Elections 2010 Dr. SLAA atambulishwe Dar

Wee Shalomo wee, haitoshi unatoka Mbeya na bado wataka kuwa mmbeya wa m-Mbeya? Hahahaa mtani wangu weee.........

Tukiweka utani pembeni, Kwa kweli umegusa penyewe. Ila usiseme Wasukuma. Wasukuma wako juu sana (Mwanza & Shinyanga).
Wenye matatizo zaidi ni sisi Wadakama (wa Kaskazini) au Wanyamwezi.
Nilishaandika zamani na narudia tena:

Dr. Slaa, ukifkka Magogoni, ukikumbuke ki-Sikonge.

"...Sikonge imejichokea na kukondeana kama kijibwa cha Darfur......................"

CHAKAZA: Haijalishi nani alianza. Cha muhimu ni kumfikisha Slaa Ikulu ili atutumikie. Vita imeanza......

Sijui hawa wasukuma watakombolewa this time!
 
Chini ya utawala huu wa Sultani CCM na Katiba yake , Slaa akishinda natoka chama ? Huyo naona amechochewa na kuingia kichwakichwa nina wasiwasi kuna mtu akilitaka jimbo lake ,akatumia mbinu za kumuondoa na kumtokomeza kwenye kiti cha Uraisi ,pole Dr.Slaa kwa kuwachia kiti cha ubunge ni hasara kubwa sana sana ,mwenye macho haambiwi tazama !!!
 
Tunaomba sasa wasukuma mtukumbuke safari hii, Mh rais Dr W. P Slaa, pita hapa shinyanga, kishapu tukupe baraka! tunakusubiri kwa hamu watu wote, Slaa, Slaa, Slaa kila sehemu. Kila la kheri Dr Slaa.
 
Back
Top Bottom