Dr. Slaa Ashindwa Kuifikia Rekodi ya Mrema

National AssemblyPartyVotes%SeatsAdditional seats
for women MPsChama Cha Mapinduzi3,814,20659.2218628National Convention for Construction and Reform–Mageuzi1,406,34321.83163Chama cha Demokrasia na Maendeleo396,8256.1631Civic United Front323,4325.02244United Democratic Party213,5473.3231Tanzania Democratic Alliance76,6361.1900National Reconstruction Alliance60,7070.9400Union for Multiparty Democracy41,2570.6400Tanzania Labour Party27,9630.4300National League for Democracy26,6660.4100United People's Democratic Party19,8410.3100Popular National Party18,1550.2800Progressive Party of Tanzania–Maendeleo15,3350.2400Invalid/blank votes405,768---Total6,846,68110023237Source: EISA
Jenifa

Mbona hujazungumzia idadi ya viti vya Ubunge? Mzee wa Kiraracha alikuwa na Viti- 16 mwaka 1995.

Leo mwaka 2010 CHADEMA ina viti 22 kutoka 6 vya 1995.

Sasa nani zaidi mwenye Viti vingi Bungeni au asilimia nyingi za wapiga Kura? Tafakari.
 
Nadhani hii ni habari njema kwa Mzee wa Kiraracha - sitoshangaa akiinukuu hiyo asilimia mara kwa mara kuonyesha kuwa yeye ni "chiboko"!
 
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28
Kwa bahati mbaya mimi siyo mwanahisabati lakini hebu tumia akili kidogo. asilimia 26 ya 100 ni 26 lakini asilimia 26 ya 5000 ni 1300. sasa mrema alipata asilimia 28 ya kura ngapi na Dr. Slaa amepata asilimia 26 ya kura ngapi. jaribu kutokukurupuka kwenye vitu vinavyohusu kukokotoa Hisabati.
 
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28

Wewe ni kilaza sana. Unaandika kana kwamba unafikiri kwa kutumia kiazi siyo kichwa. Unajua kiwango cha kuchakachua kura ambacho CCM, NEC na JK wamefanya mwaka huu? Unaweza kukubalika kwa wale wanotumia kufikiri kwa kutumia kiazi kama wewe. Wenye kufikiri kwa kutumia akili za kichwa wanakuona kama kilaza namba moja.
 
ukweli ndio huo, dr slaa hajafikia rekodi ya mzee wa kiraracha, kama ni uchakachuaji ulifanyika 1995 na 2010. 1995 mrema alishinda, sidhani this year dr slaa ameshinda. chadema mmefulia sijui mlitegemea nini?? slaa kasusa matokeo,,,wats next for slaa,,
 
What follows is around. Maisha magumu na ufisadi kwa zaidi. Kilio kwa wadanganyika wengi zaidi.
 
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28

Usilete hadithi ya mbilikimo yupi mrefu kuliko mwingine, lengo halikuwa kumzidi mrema lengo lilikuwa kuiondoa ccm.
 
chadema inaingiza zaidi ya wabunge 50 toka 11 huku ruzuku ikikua toka 65 milions to over 250 millions its a record kwa opposition
 
Kwa bahati mbaya mimi siyo mwanahisabati lakini hebu tumia akili kidogo. asilimia 26 ya 100 ni 26 lakini asilimia 26 ya 5000 ni 1300. sasa mrema alipata asilimia 28 ya kura ngapi na Dr. Slaa amepata asilimia 26 ya kura ngapi. jaribu kutokukurupuka kwenye vitu vinavyohusu kukokotoa Hisabati.

wewe kaka kweli hujui hesabu. ukilinganisha matokeo kwenye namba ambazo hazifanani unatumia asilimia.

mrema alipata kura aslimia 28 mwaka 1995 na huyu dakatari wenu wa ukweli asilimia 26. kama hamuelewi, tunaongelea ya urais hapa

leo nitakuwa kwenye mkutano wa mrema lazima atukumbushe wapenzi wake kwamba yeye ni kiboko kamshinda daktari wa ukweli

toka nchi hii inapata urais watu waliowahi kupata kura zaidi ya asilimia 27 za urais ni nyerere mwinyi mkapa kikwete na mzee wetu mpendwa shujaa wa sungusungu augustino mrema
 
it is official slaa ameshindwa kuifikia rekodi ya mzee wa vunjo kwa kupata asilimia 26.3 wakati mrema alikokotoa asilimia 28
1.we jenifa kwani nani kakwambia kuwa silaa alikuwa anataka kuvunja record ya mrema?
2.je angefikia record ya mrema bila kushinda urais kungekuwa na maana gani kwetu?
3.kama hajavunja record ya mrema unafikili sisi tufanyeje?
4.je mrema ni nani katika ulimwengu huu wa wapenda mabadiliko?
5. mrema alishindana na mgombea mpya wa ccm lakini slaa ameshindana na raisi je wewe unalijua hili?
ficha uso wako uipishe aibu yako, futa ujinga wako ukaribishe maarifa kwako
 
ukweli ndio huo, dr slaa hajafikia rekodi ya mzee wa kiraracha, kama ni uchakachuaji ulifanyika 1995 na 2010. 1995 mrema alishinda, sidhani this year dr slaa ameshinda. chadema mmefulia sijui mlitegemea nini?? slaa kasusa matokeo,,,wats next for slaa,,
is next fo slaa
 
hatuko after chama ingawa chadema wako makini tunaitaji mwanaharakati kama Dk.Slaa atakaye sababisha mabadiliko ya kweli
 
Back
Top Bottom