Dr. Slaa amkaanga Lowassa, adai hana hadhi ya kuomba Kura za Wananchi

Now this is what I was talking about... you fire warning shots.. swali ni je EL yuko tayari kuanzisha safari yake ya Urais kwa mpambano wa Arumeru Mashariki? Akisimama jukwaani manake yuko tayari.. patanoga sana.

Naam na sasa pamenoga zaidi baada ya EL kuuziwa chama
 
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa jana alimtolea uvivu Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa akisema hana hadhi ya kusimama mbele ya wananchi kuwaomba waipigie kura CCM kwani anakabiliwa na tuhuma ambazo hazijawahi kusafishwa.

Akizungumza katika mikutano ya hadhara kata za Songoro, Kikwe na Mbuguni, Dk Slaa alisema anamweka kiporo Lowassa akisubiri kwanza apande jukwaani kumnadi mkwewe Sioi Sumari.

Kauli ya Dk Slaa inafanana na ile iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe mwishoni mwa wiki iliyopita akisema kwamba chama chake hakimwogopi Lowassa kwa sababu ni kama makada wengine wa CCM akiwamo Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.

Kauli ya Dk Slaa inakuja huku taarifa zikieleza kuwa Lowassa ametua rasmi katika jimbo la Arumeru Mashariki kwa ajili ya kumnadi mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo wa ubunge, Sioi Sumari.

Habari ambazo Mwananchi lilizipata jana na kuthibitishwa na watu wa karibu na Lowassa zilisema Mbunge huyo wa Monduli (CCM) aliwasili jana majira ya jioni akitokea Ifakara, wilayani Kilombero mkoa wa Morogoro.

Lowassa alikuwa Kilombero alikokwenda kushiriki sherehe za kumwingiza kazini Askofu wa Jimbo jipya Katoliki la Ifakara, Salutaris Libena pamoja na uzinduzi wa Jimbo hilo.

Hata hivyo haikuweza kufahamika mara moja ni lini kiongozi huyo anayetajwa kuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Arumeru atapanda jukwaani kwa ajili ya kumnadi Sioi ambaye anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea wa Chadema, Joshua Nassari.

“Kweli mheshimiwa Lowassa yupo hapa, hilo nina uhakika nalo wala halina ubishi wowote, sasa ratiba nyingine siwezi kufahamu maana haijawekwa wazi kwa watu wote, lakini tusubiri maana kesho (leo) huenda ratiba ikapatikana,” alisema mmoja wa viongozi wa CCM jana.

Habari zaidi zilisema upo uwezekano mkubwa wa Lowassa kuendesha mikutano ya ndani kwa lengo la kuwashawishi wazee kukipa ridhaa CCM katika uchaguzi huo mdogo utakaofanyika April 1 mwaka huu.

Kiongozi mwingine wa juu ndani ya CCM ambaye pia hakuwa tayari kutajwa alisema: “Sidhani kama Lowassa atapanda jukwaani sasa, anaweza kuamua kufanya mikutano ya ndani na ikiwa ataona mambo yana uelekeo mzuri ndipo atapanda jukwaani”.

Hata hivyo wachambuzi wa mambo wanasema huenda kiongozi huyo akapata wakati mgumu kuwashawishi wazee ambao wana mtizamo kwamba msingi wa Lowassa kumpigia debe Sioi unatokana na kwamba ni mkewe anayemwoa mtoto wake, Pamela Lowassa.

Gazeti hili jana lilimtafuta Lowassa kupitia simu yake ya kiganjani lakini ilikuwa ikiita muda wote bila majibu.

source.
Dk Slaa: Mkataeni Lowassa akipanda jukwaani

ni kweli kabisa huyo mzee ana anzaje kuomba kura hali yakuwa alishawakosea sana wananchi kwa kuiba mali za umma alafu aje tena tumpokee pumbafu huku kwetu hatutaki hata kumuona mwizi mkubwa
 
Last edited by a moderator:

ni kweli kabisa mwizi anawezaje kurudi kwa watu aliowaibia alafu wampe kura,labda atakao wanunua kwa hela ya uwizi aliyokua nayo
anachostahili nikuhakikisha akija tunamdai kwanza hela zetu
 
mambo haya yalishapitwa na wakati! Ufisadi si hoja tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom