Dr. Slaa Anafaa Kuwa Rais

dr tsaaa hafai kuwa kiongozi wa nchi yoyote ile hasa yenye utajiri kama hii, Mang'ola ni mfano halisi wa nchi hii, kwani ina utajiri mkubwa sana wa ukulima wavitunguu, na wakulima ni matajiri, huyu mbunge wa hapo yaani tsaa,
hajaweza kuwasaidia wakulima hao kitu chochote kwamiaka 15ya ubunge, alihitaji kuwahamisisha tu wachange na yeye awasaidie kuleta umeme, na barabara ya kupitisa mazao ,tumeona kwa macho juzi kwenye ziara ya rais jk karatu,pia tumeonyeshwa kibanda cha udongo cha kwake lo raisi ambae hata Hawezi kubadili maisha yake kuwa bora atamuongoza nani. wakazi pale wengi wana nyumba nzuri ila yeye. m/kiti wa kijiji amekiri utendaji mbovU wa tsaa, na kurudisha card yy na wafuasi wake, hii ni kuthibitisha jinsi gani walivyocHoshwa na ahadi za uongo,
DR,TSAA HAFAI KUONGOZA HATA FAMILIA YAKE IWEJE ATUONGOZE SISI WATZ


Hivi wewe ni nani hata jina la rais wetu ajaye huwezi kuliandika vizuri au unafanya makusudi? Rais asiejilimbikizia mali ndie anayetufaa. Ajenge nyumba nzuri kjijini kwao akae nani? Hata Nyerere alipostaafu hakuwa na nyumba kijini kwake!
 
Huu ni ujinga tu mkuu maana kila mtu anaelewa kuwa Dr. Slaa mahisiano yake ni halali wala hamna cha mke wa mtu wala nini ni propaganda tu ambazo ni watu wachache wenye akili wanaweza kuzinunua.
Hivi ni watu wangapi walioa na wakaachana na wake zao na wakaoa tena? Hivi mwanamke anaweza kulazimishwa kumwacha mme wake anayempenda akaenda kuishi na mwanaume mwingine? Ndoa ni hiari kama mke wako mnashindwa kuelewana anao uhuru wa kuondoka na kuingia kwenye mahusiano mengine na mtu mwingine ambaye pia yuko huru!

Sijawahi kuona hoja yenye kuhold water juu ya mahusiano ya Dr. Slaa ni propaganda ambazo zinawalenga wajinga wasiofatilia mambo.

Najua Dr.slaa wanalichukulia swala la propaganda hizi ni ujinga japo zinaweza kuwateka watu wachache wasioelewa hivyo ni muhimu wakati mwingine kuwaelimisha!

Kuna mengi ya kujifunza.

Kumbuka kuwa UONGOZI siku zote ni Taasisi inayoanzia Nyumbani.

Dr Slaa pamoja na kumaliza Degree ya Uzamivu ya Sharia za kanisa katoliki (Canon Law) lakin alishindwa kuwa mvumilivu na kuweza kuacha mke wake.

Kutokana na kuacha mke wake amejipambanua kuwa yeye SIO Mvumilivu, Msamehevu na kashindwa himili mikiki ya NDOA.

Sasa mtu kama huyu mkimpa nchi yenye mikiki lukuki ataweza kweli?

nafikiri wa Tanzania hususan kutoka Tgk mna nafasi ya kufikiria mbali zaidi na kujitoa katika USHABIKI wa watu na vyama kwa nafasi hiyo kuuubwa kabisa ya uongozi nchini mwenu.

 
Back
Top Bottom