Dr. Slaa anakosea:Enyi wana CDM, wanavyuo, na wanaharakati sikieni

Nisikuite bwana mdogo make sijui umri wako, lakini ni kuite bwana mdogo kwa sababu inaonekana ubongo wako bado ni mchanga wa fikra. kunmbuka jamii forum ni mtandao wa ma interigensia.
Kabla ya kuweka wazo lako hili kwenye mtandao ungejiuliza logic ya kikwete kuingia kwenye kikao cha CC kilichobariki downs kulipwa na baadae jioni anahudhulia halambee ya kuachangisha vijisenti eti vya kusaidia ujenzi wa chuo kikuu.
 
Enyi wana CDM na wanaharakati wote

Baada ya kusoma maoni ya wengi nimegundua kuwa wanaJF hawataki aguswe Dr. Slaa kwa baya lolote. Namheshim Dr. Slaa ni msomi mwanaharaki mwenye ubongo uliohai ILA KWA NINI wanainchi wanamchukulia kuwa HAKOSEI?

(imefikia pahala TUMAINI University wanataka Dr. Slaa apewe saa nne za kulecture pale chuoni kila mwezi ili kufufua uzalendo kama vile hii nchi haina mzalendo mwingine)

KOSA NI KWA WENGINE ila makosa ya Dr. Slaa huitwa critical analysed ideas hence FACTS+media coverage mara gafla HUGEUKA MSIMAMO WA WANAINCHI.

Ningekuwa mimi ni wewe ningefanya utafiti wa kisayansi kwamba ni kwa nini Wananchi wanamchukulia Dr. Slaa kama mtu asiyekosea. Tengeneza madodoso halafu nenda kwa wananchi mijini na vijijini uwaulize kabla ya kuja na kuanza kulalama hapa.

By the way, huoni kwamba ni jambo la faraja kwamba baada ya ukiwa wa muda mrefu tangu kufariki kwa mzee wetu JK. Nyerere leo tumepata mtu tunayeweza kumuamini kwamba amebeba matumaini yetu?
 
Labda hujaelewa vizuri siyo kwamba Dr wa ukweli hasei ila ndiye mtu pekee mwenye mapenzi mema ya nchi! hebu fikiria sukari kg 50 inauzwa 80,000/= yaani kwa bei ya jumla ya kilo moja ya sukari ni Tshs 1600 hapo bado hujaisafirisha mpaka unapouzia. Wakuu wa nchi wanaona ni sawa! Sembe kg 50 ni Tshs 30,000/= mafuta ya kupikia ndoo kubwa 50,500/=. Je nchi inakwenda wapi? Inamaanisha mwenye kipato cha chini hataweza kunywa hata chai.................

MKUU maisha ni magumu hatufiki kokote,nadhani wazo la cdm kupinga mfumuko wa bei ni sahihi kabisaaaa kwani hilo linagusa kila mtz na anaye ona kuwa CDM inakosea yawezekana hayo uliyoyataja yeye hupewa bure so mageuzi yaanze sasa,kwani 1Kg ya sembe ni Tsh 600-700 je kwa mtu mwenye familia ya watu 8 ataweza? bado umeme,maji mboga hivyo vyote hajanunuwa,bado ADA
DUUUUUUUUUUUUUUU TUMEKWISHA
CDM MNACHELEWA KUANZISHA MAANDAMANO KWANI WATU WANAUMIA

msema ukweliii hapendwiii daimaaa:popcorn::twitch::sick:
 
Nakubali CCM imeiumiza nchi kwa namna gharama za maisha zinavyopaa,ila mbona mko tayari kumkandia yeyote kasoro Dr. Slaa?Kumbuken uzee unaanza kumjia Slaa ataanza kauMAKAMBA kidogokidogo lakin bado mtamkubali.

Makamba mwenye elimu ya ualimu wa UPE unaweza mlinganisha na DR mwenye urefu wa Paa ya bara la Afrika mlima Kilimanjaro?
Unafanya mchezo nini wewe?
:msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela::msela:
 
Enyi wana CDM na wanaharakati wote

Baada ya kusoma maoni ya wengi nimegundua kuwa wanaJF hawataki aguswe Dr. Slaa kwa baya lolote. Namheshim Dr. Slaa ni msomi mwanaharaki mwenye ubongo uliohai ILA KWA NINI wanainchi wanamchukulia kuwa HAKOSEI?

