Elections 2010 Dr. SLAA atambulishwe Dar

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,359
Tunawaomba Chadema watafute muda na siku muafaka ya kumtambulisha mgombea wao wa Urais Dr Wilbroad Slaa hapa Dar Es Salaam na ikiwezekana Visiwani. Tunaisubiri tarehe hiyo kwa hamu sana.

Chonde Chonde
 
Iringa mjini:welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome::welcome:
 
Dr. Slaa, uliniahidi kuja kututembelea hapa SIKONGE.

Nafahamu sasa una majukumu mengi sana ila haitakuwa vibaya ukapita hata kwa dakika 10 wakati ukielekea Tabora.
 
Kigoma na Rukwa,mtwara na LIndi pia jamani angalau tumpe mkono wa heri,Fagilia Dr Slaa, wa wa wa
 
Dr. Slaa, uliniahidi kuja kututembelea hapa SIKONGE.

Nafahamu sasa una majukumu mengi sana ila haitakuwa vibaya ukapita hata kwa dakika 10 wakati ukielekea Tabora.
Mkuu Dr lazima apite kukusabahi maana kati ya watu walioshinikiza akubali kugombea Urais mwaka huu wewe umo. Juhudi zako zilionekana dhahiri na baadhi ya watu humu walikuona kama unapigia gitaa mbuzi. Ubarikiwe.
 
Nafikiri fomu atairudishia Dar na siku hiyo atafanya mavitu yake!!! Hahaaa MS kajinyonge!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mbona sijamuona homeboy ZITO au mzimu wa DOWN bado unamwandama?????

Anyway yote kwa yote CDM iko juu kwa kweli, bila shaka yoyote familia yangu yote ya watu watatu wenye uwezo wa kupiga kura tutampa SLAA.

we need changes
 
Kweli ajitambulishe kila kona ya Tanzania, pote anasubiliwa kwa hamu sana, Nimependa utangulizi wa hotuba yake Karatu,'NIPENI NCHI NIONDOE UFISADI' kwa kuongezea, wakumbushe, PM Pinda alsema mafisadi wakiguswa nchi itayumba, Tukupatie slaa uwangoe na uchumi wa Tanzania upae! BRAVO CHADEMA kwa uteuzi wa mgombea makini!
 
Kumepambazuka! Ccm kwishney. Kudadadek. Nipo safarini huku kibondo, mazungumzo yote ni slaa... Slaa.kiama cha chama dhalimu kinachokumbatia ufisadi na ushirikina kimewadia. Go slaa go...
 
Dr. Slaa, wewe sasa umegeuza kabisa mategemeo ya wanyonge ktk ngazi ya kitaifa kwa kuwapa tumaini lililosubiliwa kitambo. Tafadhali usifike Kanyika lkn walau pita Bukoba.
Dr. Slaa, silaha ya wanyonge,
Kiitikio: UTUKOMBOE
 
Back
Top Bottom