Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

C.C.M - Chama Cha Mafisadi, Chama Cha Majambawazi, Chama Cha Matapeli, Chama Cha Majungu, Chama Cha Mawitches, Chama Cha Matourists, Chama Cha Machakachuaji - Purged forever, need you no more. Wasanii wakubwa nyie alaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
utajijuu!kelele zamlango haziinyimi ccm kutawala, ukisusa wenzio twala
 
Jamani kumbukeni kuwa Slaa ni mtu makini sana hawezi kuyapinga matokeo bila kuwa na data halisi. KIla wakala wa chadema katika kila kituo alihakikisha amesubmit copy ya matokeo ambayo yalibandikwa kwenye kila kituo. na yote hayo ya Tanzania nzima yalipelekwa makao makuu ya chadema. Hivyo kuchakachuliwa kwa matokeo anakoongelea Slaa ni tofauti kati ya matokeo yanayotolewa na tume na yale ambayo ni halali ya kutoka katika kila kituo. Hajakurupuka kusema anayoyasema.

Cha muhimu ni kuwa aseme kwamba ana uhakika matoke si halali kutokana na facts alizonazo hivyo ni muhimu lifuatiliwe kabla Raisi hajatangazwa. Hatukatai kushindwa lakini tusishindwe kwa sababu kura zetu zimeibiwa ila tushindwe kwa sababu wananchi hawajatuchagua!!!

Habari ndo hiyo!!
 
zubeda umenena,nahii Itv chadema wana shea au vp?mana hata wakat wakampeni walikua ni kupigia debe chadema na slaa,bahat yao jk hana visasi wangekoma itv ungekua ule utawala wa big ben che nkapa.
...ukishamaliza kutumika kama wale wapuuzi wenzako utawekwa kapuni na kutulia kama tikiti maji linalosubiri wanunuzi.
 
this will be cicim chance to come clean for sure. If they don't respect people's will this will be their final verdict.

once the opposition party get the presidency in the future, all these fisadi's will go to jail. I will not care if they are 90yrs old or they were leaders. They will all have to answer their wrong doings they have been doing all along.

Tired of these f#%&n bs.

there's is no presidency for opposition until the voters use all possible peaceful means to pressurise the governmnet of the day to bring about radical constitutional reforms with the inputs from all stakeholders. The declaration by foreign election observers that the nec is biased is enough evidence and stimuli for peace loving tanzanians to conduct peaceful demonstrations and the like to claim for the long over due constitutional reforms.

Unfortunately since 1992 when the multi party politics were restored in tz opposition parties have been struggling for constitutional reforms including calling for demonstration which have been shunned by majority of tanzanians on many occasions.

Given the fact that our votes have been stolen by fisadis in ccm who want status quo to prevail, how many of us are prepared to spare time and invest that precious time in the struggle for constitutional reforms after the election fever has subsided?

I know that dr slaa will be mor than prepared to take the lead in this struggle but it should come from the wananchi and we are the wananchi who should start instead of just complaining with taking tangible steps to redtify the situation. Without our sincere devotion and participation to that endavour, even the 2015 election will be rigged by ccm
 
Hiyo ndiyo issue yenyewe, utafikiri tulikuwa tunajaza gunia maji NEC ole wenu yana mwisho na hayo myatendayo:nono::nono::nono::nono::nono::nono:
 
hana lolote! urais kwa kura zipi, mpeni kura zilizopigwa JF zimuongezee, mmemlostisha mwenzenu mnadhani kuandika, kuchochea kushinda na kulala JF ndio kutampa urais,
 
Nwachukia mpaka nakosa lugha ya kuelezea Makame na Kiravu wake, MUNGU awalaani kwa kudhulumu haki ya watanzania na vizazi vyao vyote, maisha yao ya uzeeni yawe ya taabu sana na mwisho waishie kuzimu kwa dhambi kubwa waloifanya kwa Taifa la TANZANIA.
 
Ni kweli matokeo hayako sawa na mahudhurio ya mikutano... mlidhani kila aliyekuwa anakuja kwenye mikutano amewapigia kura? I question uzalendo wa Dr. Slaa.
Wewe vipi bwana! hazilinganishwi kura na wingi wa watu mikutanoni, kinachobishaniwa ni ripoti za data kutoka kwa mawakala wa vyama na kinachotangazwa na NEC kuwa tofauti tena kubwa na isiyo ya bahati mbaya ila yenye makusudi.
Hawawezi kuwafanya WaTZ wajinga kwa kuwasimamisha kutwa nzima foleni kupiga kura kisha kura zao wajinga wachache wasiziheshimu.NEVER.
Mzee Makame wewe endelea kuwasikiliza hao wenye uchu wa fisi, watakufanya maisha yako ya uzeeni uyamalizie kwa uchungu.
 
Hivi babu mzima kama Jaji Makame haoni aibu hata kusoma matokeo yaliyochakachuliwa kiasi hicho. Mzee huyu ameweka rekodi ya kuwa mzee wa kwanza anayeeka mwili na hekima.
 
