MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 705
Tunao uwezo wa kutengeneza saruji yetu wenyewe, na kuiuza na kupata faida sokoni hata kwa Shilingi Elfu Tatu! Bei iko juu kutokana na kwamba uchumi unaendeshwa kwa kuwanuifaisha MATAJIRI, MAFISADI, wanaojiita wawekezaji. Mpe uwezo Mtanzania, Mzawa, uone jinsi atakavyofanikiwa sokoni! Wewe vipi?????