Dr Slaa asitisha operesheni M4C kwa siku 5

Big up Dr Silaa, You are always a great man in my heart because of your WISE DECISION. KEEP IT UP!!!!!
Baada ya kusababisha kifo cha kijana mdogo ndio anapata akili. Huyu yuko radhi watanzania wote wafe ilimradi yeye aingie ikulu.
 
Hongera RAIS wa Wanyonge na Mkombozi mkuu wa taifa la Tanzania Dr.SLAA.
MUNGU akulinde na akuongoze katika Njia nyoofu yenye HEKIMA daima.
 
Hakunaga Zaidi Ya Jembe Dr.slaa! Busara Zako Daima Zitakutofautisha Na Makatibu Wa Vyama Vingine.
 
Hakunaga Zaidi Ya Jembe Dr.slaa! Busara Zako Daima Zitakutofautisha Na Makatibu Wa Vyama Vingine.

Mkuu umesema neno.Hivi unaweza kudhani Mukama ana cheo sawa na cha Dr Slaa? Utadhani Mukama ni mjumbe wa nyumba kumi.
 
Bajeti ina utata, mshiko haujaingia bado, anti money laundering wanachunguza vyanzo na nia.
Mkuu hawa wangekuwepo makini mbona mafungu ya EPA,malipo ya RADAR kwenye akaunti binafsi za kina Chenge,Idrisa nk nk nk wangekuwa walishadakwa siku nyingi!
 
Mkuu hawa wangekuwepo makini mbona mafungu ya EPA,malipo ya RADAR kwenye akaunti binafsi za kina Chenge,Idrisa nk nk nk wangekuwa walishadakwa siku nyingi!

umesahau za uswis na nguzo walizokuwa wanatuuzia million kumbe ni za kwa yule wa isimani kule mufindi
 
Sasa Iringa anafanya nini? si arudi katika kaya yake akusanye wakeze na watoto wahesabiwe, hiki kizee kimeshazoea maisha ya kulala nyumba za wageni.
 
Bajeti ina utata, mshiko haujaingia bado, anti money laundering wanachunguza vyanzo na nia.
umeanza kuwashwa sehemu ya nyuma ya chini ya mgongo karibu tukuwashue maana ccm wako legelege maana umezoea ndio maana akili yako kama ya jamaa aliyeuwawa mombasa juzi ha ha ha
 
Kweli wakati mwingine nakubaliana na maneno ya molemo, kweli bila Mbowe CDM ni history. Busara zake ni muhimu sana, huu upuuzi ulio tokea moro usinge tokea kama angekuwepo nchini.
Slaa,damu ya huyo kijana iko mikononi mwako.

Slaa ndiye shilogile au umenyimwa posho yako ya leo kutoka pale jengo la lumumba
 
Mkuu molemo,sababu ya Kabwe kutofika jana Moro kwenye mkutano zimefahamika? Dr mwenyewe alikaririwa akisema mawasiliano yake hayapatikani,,

Mkuu wangu inawezekana kuna tatizo lilimpata....sisi wengine tunasonga mbele
 
Kweli wakati mwingine nakubaliana na maneno ya molemo, kweli bila Mbowe CDM ni history. Busara zake ni muhimu sana, huu upuuzi ulio tokea moro usinge tokea kama angekuwepo nchini.
Slaa,damu ya huyo kijana iko mikononi mwako.

Dua la kuku.........
 
Mkuu molemo,sababu ya Kabwe kutofika jana Moro kwenye mkutano zimefahamika? Dr mwenyewe alikaririwa akisema mawasiliano yake hayapatikani,,
mkuu achaneni na kabwe huyo ni miongoni mwa walobemendwa na sisiemu. Ana rang nyingi yule
 
Kweli wakati mwingine nakubaliana na maneno ya molemo, kweli bila Mbowe CDM ni history. Busara zake ni muhimu sana, huu upuuzi ulio tokea moro usinge tokea kama angekuwepo nchini.
Slaa,damu ya huyo kijana iko mikononi mwako.[/QUOTE

Mapenzi yako kwa mbowe yana ulakini!Damu ya kijana aliyeuwawa na polisi wa ccm ipo mikononi mwa Mwema,Rpc na Abood.
 
Back
Top Bottom