(imefikia pahala TUMAINI University wanataka Dr. Slaa apewe saa nne za kulecture pale chuoni kila mwezi ili kufufua uzalendo kama vile hii nchi haina mzalendo mwingine)

KOSA NI KWA WENGINE ila makosa ya Dr. Slaa huitwa critical analysed ideas hence FACTS+media coverage mara gafla HUGEUKA MSIMAMO WA WANAINCHI.
Hayo ni mawazo yako usitulazimishe na sisi kufuata mawazo yako. Aliyekutuma kamrejeshee ujumbe mwambie tulikuwa wajinga then not now. Dr. Slaa ameonyesha ushujaa wa kulitetea taifa la Tz. halafu wewe unataka kutuambia nini simama na wewe uje utuonyeshe ujasiri wako wa kulitetea taifa hili sio kukurupuka na oh watu wanaona Dr. Slaa hakosei. Wewe ndio wasema sio sisi. Msg. sent.
 
kIKWETE NA SLAA NANI ANAPATIA ZAIDI...
kIKWETE HAKOSEI ,,,ANYWAY HIYO YOTE NI KUONEHSA JINSI GANI WANANCHI WAMEWACHOKA HAO WENGINE ....
NA INSI GANI SLAA IS A GOOD ADMIRABLE EXAMPLE TO MANY BRAINS
ILA YES HE IS ONLY HUMAN HIVYO ANAWEZA KUKOSEA NA WANANCHI WAKE WANALIFAHAMU HILO LAKINI NAFIKI MISTAKE ZIKIZIDI AU AKIMAKE A GRAVE MISTAKE WAU WANAOMPENDA HAWATASITA KUMKOSOA IN A GOOD WAY PIA KITU KINGINE WANANCHI WANAONA NI KAMA NI THEY R ONLY SAVIOR HIVYO THE WILL NEVER DARE CRITICISE HIM OPENLY EASILY KWANI ITAMPUNGUZIA CREDIT
OFCOURSE AMEJARIBU KUFANYA VITU VIGUMU ALIYEJARIBU KABLA YAKE NI MREMA KAMA UNAKUMBUKA LAKINI ALIPOHARIBU HARIBU TU NA ALIPOSHINDWA KUWA FIRM WANANCHI WALIAMUA KUACHANA NAYE..
[/B]
 
WANAONA HAKOSEI KWA SABABU, Watanzania ni wanyonge, na unyonge wao ndio sababu ya wao kuonewa, kunyanyaswa, kunyonywa na kukandamizwa haki zao na CCM pamoja na washirika wao wakubwa MAFISADI.Watanzania wanatafuta mkombozi wa kuwatoa ktk kongwa la utumwa walilovishwa na CCM.Na hawawezi kutoka bila kiongozi au uongozi wa mtu au chama jasiri na shupavu.

Kumbuka NGUVU ya mnyonge ni UMOJA,Lakini umoja hauwezi kupatikana bila kiongozi atakaye jitoa kuwaunganisha wanyonge hao. Na kiongozi huyo sharti akubalike na wanyonge hao na wamuamini kuwa kweli atawakomboa kutoka ktk kongwa la utumwa.Kiongozi huyo anapaswa ajue lugha ya wanyonge hao, kilio cha wanyonge hao na mahitaji ya wanyonge hao, na wanyonge hao waamini kuwa vyote hivyo anavijua. Kiongozi wa aina hiyo akikemea wanyonge wataamini anakemea kwa niaba yao, akikosoa wataamini anakosoa kwa niaba yao, akilia wataamini analia kwa ajili yao na hata akikosea wataamini amekosea kwa ajili yao.

KIONGOZI HUYO NDIE SLAA NDIO MAANA WANYONGE WANAONA KUWA AKOSEI​
 
Ningekuwa mimi ni wewe ningefanya utafiti wa kisayansi kwamba ni kwa nini Wananchi wanamchukulia Dr. Slaa kama mtu asiyekosea. Tengeneza madodoso halafu nenda kwa wananchi mijini na vijijini uwaulize kabla ya kuja na kuanza kulalama hapa.

By the way, huoni kwamba ni jambo la faraja kwamba baada ya ukiwa wa muda mrefu tangu kufariki kwa mzee wetu JK. Nyerere leo tumepata mtu tunayeweza kumuamini kwamba amebeba matumaini yetu?[/QUOTE]

Crap!!!!!!!!!!!!!
 
Enyi wana CDM na wanaharakati wote

Baada ya kusoma maoni ya wengi nimegundua kuwa wanaJF hawataki aguswe Dr. Slaa kwa baya lolote. Namheshim Dr. Slaa ni msomi mwanaharaki mwenye ubongo uliohai ILA KWA NINI wanainchi wanamchukulia kuwa HAKOSEI?

(imefikia pahala TUMAINI University wanataka Dr. Slaa apewe saa nne za kulecture pale chuoni kila mwezi ili kufufua uzalendo kama vile hii nchi haina mzalendo mwingine)

KOSA NI KWA WENGINE ila makosa ya Dr. Slaa huitwa critical analysed ideas hence FACTS+media coverage mara gafla HUGEUKA MSIMAMO WA WANAINCHI.

The mkerewe=the bagamoyo=the msoga
 
ifike mahali tumuheshimu mtu kwa utu wake, ndg zangu Dr ametupa uwelekeo, sasa tunaiona njia, ni jambo la muda tu. Iko siku yaja.
 
Back
Top Bottom