Dr Slaa asitisha operesheni M4C kwa siku 5

Kweli wakati mwingine nakubaliana na maneno ya molemo, kweli bila Mbowe CDM ni history. Busara zake ni muhimu sana, huu upuuzi ulio tokea moro usinge tokea kama angekuwepo nchini.
Slaa,damu ya huyo kijana iko mikononi mwako.

Ficha upumbavu wako ila usifiche hekima yako...
 
Mkuu rekebisha heading and content...sio Dr Slaa kasitisha, bali ni CHADEMA imesitisha..nadhani tuweke kumbukumbu sawa kwa faida ya vizazi vijavyo na vya sasa.
 
Mkuu wangu mimi naona heading haina tatizo kwa sababu Dr Slaa anazungumza kwa niaba ya chama.Fahamu yeye ndiye mtendaji mkuu.Na ndio maana ni yeye aliyetoa tamko mbele ya vyombo vya habari...Akitoa Tamko Mbowe au Dr Slaa ni wazi ni Tamko la chama...
 
Kweli wakati mwingine nakubaliana na maneno ya molemo, kweli bila Mbowe CDM ni history. Busara zake ni muhimu sana, huu upuuzi ulio tokea moro usinge tokea kama angekuwepo nchini.
Slaa,damu ya huyo kijana iko mikononi mwako.
Naona leo unatapika.
Kunywa maji kidogo kalale!
 
Mkuu wangu mimi naona heading haina tatizo kwa sababu Dr Slaa anazungumza kwa niaba ya chama.Fahamu yeye ndiye mtendaji mkuu.Na ndio maana ni yeye aliyetoa tamko mbele ya vyombo vya habari...Akitoa Tamko Mbowe au Dr Slaa ni wazi ni Tamko la chama...

Sawa kamanda, kama unadhani iko poa hakuna shaka.
 
Hata kuku kwa kutumia ubongo wake angetambua kuwa kuna maisha ya mtu tena asiye na hatia yamepotea kwa sababu ya kiburi cha CCM na polisi wao. Lazima uhai wa mtu uheshimiwe, mie naamini operesheni imesimamishwa kuomboleza kifo cha kijana aliyepigwa risasi na vilevile kuandaa taratibu za mazishi ya kishujaa.....kumbuka huu ni ukombozi mwingine.

Siyo waliokaidi amri ya Polisi kuwa wasiandamane ndio wanajidai wana kibri na dola?
 
Big up Dr Silaa, You are always a great man in my heart because of your WISE DECISION. KEEP IT UP!!!!!
 
Back
Top Bottom