Dr. Slaa Anafaa Kuwa Rais

Arudi akachunge kondoo wa bwana,siasa awaachie wanasiasa,nchi gan umeshawahi kusikia imeongozwa na padre au shekh kazi zao n kuchunga kondoo wa bwana arudi huko akatimize na yy ndoto zake,2015 rais Lowasa hana mpinzan
 
Nadhani hujui unachokisema, fatilia huko amerika yavkusini kuna Rais alikuwa ni padre.Nadhani dawa ni ukawa kunwachia Dr. Slaa awe mgombe wao nadhani tutaheshimiana!
 
Hatuchagui kwa kuangalia sura. Uwezo na timu ni vigezo vya kimataifa kwa kiongozi wa watu kumuwezesha kuchaguliwa.
 
Mbona ma ccm thread inayomhusu daktari wanajaa sana.au ndio maelekezo maalum
 
Hakuna mwingine kama huyu mzee slaa,na lowasa anasubili sana,maana hatawanaomsapoti rowasa ni wezi tu,na lowasa hamdu siasa za jukwaani na hakuna mdahalo anaweza kaa na slaa.
 
Mbona ma ccm thread inayomhusu daktari wanajaa sana.au ndio maelekezo maalum

Wanamwogopa kwani chini yake miiko ya uongozi itatekelezwa kikamilifu. Lowasa alikataa kuorodhesha mali zake enzi za rais Mkapa na mpaka leo hajafanywa chochote. Chini ya Dr hili halitatokea.
 
Mbona huyo alishambwaga jk Ktk uchaguzi ule! Uliyopita ila safari hii lazima kieleweke
 
Tatizo ni watanzania kuwa na mawazo ya kiuzinifu.tunahitaji rais si mme au mke wa mtu.tuambie kama ammzini mamako!
 
Back
Top Bottom