Dr. Slaa Ashindwa Kuifikia Rekodi ya Mrema

tuache kelele mingi. inajulikana wazi kuwa slaa ameibiwa, sisi wana chadema tumeibiwa kura mingi sana. unajua ccm wanapenda ku-speak na kuiba kura ebu waanche kiyo ku-speak-speak na kuiba kura hafu waje tuwaonyeshe kazi.
 
UCHAKACHUAJI

WanaJF

TUKUBALI KUWA CCM IMESHINDA, Dk SLAA AMESHINDWA

HAKUNA UCHAKACHUAJI

ANGESHINDA YEYE MSINGESEMA UCHAKACHUAJI!!

TUMEBAINI KUWA DK SLAA ALICHAKACHUA BAARUA YA JIJI LA MWANZA
 
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28

Hivi we Jeniffer kwenye kichwa chako kina ubongo au maji?????Mbana hujajiuliza mbinu zilizotumika ili iwe hivyo ????Kwa nini chama Tawala kimefanya kila ujanja ili kuzuia watu wasipige kura,hata hivyo na uchakachuchuaji ndani yake:sad:Lakini yote yana mwisho.

Jaji Makame alisema waliojiandikisha kupiga kura walikuwa ni 20,137,303, lakini waliojitokeza kupiga kura ni 8,626,283 sawa na asilimia 42.8 ya wapiga kura wote.
CHANZO: NIPASHE 6th November 2010
 
Kwa bahati mbaya mimi siyo mwanahisabati lakini hebu tumia akili kidogo. asilimia 26 ya 100 ni 26 lakini asilimia 26 ya 5000 ni 1300. sasa mrema alipata asilimia 28 ya kura ngapi na Dr. Slaa amepata asilimia 26 ya kura ngapi. jaribu kutokukurupuka kwenye vitu vinavyohusu kukokotoa Hisabati.

Thanks Kigarama,
Na takwimu ndizo zinawatatiza wengi, wanaotaka kuendeleza mjadala fikirieni kwa kutumia shule zenu. Watu wangapi walipiga kura 1995/2010.
Kura ngapi zimeibiwa[ hata kama hamkubali]. Majimbo mangapi hayajapiga kura. ukichukua asilimia ukaziweka hapa bila justification utatuondolea wasi wasi tulionao juu ya uwezo wenu wa kufikiri.
 
Katika hili, na wewe umekurupuka.
 
Tutafanya uchaguzi mwingine wa Rais mwaka 2012 pale Rais Mteule wa sasa (JK)atakapokuwa amekwishafariki kutokana na maradhi aliyonayo
Sema kila kitu lakini habari ya muda wa kufa wacha kabisa!.
Mtu binafsi anatakiwa atende mema kama kwamba atakufa leo na ajipangie mipango mizuri kama kwamba ataishi milele.
Kuumwa Wala si kufa.
 
Kwani Mrema alipata kura ngapi kati ya waliopiga? na wabunge wangapi nifahamisheni jamani
 
Slaa Bado Toto dogo weee Mrema alikuwa Noma acha kabisa kulinganisha mlima na kichuguu

WATU HAWATAKI UKWELI HUU...ILI KUWAPOZA NA MACHUNGU YA KUSHINDWA WAAMBIE TOFAUTI NA KAULI HII.... ndo mtaelewana ...ukweli ni sumu kwa chama cha vidole juu
 
Thanks Kigarama,
Na takwimu ndizo zinawatatiza wengi, wanaotaka kuendeleza mjadala fikirieni kwa kutumia shule zenu. Watu wangapi walipiga kura 1995/2010.
Kura ngapi zimeibiwa[ hata kama hamkubali]. Majimbo mangapi hayajapiga kura. ukichukua asilimia ukaziweka hapa bila justification utatuondolea wasi wasi tulionao juu ya uwezo wenu wa kufikiri.

Hauwezi ukalinganisha idadi ya kura ya mwaka 1995 na ya mwaka 2010 ukizingatia ungezeko ya idadi ya watu, lakini ata kwa shule ndoogoo kabisa unaweza ukalinganisha kiwango cha kukubalika (%) kwao miongoni mwa wapiga kura katika nyakati husika ukizingatia kuwa factors zingine (wizi wa kura n.k ) zina-remain constant .
 
WATU HAWATAKI UKWELI HUU...ILI KUWAPOZA NA MACHUNGU YA KUSHINDWA WAAMBIE TOFAUTI NA KAULI HII.... ndo mtaelewana ...ukweli ni sumu kwa chama cha vidole juu
mi naona we mahesabu yako ni ya unongo. yaani toka nikuone hapa JF sijawahi kuona umepata hesabu hata moja yaani siku zote we ni kukosea tu. du! kweli hesabu ngumu
 
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28

Kwani kulikuwepo na makubaliano kuwa lazima afikie rekodi ya Mrema? Hoja yako hasa ni nini hapo.
 
LA MSINGI.

1. MREMA ALIPATA ASILIMIA KUBWA ZAIDI YA ALIYOPATA SLAA na
2. WATANZANIA HAWAKUTAKA FIRST LADY WA KUAZIMWA IKULU
 
Mrema ni noma,Slaa kitu gani bana,ana njaa tu yule,mkiambiwa ukweli mnatukana,japo hamna tusi jipya sana. Mrema/Kikwete ni treni,Slaa baskeli so put it aside!
 
Yes, statisticaly the fair comparison should base on percentage and not actual numbers...
 
Yes, statisticaly the fair comparison should base on percentage and not actual numbers...

Lakini pia Dr. Slaa amefanikiwa kupata viti 22 kati ya 239 vya Ubunge (9.2 %) wakati Mrema alipata viti 16 kati ya 232 vya Ubunge (6.9 %).

Kimsingi matokeo ya 1995 na ya mwaka 2010 hawajatofautiani sana, ila tofauti kubwa ambayo itabeba hatima ya mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini ni nini Chadema na wabunge wake wateule watafanya baada ya uchaguzi huu, je chadema na wabunge wake watawakatisha tamaa wananchi kama ilivyokuwa kwa NCCR baada ya uchaguzi wa mwaka 1995 au Chadema itajiimarisha na kuwa chama bora zaidi kuelekea uchaguzi wa 2015.
 
Kwa wanaotaka kulinganisha, matokeo ya 1995 yalikuwa:

Urais CCM 61.96%, NCCR – Mageuzi 27.8%, CUF 6.4% na UDP 4.0%; hii ni kutokana na kura 6,512,745 zilizopigwa.

Na katika uchaguzi wa wabunge jumla ya vyama vya siasa 13 vilishiriki kuwania kura 6,440,913 zilizopigwa na kupata matokeo kama ifuatavyo; CCM 59.22%, NCCR-Mageuzi 21.83%, CHADEMA 6.16%, CUF 5.02%, UDP 3.32%, TADEA 1.19%, NRA 0.94%, UMD 0.64%, TLP 0.41%, NLD 0.41%, UPDP 0.31%, PONA 0.28% na TPP 0.24%.

Viti vya ubunge NCCR-Mageuzi walikuwa navyo 19.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom