Elections 2010 Dr Slaa Anahutubia Shinyanga Mjini sasa hivi

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,881
2,372
Nimeppokea habari kutoka Shinyanga sasa hivi, Dr Slaa anahutubia mkutano mkubwa mjini Shinyanga.

Dondoo ni kwamba, Watu ni wengi sana hadi spika hazitoshi kutoa sauti kuwafikia wengine walio mbali na Jukwaa kuu.

Saa ya ukombozi imefika tushirikiane sote kuikomboa nchi yetu

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, aakiwahutubia maelefu ya wakazi wa mji wa Shinyanga na vitongoji vyake, katika mkutano wake wa kampeni jana. (Picha zote na Joseph Senga)

Habari njema tulitegemea hayo.Makani yupo hapo kwenye kikao?, tunakushukuru kwa taarifa ikiwezekana picha tafadhali tuko pamoja
 
Jamani hapo shy hakuna wadau watupe picha, wadau mlio shy tupeni raha jamani.
 
Nimeppokea habari kutoka Shinyanga sasa hivi, Dr Slaa anahutubia mkutano mkubwa mjini Shinyanga.

Dondoo ni kwamba, Watu ni wengi sana hadi spika hazitoshi kutoa sauti kuwafikia wengine walio mbali na Jukwaa kuu.

Saa ya ukombozi imefika tushirikiane sote kuikomboa nchi yetu

Mkuu hata mimi nimepewa taarifa sasa hivi kwamba mkutano unafanyikia kwenye viwanja vya Lubaga Joshoni watu ni wengi haijapata kutokea! Watu wamejaa mpaka soko jipya Lubaga. Watu mpaka wa vijiji vya jirani na Manispaa ya Shinyanga wamekuja kwenye mkutano huo. Yaani naambiwa kwamba watu wameanza kuingia uwanjani tangu saa 5 asubuhi ilhali wakijua mkutano unaanza saa 10 alasri. Huu ni mwanzo tu kiama ni hapo tarehe 31/10/2010 mafisadi watakapong'olewa madarakani. Sasa naanza kuamini kuwa CCM hawashindi hata kwa 30% labda waibe kura.
 
Ila bado ninajiuliza, kama kweli wingi wa mahudhurio mikutano ya kampeni ni kipimo cha wingi wa kura basi mwaka huu ni hatari. Watu wahamasishwe kama wanachukua masaa mawili kumsikiliza Slaa na wabunge na madiwani wake, basi watumie masaa 8 kupiga kura ili kumuunga mkono. Na ni once in five years, mabadilio ya kweli yatokee.
 
Kwa nini hawakufanyia Kambarage?
 
Nadhani tusijikite kwenye historia zaidi, naona wengi wetu tunaangalia ya 1995, lakini ni vema tukabadilika ili matokeo yakitoka tusishangae sana.mwaka 2010 ni tofauti sana.Ni kizazi tofauti kwa kiwango kikubwa, tunaambiwa wapiga kura 50% ni wa umri 18-35, that one can make the big difference.
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...yethu na maria
 
huyu Dr.Slaa bana ananipa raha sama..Mimi ni CCM damu lakini aaaagh kama noma na iwe noma mi nampigie kura Dr.Slaa kama kunishugulikia nishugulikieni bana
 
ni mda wa mabadiliko sasa ila tusi hudhurie mikutano peke yake kisha tukaacha kupiga kura

Slaa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
huyu Dr.Slaa bana ananipa raha sama..Mimi ni CCM damu lakini aaaagh kama noma na iwe noma mi nampigie kura Dr.Slaa kama kunishugulikia nishugulikieni bana
Wana-CCM waliokichoka chama hicho ni wengi na wengi wamemchoka kiongozi wao. Niliwahi kumuuliza swali la kizushi mbunge mmoja kijana wa CCM juu ya serikali yao naye akajibu kuwa hajui ushauri wa kijuha jmk anaupata wapi. Hapo ilikuwa ilikuwa mwaka 2006, mwaka mmoja baada ya msanii kuingia ikulu. Sitashangaa kuona wagombea ubunge wa ccm wakijipigia kura wenyewe na kumchagua rais wa upinzani.
 
confirmed !!! Ndugu yangu yuko kwenye huu mkutano anasema ilikuwa balaaaaaa watu wamechanganyikiwa wanataka kupiga kura hata hii leo...Dahhh ,eeeh baba mungu muumba mbingu na ardhi mpe afya na busara huyu baba(Dr.Slaa) tumeonewa na kudhulumiwa sana miaka 50 sasa.wewe ni muweza wa yote na sasa sala na maombi yetu yako kwako okoa nchi hii mikononi mwa wanyang'anyi
 
Uwanja wa Kambarage Shinyanga ni Uwanja wa Chama Cha CCM kama viwanja vyote vikubwa Mikoani na Jijini Dar-es-salaam
Kwahiyo kama wewe sio CCM then tafuta uwanja wako
 
Back
Top Bottom