Jamaa amejishusha credibility like big time... nampa pole sana kwa kweli...
Acha ishuke kuliko kuikuza kwa unafiki kwa kukubali yaishe kama seif, hata credibility ya Mandela ilishuka baadaye ikapanda.
 
For Uselemani, gosh kuna kipofu asejua CCM ni gaidi wa wizi, unajaribu kumhadaa nani hapa, nenda michuzi labda kwa vibaraka wenzio. NEC=CCM nani asiejua? nani asiejua SLaa ameongoza kwa kura kwa trend za vituo vilivyoonyesha?? we unafikiri watu wanapinga bure , mbona mbowe hakupinga ?? unafikiri watu wanakurupuka? NAkwambia hata haki inyimwe vipi nguvu ya umma itaitafuta tuuuuuu. U can never hide light with darkness. JK aone kabisa asivyopendwa kwa uzandiki wake ? Dhambi aliyomfanyia Salim ahmed Salim kuwa si raia itaendelea kumtafuna hadi kiama hadi kwa mola wakee. Na dhambi hiyo hiyo ndio inatukost taifa letu leo, kila daladala ukipanda, kila kijiwe , kila mkusanyiko (kasoro wa vibaraka kama wewe) wanalalamika uongozi mbaya , uozo WA JK na ufinyu wa sera.
Inshallah Allah yupo na JK dhamira itamsuta tu , kama si leo ipo siku . Na najua hata wewe ndani ya dhamira yako unasutwaaa...utahide ila unasutwa , unapojua nchi ina hela na rasilimali nyingi ila wagonjwa wanakufa kwa kukosa dawa wakati JK na wenzie wanaenda checkup Marekani, ukiangalia temeke hosp wajawazito wanalala watu nane..... huku Spika yuko uingereza kwa mamilioni ya pesa, hakika kama una dhamira utachukia na pengine chozi litakutoka...........unapoona mashangingi barabarani huku wanafunzi na usafiri wa umma ni mateso na dhiki ....walahhi utaumia roho. Ila kwa wasipoenda haki (kama wewe), wanaopenda kula huku wengine wamelala njaa (kama wewe) wanaopenda kwenda ujerumani kucheki afya huku maelfu wamepanga foleni ya kupata panadol na wataambiwa wachangie ndio hao ambao dhamira zao zimekufaaaaaaaaaa na watanedelea kushangilia ufisadi wa CCM.
 
Tena ikiwezekana ata usisign hayo matokeo.
Kiravu asign kwa niaba yako bse huwezi angusha signature kwenye upupu kama huo.
Your signature is valuable Dr Slaa
 
Mwambieni aache usss+n+e. Kupinga matokeo sio ishu. Ishu ni je ana mpango gani? Mmevuna mlichopanda. Mmepiga kambi mijini na kura mmezipata. Kulikobaki CCM wamewapiga bao.

You don't need a PhD kuona kwamba strategy yenu haikutoa kura za kutosha. Sasa yeye anapinga matokeo kwenye TV? Au anataka kukusanya vijana wake waandamane mitaani kutuharibia amani yetu.


Nadhani hiyo ndiyo strategy -- na kama wewe unaogopa kuishi humu nchini kawaambie Wahindi wenu wanne -- Rostam, Manji, Jeetu, na Somaiya wanayoiendesha CCM yenu kwa pua -- wasikuache hilo litakapotokea. Wakukatie tiketi unende nao. Wote hao watakimbia nchi wakiwaacha nyie wapambe uchwara wao wakiishuhudia ile nguvu ya umma.

AMANI!!! Hebu tema mate chini. Amani gani hiyo ya kuhubiriwa majukwaani? Amani hujengwa kwa misingi imara na ya haki -- vitu ambavyo CCM ilishavitupa siku nyingi!
 
Asante sana Executive kwa hii taarifa, kweli inaonesha hali halisi ilivyokuwa kipindi cha uchaguzi. Tunajua jinsi mbavyo ajira za baadhi ya watumishi wa serikali zilivyo hatarini sasa baada ya kugundulika wanapendelea upinzani, mfano mzuri ni mkurugenzi wa wilaya ya Hai. It is so painful. Kweli ifike mahali watu wawe huru ndani ya hii nchi. It is such a shame, lets hope hii taarifa itafanyiwa kazi. Mungu ibariki nchi yetu. Tunahitaji amani na haki pia itendeke.
 
Uchochezi ndio nini?! Yaani mtu anakudhulumu haki yako ukimpinga eti uchochezi!! Mat***ko yako!

Amedhulumiwa mali gani? na nani? hakuwa na mawakala wa kuthibitisha! Tatizo mlikuwa mkikampeni kewnye mtandao watanzania wengi vijijini wanaikubali CCM MSITUHARIBIE NCHI YETU:nono:
 
Back
Top Bottom