wachache. Nakushauri angalau kwa sasa uelewe kuwa Rostam ameleta amendeleo yanayoonekana katika jimbo la Igunga. Sina mchango juu ya nani au chama gani kinanyakua jimbo hilo hata hivyo atakayepigiwa debe na Rostam atashinda.
kwanza elewa wanalia kwa kutambua rushwa waliyokwa wakipewa na rostam ndo imekoma hivyo, na hako ni kakundi ka watu wachache, lakini jichungeni dhidi ya fitina za ccm, tusimjadili dr. kwa kinyanganyiro hicho angalau kwa sasa.
 
Siko na ww kaleta maendeleo kwa pesa za wizi na ndio maana hata bungeni alikuwa hachangii kwa hoja yoyote,eleza ni maendeleo gani kayaleta igunga tofauti na wilaya zote tabora.
 
Back
Top Bottom