Dr. Slaa amkaanga Lowassa, adai hana hadhi ya kuomba Kura za Wananchi

hii kauli naurudia tena humu jamvini na ninaomba mtu aweke kwenye rekodi kama mungu akitupa uhai ntaikumbushia.

tusije tukashanga E.L kuwa raisi wa hii nchi 2015. naomba niweke kwenye rekodi. huyu jamaa ana siri kubwa sana wazee.


....watu wengne cjui mnaamkia wapi..!?
 
Ikumbukwe kuwa mara ya mwisho akizungumza na waandishi wa habari E.LOWASSA a.k.a mamvi alitoa mikwara kumfikisha mahakamani atakayethubutu eti kumchafua.Leo ktk viwanja vya tengeru katibu mkuu wa chadema akifunga kampeni hatimaye ametamka kuwa lowahasa ni FISADI na kama inamchoma na si kweli aende kortini jumatatu kumshitaki slaa.mytake: KAMA LOWASSA NI KIDUME AENDE MAHAKAMANI KWANI ALIYATAKA MWENYEWE KWA KUPANDA JUKWAANI HUKU PERFOMANCE YAKE IKIWA NI ZIRO,HAPO VIPI..HAPO

Hata thubutu kufanya kitu kama hicho huku akijijua dhahiri ni fisadi
 
Lowasa ni fisadi hata kuwa rais wa Tanzania hata akitabiriwa namna gani
 
Dr. Slaa ambaye ni gwiji la saisa hapa nchini na kipenzi cha wananchi, alimuua Lowasa bila kung'ata maneno kwa kitendo chake cha kwenda kumnadi mkwe wake Sioi Sumari kuwa alinadi ubinafsi zaidi. Akikitiririka, kitendo cha Lowasa kupanda jukwaani na kumnadi mkwe wake si tu alikiuka mila na desturi za kimeru bali pia alionyesha kumtafutia ulaji mwanae Pamela.

Jamani Arumeru imeleta mengi tusiyoyajua!!!! Awali kulikuwa na mkanyiko wa Mh. Lowasa asikanyage katika jimbo hilo kumnadi Sioi kitendawaili ambacho kiliteguliwa na Lowasa mwenyewe kwa kwenda jukwaani na kumuombea ulaji mkwe wake!!! Bado haijawa wazi kwa nini wanaCCM hawakutaka Lowasa asiende katika kampeni zilizoisha na Nassari kuibuka mshindi.

Licha ya kumtuhumu Lowasa kwa kutanguliza ubinafsi mbele na maslahi ya chama chake nyuma Dr. Slaa pia alitoa tuhuma nyingine nzito ya ufisadi wa Lowasa katika ujenzi wa ofisi ya mbunge Monduli kuwa alishinikiza apewe takribani 300ml kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ambayo mpaka leo haijanyanyuka!!!! Habari hii nayo haikupa coverage hivyo nimeona iwe exclusive hapa JF.

Kama ilivyo ada ya wanaJF kutopandikiza maneno midomoni mwa watu maarufu, tujage mwanawane umsikilize Dr. Slaa wakati wa lala salama za kampeni USA.



Nawasilisha wakuu.
 
Last edited by a moderator:
concentration za watu wengi zipo kwenye hukumu ya kesho dhidi ya Kamanda Lema.
 
Nadhani kesho mtandao utaelemewa sana. WanaJF wa Arusha kesho mtupe raha kwa kuweka kila kitu bayana.

Usijali kamanda, wengine tulishachukua ED kuanzia leo ili tuhudhurie mahakamani.
 
Mgombea hapaswi hata kutuhumiwa kwa rushwa, leo wale wanaomchana kuwa ni fisadi wanataka agombee kwao, hili ni igizo au? Mbowe acheni kumdhalilisha Katibu wenu Mkuu. Alishawafanyia kazi nzuri.
 
kampeni za long time hizo - mchaguzi mdogo jimbo la Arumeru - Kijana Nasari alishinda!! Lowassa alikuwa kampeni manager wa yule mkwe wake!!

Hivi nyie Lumumba, Lowassa kawafanya nini, mbona mnahaha hivyo?? kama URAIS si mmeshamkata - nini tena mnataka toka kwake!!
 
kampeni za long time hizo - mchaguzi mdogo jimbo la Arumeru - Kijana Nasari alishinda!! Lowassa alikuwa kampeni manager wa yule mkwe wake!!

Hivi nyie Lumumba, Lowassa kawafanya nini, mbona mnahaha hivyo?? kama URAIS si mmeshamkata - nini tena mnataka toka kwake!!

Nani kasema ni video ya leo au jana? Nilichotaka ujifunze kwenye hiyo video ni hiki: Hivi sasa Lowassa yuko kwenye mazungumzo na Mbowe ahamie CHADEMA, video hiyo Mbowe amejifanya Lowassa siyo fisadi?
 
Back
Top Bottom